Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Mahakama ndio itasema ni watu wa ccm au ni chadema wenzie!
Mungu wetu wote ni waki .Ipo siku isiyo na jina hapa duniani mtalipa mambo haya.Adhabu haipo Mbinguni Iko hapa duniani.Hata wewe @ kipara kipya ulivyo mpenzi mtukuka wa CCM hilo ungeweza kulifanya.
 
Kwenye kesi ambaye haruhusiwi kuwa shahidi ni mke au mume pekee! Hata kama ni Mwenyekiti wa CCM, mahakama itazingatia ushahidi utakaotolewa pamoja na mahojiano ya kutoka kwa mawakili wa pande zote. Muhimu kwenye kesi ni Mahakama kuwa huru na wala si kuangalia huyu ni mwanachama wa chama gani na anatoa ushahidi dhidi ya mwanachama wa chama gani.
Uko sahihi kabisa!!

Shida ni kwanini adanganye mahakama kuwa yeye siyo kada wa CCM ?Lengo la kuficha ukada ni upi?

Lakini pia ni kusaidie,Kaka yake amesema jamaa waliomtoa ni CCM kwa makubaliano aje kuwa shahidi .
 
Ndugu ,Mungu ni waajabu leo ndo nimeamini hii kesi ni yau uongo kabisa.Huyo ni ndugu yangu na hizo picha nimezirusha mimi mitandaoni.Ukweli usiofichika ninaujua mwanzo mpaka mwisho alitolewa Gerezani kwa makubaliano ya kusema uongo kama ushahidi nilimuonya sana kuhusu hili.Ni hivi kwa kuwa anaulinzi ushahidi huo utaonekana wa kweli na nyie mtafurahi sana kumuumiza mwenzenu kwa uongo,MUNGU KAMA AISHIVYO NA AWAADHIBU WOTE AKIWEMO JUSTINE NDUGU YANGU.
Acha porojo nenda kaisaidie mahakama kama unajua ukweli wa hiyo kesi na sio kujificha nyuma ya camera.
 
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.

Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.

Amesema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu ana figo yake hapa mjini.
 
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.

Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.

Asema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu anafigo yake hapa mji.
Kwanini amekimbilia kudeactivate account ya facebook?

Angetulia tu, anavyotapa tapa anazidi kujichanganya.
 
Kwanini amekimbilia kudeactivate account ya facebook?

Angetulia tu, anavyotapa tapa anazidi kujichanganya.
Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?
 
Mbona watu walishangilia kifo cha magufuli? Wakashangilia kifungo cha Sabaya. Au hawakujua kama walikua wanashabikia maumivu ya binadamu wenzao? Au Binadamu ni mbowe peke yake, wengine wote ni mbuzi.
Kwa sababu ni fedhuli na wauaji
 
Hakuna cha sanaa wala mkemia CCM ukiitoa tume ya uchaguzi na askari/jeshi hakuna uchaguzi watashinda mpaka dunia inafika mwisho,ni wizi tu wanafanya hawana jipya.

Mark my words!!!
Wapi hapa duniani ambapo uchaguzi haupo bias?
 
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.

Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.

Amesema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu anafigo yake hapa mjini.
Huyo dogo ni chakula akili yake haiko sawa.
 
Mbowe anasukumwa ndani soon ..

Baada ya Kaaya atakuja shaidi mmoja mtaanguka presha

NB:Ndg zake Freeman wasiwachie hii kesi wahuni ndg yao atazama soon.

Mpaka sasa JMT 2 - Makamanda 0
 
Mbowe anasukumwa ndani soon ..

Baada ya Kaaya atakuja shaidi mmoja mtaanguka presha

NB:Ndg zake Freeman wasiwachie hii kesi wahuni ndg yao atazama soon.

Mpaka sasa JMT 2 - Makamanda 0
Yaani Magufuli uwezo wake ndio uliishia kumwamini Sabaya amtengenezee kesi Mbowe kwa kushirikiana na Kingai ! ni aibu sana kwa nchi
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya.

Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi na dharau kwa DC, Sabaya akaamua kumkamata Kaaya na kumtengenezea kesi ya madawa ya kulevya. hadi makubaliano ya kutoa ushahidi wa uongo dhidi ya Mbowe yalipo kamilika ndio akafutiwa mashtaka yake.

Kwa wasiomjua Eliya Kaaya aliyekuwa mtumishi binafsi wa Sabaya tumewawekea hapa Ushahidi mwanana , sasa mnatakiwa muelewe mashahidi wa kumfunga Mbowe walikotokea .

View attachment 1988464View attachment 1988465View attachment 1988466
 
Yaani Magufuli uwezo wake ndio uliishia kumwamini Sabaya amtengenezee kesi Mbowe kwa kushirikiana na Kingai ! ni aibu sana kwa nchi
Nawambieni Hii kesi msicheze nayo Anakwenda na maji ..

kama wewe ndugu wa Freeman chagueni kuifwatilia hii kesi kwa umakini dalili sio nzuri
 
Wanaweza kumfunga lakini hakuna ushahidi wa kumtia hatiani. Tuna taasisi za ajabu sana nchini badala ya kusimamia na kutetea haki sasa zimeamua kusimamia na kuutetea udhalimu nchini.

Nawambieni Hii kesi msicheze nayo Anakwenda na maji ..

kama wewe ndugu wa Freeman chagueni kuifwatilia hii kesi kwa umakini dalili sio nzuri
 
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Amesema kupiga picha na viongozi au kuvaa nguo ya chama cha siasa sio kigezo za kuwa mwanachama wa chama hicho.

Ameongeza kwamba mbona Kikwete alipiga picha na Tundu Lissu hamkuongea kitu.

Amesema kwamba watu waache kumfuata fuata kwani hawamlishi wala hawamvishi na kila mtu anafigo yake hapa mjini.
Mkuu mbona unahaha kadi ya chama kaka yake kaileta .Yeye yuko na mawakili wa Jamhuri wana mkaririsha Kaka yake kaenda katuleta kadi.Wewe tulia hivyo hivyo
 
Wanaweza kumfunga lakini hakuna ushahidi wa kumtia hatiani. Tuna taasisi za ajabu sana nchini badala ya kusimamia na kutetea haki sasa zimeamua kusimamia na kuutetea udhalimu nchini.

Chifu, Leteni masihara ...

Chagueni kuifwatilia hii kesi vyema.,
 
Back
Top Bottom