kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mahakama ndio itasema ni watu wa ccm au ni chadema wenzie!CCM ni chama chenye watu duni sana ! waliotunga kesi ya Mbowe wana uwezo wa chini mno !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama ndio itasema ni watu wa ccm au ni chadema wenzie!CCM ni chama chenye watu duni sana ! waliotunga kesi ya Mbowe wana uwezo wa chini mno !
Walimpanga wakamwambia aseme hana chama wala sio mkereketwa, hawakujua aliwahi kupiga picha na shati lao.
Kwenye kesi ambaye haruhusiwi kuwa shahidi ni mke au mume pekee! Hata kama ni Mwenyekiti wa CCM, mahakama itazingatia ushahidi utakaotolewa pamoja na mahojiano ya kutoka kwa mawakili wa pande zote. Muhimu kwenye kesi ni Mahakama kuwa huru na wala si kuangalia huyu ni mwanachama wa chama gani na anatoa ushahidi dhidi ya mwanachama wa chama gani.Huyo hapo ndiye shahidi nambari 2 Justine Eriya Kahaya.
Shahidi ni mwanachama mkereketwa na kada wa ccm.
Jee haki hapo ipo au itachelewa?
Ewe Mungu isaidie sehemu inayo umizwa kwenye kesi hii.View attachment 1988721
Asante sana kiongozi kwa utaalamu wako wa sheriaKwenye kesi ambaye haruhusiwi kuwa shahidi ni mke au mume pekee! Hata kama ni Mwenyekiti wa CCM, mahakama itazingatia ushahidi utakaotolewa pamoja na mahojiano ya kutoka kwa mawakili wa pande zote. Muhimu kwenye kesi ni Mahakama kuwa huru na wala si kuangalia huyu ni mwanachama wa chama gani na anatoa ushahidi dhidi ya mwanachama wa chama gani.
Chadema wakishika madaraka utasema hivyo hivyo, ndio hulka ya mwanadamu kusukumizia shida zake serikalini… ndio maana USA wanacheza na akili za Waamerika na kupokezana vijiti lawama zihamie timu B then A then B kuja tahamaki kiama hiki hapa kimekukuta unawaacha wahuni na michezo yao. Siasa ni sayansi ya Sanaa na CCM kwa hapa bongo ndio mkemia mkuu.Nikionaga kijana yupo CCM huku akionyesha kufurahia kwake kuwa upande huo huwa nawaza sana,either anaye ndugu yupo kitengo anampa mpa hela za kula au yeye mwenyewe anafaidika kwa njia anazozijua yeye kuwepo huko.
Unataka kuniamba wale wasanii wote huvaa matisheti ya CCM kipindi cha kampeni ni wanachama? Au mimi ndio sifahamu maana halisi ya mwanachama…Nadhani ndio maana ulaya na USA haya matisheti yalitupiliwa mbali kwa asilimia kubwa.Walimpanga wakamwambia aseme hana chama wala sio mkereketwa, hawakujua aliwahi kupiga picha na shati lao.
... Huyo alikuwa anaishi na Sabaya akimpelekea chai na chakula cha mchana ofisini; mpiga picha. Pumbavu kweli kweli.Nikionaga kijana yupo CCM huku akionyesha kufurahia kwake kuwa upande huo huwa nawaza sana,either anaye ndugu yupo kitengo anampa mpa hela za kula au yeye mwenyewe anafaidika kwa njia anazozijua yeye kuwepo huko.
Matokeo yake amekimbilia face na ku-deactivate account yake ila ikawa too late kumbe alivyokua kizimbani watu wameshamtembelea facebook wameshapakua picha za kutosha tu.
Unataka kuniamba wale wasanii wote huvaa matisheti ya CCM kipindi cha kampeni ni wanachama? Au mimi ndio sifahamu maana halisi ya mwanachama…Nadhani ndio maana ulaya na USA haya matisheti yalitupiliwa mbali kwa asilimia kubwa.
Kwa uelewa wangu mwanachama ana kadi hai ya chama kwa maana ya kuilipia kila mwaka.
Muogope Mungu na teknolojiaWalimpanga wakamwambia aseme hana chama wala sio mkereketwa, hawakujua aliwahi kupiga picha na shati lao.
Huo ukoo unalaana walikunya kanisani enzi ya mgogoro wa dayosisi ya meruHayupo popote hapo huyo ni Mmeru probably kutoka Sing'isi
Mimi naona huyo mwenye 🧣 shingoni bora angeitumia kujinyongea akafa kifo cha kishujaa kama Mkwawa kuliko ilo jiwe la huyo mzee pembeni hapo likimsindikiza aende zake.Tusaidiane hapo tafadhali, wewe unapaonaje?
View attachment 1988807
Unadhani hao ni machinga dhidi ya mgambo wa jiji?
Mimi naona huyo mwenye 🧣 shingoni bora angeitumia kujinyongea akafa kifo cha kishujaa kama Mkwawa kuliko ilo jiwe la huyo mzee pembeni hapo likimsindikiza aende zake.
Mahakama iko huru na itatenda haki
Chadema wakishika madaraka utasema hivyo hivyo, ndio hulka ya mwanadamu kusukumizia shida zake serikalini… ndio maana USA wanacheza na akili za Waamerika na kupokezana vijiti lawama zihamie timu B then A then B kuja tahamaki kiama hiki hapa kimekukuta unawaacha wahuni na michezo yao. Siasa ni sayansi ya Sanaa na CCM kwa hapa bongo ndio mkemia mkuu.
Vipi kuhusu kuukana uanachama wake hadharani kwa uongo ?Kwenye kesi ambaye haruhusiwi kuwa shahidi ni mke au mume pekee! Hata kama ni Mwenyekiti wa CCM, mahakama itazingatia ushahidi utakaotolewa pamoja na mahojiano ya kutoka kwa mawakili wa pande zote. Muhimu kwenye kesi ni Mahakama kuwa huru na wala si kuangalia huyu ni mwanachama wa chama gani na anatoa ushahidi dhidi ya mwanachama wa chama gani.
Baadhi ya picha na maelezo yametolewa na Kaka yake wa damu.Yule jamaa ni mpenda haki sana hakupenda namba mdogo wake anavyotumika kumuumiza MBOWE kisa fedha[emoji38][emoji38][emoji38]