Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
CCM ni wepesi kuliko pamba , Hangaya kauzwa na kauzika , SASA SUBIRIPicha lishaanza kuungua..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni wepesi kuliko pamba , Hangaya kauzwa na kauzika , SASA SUBIRIPicha lishaanza kuungua..!!
Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya.
Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi na dharau kwa DC, Sabaya akaamua kumkamata Kaaya na kumtengenezea kesi ya madawa ya kulevya. hadi makubaliano ya kutoa ushahidi wa uongo dhidi ya Mbowe yalipo kamilika ndio akafutiwa mashtaka yake.
Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.
Wote watafunguliwa kesi na Mungu atwalipaTaarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya.
Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi na dharau kwa DC, Sabaya akaamua kumkamata Kaaya na kumtengenezea kesi ya madawa ya kulevya. hadi makubaliano ya kutoa ushahidi wa uongo dhidi ya Mbowe yalipo kamilika ndio akafutiwa mashtaka yake.
Nakupa ushauri wa bure,Mungu niwaajabu acha kushabikia maumivu ya binadamu wenzako isivyo halali.Pigo utakalo lipata familia yako itakuwa shahidi hutojua namna mikosi na laana vinapotokea.MUNGU wetu ni wa haki hakuna adhabu mbinguni kuna adhabu hapa duniani.tatizo lenu ukweli munaona uongo ila uongo mliowalisha hao makomandoo waje wadanganye mahakama wakashitukiwa kuwa wana sema uongo hamuoni sasa ndiyo ukweli unaongelewa siyo huo ubabaishaji wenu mbowe gaid na anafungwa miaka 60
Ndugu ,Mungu ni waajabu leo ndo nimeamini hii kesi ni yau uongo kabisa.Huyo ni ndugu yangu na hizo picha nimezirusha mimi mitandaoni.Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.
Kwanini usiende kwa akina Kibatala uwasaidie ushahidi mahakamani. Unao ushahidi alafu unakuja kufichua huku ukiwa na fake id? Isaidie mahakama ndugu yangu.Ndugu ,Mungu ni waajabu leo ndo nimeamini hii kesi ni yau uongo kabisa.Huyo ni ndugu yangu na hizo picha nimezirusha mimi mitandaoni...
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya...

Hayo mabegi ya jamaa, anaenda kupanda treni?Mashabiki wa Mwamba mitandaoni: Hii kesi rahisi sana kwa Mwamba, tunashinda saa mbili asubuhi
Wakili wa Mwamba:
![]()
Team Mwendazake walijipanga usipime !Muuza mboga alikuwa na wateja wengi wapenda mbogamboga akiwemo huyu mtu.
View attachment 1988517
Hizo kesi zake za madawa ya kulevya ni namba ngapi huko.police ziweke hapo.Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya...
Tutakuwekea zote na jinsi zilivyofutwa ( ikiwezekana tutakuwekea na video za makubaliano kabla ya kesi kufutwa) , Hii Jf hatushindwi kitu .Hizo kesi zake za madawa ya kulevya ni namba ngapi huko.police ziweke hapo.
Hizo kesi zake za madawa ya kulevya ni namba ngapi huko.police ziweke hapo.Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya...
Kwa nini hamkumpa kibatara aItumie kama ushahidi,Tutakuwekea zote na jinsi zilivyofutwa ( ikiwezekana tutakuwekea na video za makubaliano kabla ya kesi kufutwa) , Hii Jf hatushindwi kitu .