Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Hizo kesi zake za madawa ya kulevya ni namba ngapi huko.police ziweke hapo.

Kwa nini hamkumpa kibatara aItumie kama ushahidi,
Kwa nini hawakufanya hivyo?
Shahidi alikuwa haja julikana ,alivyo julikana ndugu yake ambaye ni mpenda haki ndo akatoa ukweli na udhibitisho wa picha in short kesho kwenye cross examination za KIBATARA tutajua zaidi
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya.

Jambo la kuacha kazi lilimuudhi mtukufu Sabaya ambaye alilichukulia kama kiburi na dharau kwa DC, Sabaya akaamua kumkamata Kaaya na kumtengenezea kesi ya madawa ya kulevya. hadi makubaliano ya kutoa ushahidi wa uongo dhidi ya Mbowe yalipo kamilika ndio akafutiwa mashtaka yake.

Kwa wasiomjua Eliya Kaaya aliyekuwa mtumishi binafsi wa Sabaya tumewawekea hapa Ushahidi mwanana , sasa mnatakiwa muelewe mashahidi wa kumfunga Mbowe walikotokea .

View attachment 1988464View attachment 1988465View attachment 1988466
Wanadai Sina permission ya kuangalia hizo attachment! Nakubali na Nashukuru, mimi siyo Mmeru anaye penda Wameru wenye ‘shile shile’, kuleeee nyai kabisa! Bora sijamwona!
 
Nakupa ushauri wa bure,Mungu niwaajabu acha kushabikia maumivu ya binadamu wenzako isivyo halali.Pigo utakalo lipata familia yako itakuwa shahidi hutojua namna mikosi na laana vinapotokea.MUNGU wetu ni wa haki hakuna adhabu mbinguni kuna adhabu hapa duniani.
Mbona watu walishangilia kifo cha magufuli? Wakashangilia kifungo cha Sabaya. Au hawakujua kama walikua wanashabikia maumivu ya binadamu wenzao? Au Binadamu ni mbowe peke yake, wengine wote ni mbuzi.
 
Mashabiki wa Mwamba mitandaoni: Hii kesi rahisi sana kwa Mwamba, tunashinda saa mbili asubuhi
Wakili wa Mwamba:
FCtEgiPWQAIDAvu
Mambo magumu😂. Wakili kabeba hadi begi la mkewe kuingia mahakamani.
 
Mbona watu walishangilia kifo cha magufuli? Wakashangilia kifungo cha Sabaya. Au hawakujua kama walikua wanashabikia maumivu ya binadamu wenzao? Au Binadamu ni mbowe peke yake, wengine wote ni mbuzi.
Unahalalisha matendo yasiyo haki ya hao watumiaji vibaya wa madaraka, ambao hukumu zao zimefanyika kwa haki, mmoja Kisongo na mwengine gereza la mbali zaidi? You are next!
 
Wanadai Sina permission ya kuangalia hizo attachment! Nakubali na Nashukuru, mimi siyo Mmeru anaye penda Wameru wenye ‘shile shile’, kuleeee nyai kabisa! Bora sijamwona!
Nadhani ni shida tu ya mtandao .
 
Nakupa ushauri wa bure,Mungu niwaajabu acha kushabikia maumivu ya binadamu wenzako isivyo halali.Pigo utakalo lipata familia yako itakuwa shahidi hutojua namna mikosi na laana vinapotokea.MUNGU wetu ni wa haki hakuna adhabu mbinguni kuna adhabu hapa duniani.
Malipo ni hapa hapa Dunia wanafurahia Shida na Mateso ya Mbowe ila MUNGU Atasimama na Mbowe
 
Shahidi #2 upande wa mashtaka Justin Kaaya angali kumaliza kudodoswa:

IMG_20211027_185502_034.jpg

Ila hadi hapa tulipo kwa maelezo yake:

1. inafahamika kuwa yeye ni mkereketwa tu wa CCM asiye kuwa na chama.
2. Yeye ni mkulima wa karoti, nyanya, vitunguu, maharage na mahindi.
3. Kama mkulima alikuwa pia mpeleka chai na chakula ofisini kwa Sabaya.
4. Kumbe SABAYA ana mke na yale ya mchumba na mahari bila shaka ilikuwa ni janja yake tu.
5. Aliandikishwa maelezo kwa ajili ya kesi hii baada ya yeye kufutiwa mashtaka.
6. Hakuwahi kuwaona washitakiwa #2 na #3 hadi alipokutana nao gerezani

Hata hivyo haijulikani umuhimu wa shahidi huyu mkereketwa:

IMG_20211027_200513_471.jpg

Mbowe kama mgombea ubunge Hai wakati huo, alikuwa na haki ya kuwapeleleza washindani wake.

Bila ya shaka washindani wake walikuwa wakimpeleleza pia.
 
Haki haitoki kwa shahidi, inatafsiriwa kwenye sheria na jaji, na sio maoni yake.
 
Back
Top Bottom