Kuna watu wanamlaumu Shahid wa pili Bw. Kaaya kwamba amejichanganya Sana kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Lakini tumeona mwonekano wake, endapo hizi picha zinazosambazwa ni za kwake ina maana amjaona tatizo la uimara wa kimaumbile wa kijana huyu? Its like anatumia mkorogo ili apendeze, analazimsha picha na Viongozi ili azitumie kuishi mjini, anaonekana mlegevu si kifikra tu bali hata mwonekano. Haya mapungufu ya nje yanatosha kuacha kumshambulia nakuomba asiaribike zaidi .
Lakini pia hawa vijana wanaoishi kwakuwatumikia wanaume wenzao wapo wengibsana kwa Sasa, kijana mdogo Kama huyo anatangaza kwamba alikuwa anamhudumia Sabaya chai ikiwemo kumpelekea chai ofisini,huyu Ni mwanaume aliyekamilika? Anaeleza Sabaya alikuwa na mke, kwanuni yeye atumike kumpikia chai na kumpelekea ofisini mwanaume mwenzie? Wazazi Hawa watoto wanaharibika kwa sababu tumewaruhusu watumiwe vibaya ba wenye madaraka na fedha, mtoto wako anakwenda kumpikia mwanaume Mwenye mke chai umekaa tu unaona ndo ajira?
Mkuu wa wilaya ana wasaidizi wanaolipwa mshahara na serikali, leo anajitokeza mwanaume anakiri adharani kwamba alikuwa anamuhudumia DC na tunaona nikawaida kabisa. Mwanaume huyu anasambaza picha zake na Viongozi tunaona sawa tu, pls tunapolijenga Taifa lenye maadili tuangalie pia Hawa watu wanaojisogeza karibu na Viongozi Wana hitilafu gani? Mimi huyu kijana kwenye picha na kazi alizokuwa na anafanya na hii kujipodoa kwake napata wasiwasi kidogo Kama Ni riziki