JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

Kama hamna technology kwenye Jeshi la hapa badala ya kwenda na mda wanavunja matofali , je kombora ikirushwa watafanyaje au wataidaka kwa mikono kama rede
 
Ni wapi nimesema tununue iron dome? Hoja yangu ni kwamba tuwekeze kwenye tech na kuwekeza kwenye tech sio lazima kununua iron dome!!
 

Kuwekeza kwenye technolojia sio kununua iron dome! BTW hamna sehem nimeandika tununue iron dome!
 
Vita ni kama game plan ya mechi za mpira wa miguu

Hao waisrael walienda Uganda kimyakimya kuwaokoa watu wao na kuondoka nao kimya kimya mbona hawakuenda na makombora yao
 
Mkuu hao makomandoo unaowasema wanavunja tofali ni special force, nadhani kama unayajua majukumu ya special force utaona umuhimu wa wanachokifanya kwa mfano moja ya jukumu la special force ni uokoaji katika mazingira magumu kwa mfano tukio la utekaji wa raia wa Israel nchini Uganda lilishugulikiwa na Mosad, maana yangu ni kuwa hata kama una teknolojia kubwaa kiasi gani bado kuna matukio hayahitaji teknolojia kwa mfano japo Marekani ina teknolojia kubwa ila mission ya kumkamata na kumuua Osama ilihitaji special force ili kutoathiri nchi nyingine hali ambayo ingepelekea vita ndo maana Marekani haikutumia drone, missile au kitu chochote zaidi ya hao makomandoo pia kwa mfano raia wa nchi yako wametekwa au askari wako wametekwa ukitumia makombola au drone utaua hadi raia na askari wako hapo ndo unakuja umuhimu wa special force
Pili Jwtz linawekeza pia kwenye teknolojia na kuna
jwtz lina aina nyingi za silaha na vifaa ambavyo vime advance ila huwezi ukaviona sababu siyo utamaduni wetu kuonesha kila silaha tuliyonayo japo hatuwezi kulingana na hao Israel au Marekani ila kwa maadui zetu na majirani tunaweza kuwa win
NB :ingekuwa vita ni teknolojia pekee basi Marekani kwa ushirikiano na kenya na umoja wa mataifa wangekuwa wameshakimaliza kikundi cha al shabab pia boko haram Nigeria ila jwtz special force ndo ilisaidia kuwaondoa m 23 Congo kwenye maeneo magumu kijiografia ambapo hizo teknolojia zilishindwa
 
Mada hii imekaa Kidharau dharau dhidi ya Jeshi letu la wananchi.. wanakulinda wale Lakini ukiwa Umelala Usingizi na kuendelea na mambo yako kwa Amani.
Mambo yao mengi ni ya Siri.
Na ndo taratibu zao kiutendaji.
Kwanza hata huko waliko endelea hawajacha kutumia askari (hardened soldiers) binadamu na ndio maana muda wote wanafanya utafiti wawe na super soldiers huwezi teka nchi kwa keyboard pekee you need boot on the ground, tech ni kwa ajili ya kupunguza askari wako wengi kufa uwanja wa vita nk kingine baadhi ya mada waweza kuta hata sio za watanzania maana kiswahili kwa sasa kimesambaa
 
do not under estimate jeshi linalo linda mipaka za nchi yako.
there are things you can't see sababu hupaswi kuona, na kutokua na machafuko au kutokua na maadui wanaopelekea kuto ona uzito na uimara wa jeshi kusikupumbaze.
 
Lazima wewe itakuwa sehemu ya wale wavunja matofali kwa kichwa
 
Asante,wewe ndio umetoa maelezo ya kueleweka,kuna 'wadau' hapo juu walikuja wamepanic badala ya kuelimisha wakaanza na matusi
 

Safi Sana Bloody
 
Nakufananisha na Layman anaelalamika kuwa Ma engineers wa tanzania wameshindwa kutengeza hata Toothpick, Natambua wewe ni msomi ila kwa hapa naona uko wrong kuna vitu lazima viwepo tu mana kuna special mission afu JW iko na investment kubwa na Research zinafanyika, Itoshe tu Kusema Jeshi letu ni bora kabisa Africa
 
Umeua....
 
Area51 marekan wanakuua kabisa

We unasema kulishwa wali na kuogeshwa lita1..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…