Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kama hamna technology kwenye Jeshi la hapa badala ya kwenda na mda wanavunja matofali , je kombora ikirushwa watafanyaje au wataidaka kwa mikono kama redeKaweke akili charge. Battery low.
Kwa hilo Boko ulilolitoa kama akili zako zingekua zinaCharge a bit......
America wasingekua na wale jamaa wa NAVY SEALS au MARINES ambao wao wanavunja nazi kwa ugoko.
Kacharge akili izo au battery haikai na chaji??????
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app