Kwemye uwanja wa inteligency sio maneno maneno evidency ndio jambo la msingi. Kwa vyovyote walipaswa kupata sauti ya Mbowe na washirika wake wakipanga mkakati yao yote. Hilo halikufanyika aidha na Urio au hata watoa taarifa wake.Shida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye".
Hapo watashirikiana hadi kuwapata hao walinzi na mambo yote yaliyoendelea mbowe akiamini kuwa urio yupo upande wake kumbe mwenzake ameshakuwa pandikizi. kumbuka kuwa hayo mambo ua uovu lazima yalikuwepo kitambo na serikali ilikuwa inatafuta namna ya kureveal kupata ushahidi. mbowe akaingia king...na ndio yupo hapo anashangaashangaa tu anatokaje, anasubiri tu huruma za wananchi na serikali. ukweli halisi anaujua mbowe, na Mungu anamuona.
Wala hawakuzipata kwenye forensic investigation hivyo inakuwa ni maneno maneno. Na ndio inatupa picha kwamba
Vyombo muhimu vya ulinzi na usalama havikushirikishwa badala yake kuna watu walikaa na kujitungia tuhuma.
Ama Jeshi na vyombo vingine vilihusishwa kuona hakuna issue lakini kina Kingai et al wakaamua kivyao bila credible evidence