JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.

Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.

Kuna haya mambo yafuatayo:
1. Je, jeshi lina taarifa za askari wake Denis Urio kumtafutia Mbowe walinzi ambao yeye Urio anasema walipanga kufanya uhaini? Hata hivyo mahakamani Urio kasema hakuripoti Jeshini bali karipoti kwrnye mamlaka ya kipolisi. Je, hivi ndivyo askari wa JWTZ anavyopaswa kufanya pindi anapopata taarifa za uhaini?

2. Ushahidi wa Urio una matobo mengi, kuna kila sababu ya kudhani kuwa Urio anatoa ushahidi wa uwongo ili kuwaumiza raia wasio na hatia–Hapa JWTZ haina budi kufanya uchunguzi binafsi na kujiridhisha juu ya mwenendo na tabia za askari wake huyu Denis Urio

3. Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani. Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
 
Kuipata haki hapa Duniani ni ngumu sana, kitu kimoja naamini ni kwamba Mungu yupo, anaona, anasikia na anajibu, nani alijua kwamba yule Bwana fulani angeondika mapema tena hata bila kukamilisha mipango yake, Mbowe atulie, akubali matokeo yatakayokuja, awe na imani Mungu yupo na wenye haki wanamuombea.
 
Ninachojua ni JW ni uozo uleule wa kina Kingai. Jeshi sio moja kuna maofisa wa jeshi hao huwatesa na kuwaonea sana wasio maofisa ambao ndio wengi sana. Hapa kama ingekuwa nchi zenye kujitambua hawa askari wa chini wangesababisha mkuu wa majeshi kujiuzulu na kupelekwa mahakamani.

Luteni anatumia madaraka yake kuwaumiza vijana wa vyeo vya chini na waliofukuzwa kazi na wanahisi wanaweza rudishwa kazini kwa kutumia mahusiano yao na huyu mwalimu wao. Hapa wakijitetea kwa kutumia Undue influence maana wapo chini ya kiapo cha jeshi Urio hachomoki
 
Kwanza anawajulisha raia makomando wa mtaani ambao wametoka kazini. Sisi wala hatuwajui sasa kuwatambua tu ni hatari kubwa. Kwakuwa ukimteka mke au mtoto wa komando na ukamshurutisha komamdo afanye lolote atafanya bila kusita hvyo si vyema kuwatambua watu hatari kama hao kwa namna yoyote ile hata waliopo kazini bora tu kujua huyu ni mwanajesh na si kujua kuwa ana uwezo gani
 
Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.

Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
Huyu kachemka saana. Kwa taarifa hili alilolifanya Urio siyo geni na mara nyingi linafanywa na wanoko kwa maslahi binafsi, alijua akiripoti kwa wakubwa wake taarifa inaweza zisimfikie JPM na akakosa cheo.

Hili lilitokea miaka ya 80 hivi kwenye kesi ya uhaini, afisa mmoja wa jeshi akiwa kambi ya monduli alipata taarifa badala ya kumwambia mkuu wake jeshini alienda kwa mkuu wa mkoa wa Arusha somebody km Mhavile. Ninakumbuka mchakamchaka aliopelekeshwa na akina Lakha.
 
Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.

Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
Ndokeshatoa ushahidi kwamba aliwapeleka wale vijana kwa kazi ya ulinzi na sio ugaidi nahicho ndicho kilichoendelea kufatiliwa na ulio nandio shahidi muhimu alokuwa anasubiriwa kuthibitisha ukweli,tusipotoshe
 
Ninachojua ni JW ni uozo uleule wa kina Kingai. Jeshi sio moja kuna maofisa wa jeshi hao huwatesa na kuwaonea sana wasio maofisa ambao ndio wengi sana. Hapa kama ingekuwa nchi zenye kujitambua hawa askari wa chini wangesababisha mkuu wa majeshi kujiuzulu na kupelekwa mahakamani.

Luteni anatumia madaraka yake kuwaumiza vijana wa vyeo vya chini na waliofukuzwa kazi na wanahisi wanaweza rudishwa kazini kwa kutumia mahusiano yao na huyu mwalimu wao. Hapa wakijitetea kwa kutumia Undue influence maana wapo chini ya kiapo cha jeshi Urio hachomoki
Naona hamjaelewa,,, Urio kwa mujibu wa ushahidi wake, HAKUTAKA KUFANYA KAZI NA MBOWE, tangu 2008 mbowe ndo anamtafuta urio kumuweka sawa
Urio kapewa go ahead na DCI , kuendelea na hiyo ishu kama njia ya kumnasa mhalifu,,
Hiyo hapa kwetu Lubumbashi, inaitwanga, STING OPERATION,
kama hii ishu ni kweli, itakuwa walibugi kwenye kukamata haraka kabla ndege hajaingia tunduni,,
Kimsingi hapo sioni kesi
 
No no mkuu urio alitakiwa apeleke taarifa hizi za kigaidi kwa MI ,ambao wangewasiliana na DCI for the way forward,tusiwe vihiyo hivi!
 
Kuipata haki hapa Duniani ni ngumu sana, kitu kimoja naamini ni kwamba Mungu yupo, anaona, anasikia na anajibu, nani alijua kwamba yule Bwana fulani angeondika mapema tena hata bila kukamilisha mipango yake, Mbowe atulie, akubali matokeo yatakayokuja, awe na imani Mungu yupo na wenye haki wanamuombea.
Haendi popote na Wala hafungwi!!!! Mark my words.
 
Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata
Shida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye".

Hapo watashirikiana hadi kuwapata hao walinzi na mambo yote yaliyoendelea mbowe akiamini kuwa urio yupo upande wake kumbe mwenzake ameshakuwa pandikizi. kumbuka kuwa hayo mambo ua uovu lazima yalikuwepo kitambo na serikali ilikuwa inatafuta namna ya kureveal kupata ushahidi. mbowe akaingia king...na ndio yupo hapo anashangaashangaa tu anatokaje, anasubiri tu huruma za wananchi na serikali. ukweli halisi anaujua mbowe, na Mungu anamuona.
 
Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.

Kuna haya mambo yafuatayo:
1. Je, jeshi lina taarifa za askari wake Denis Urio kumtafutia Mbowe walinzi ambao yeye Urio anasema walipanga kufanya uhaini? —Hata hivyo mahakamani Urio kasema hakuripoti Jeshini bali karipoti kwrnye mamlaka ya kipolisi. Je, hivi ndivyo askari wa JWTZ anavyopaswa kufanya pindi anapopata taarifa za uhaini?

2. Ushahidi wa Urio una matobo mengi, kuna kila sababu ya kudhani kuwa Urio anatoa ushahidi wa uwongo ili kuwaumiza raia wasio na hatia–Hapa JWTZ haina budi kufanya uchunguzi binafsi na kujiridhisha juu ya mwenendo na tabia za askari wake huyu Denis Urio

3. Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani—Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
Urio ni usalama yupo jeshini kwa kazi maalum hivyo anatumika na CCM
 
shida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye". hapo watashirikiana hadi kuwapata hao walinzi na mambo yote yaliyoendelea mbowe akiamini kuwa urio yupo upande wake kumbe mwenzake ameshakuwa pandikizi. kumbuka kuwa hayo mambo ua uovu lazima yalikuwepo kitambo na serikali ilikuwa inatafuta namna ya kureveal kupata ushahidi. mbowe akaingia king...na ndio yupo hapo anashangaashangaa tu anatokaje, anasubiri tu huruma za wananchi na serikali. ukweli halisi anaujua mbowe, na Mungu anamuona.
Pointless, kwanini polisi hawakujifanya ndiyo walinzi wanatafuta kazi? shame on you
 
Jana ilivyokua mahakamani:

Wakili-Kuna msg yoyote/ujumbe wa sauti wowote ulio onyesha Mbowe akikuita wewe ndg Shahid (urio) Hilo jina la 'Homeboy'?

Urio-Hapana

Wakili:Je tukisema wewe ndio umetunga hilo jina la homeboy kwa kujipendekeza kwa Mbowe ili kujifanya unamjua sana tutakua tumekosea?

Urio-Sijui.
 
Back
Top Bottom