JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

Huko wanakokwenda kufundishwa ukomandoo wanahenyeshwa na Hamas mitaani, tunawaona wakomandoo wanaowafundisha Tanzania wakilia na kujiharia. Kwa ushahidi kabisa.
Hahahaaa! Hivi huko Gaza hayo mambo kama ya kuvunja mbao kwa mikono yanasaidiaje?

Mwanajeshi yeyote yule akijikuta yuko kwenye hali ya kupigana ngumi na adui ajue amekwisha.

Vitani hakuna anayepigana ngumi.

Yaani mimi mwanajeshi nimbananishe adui halafu eti tuanze kupigana ngumi wakati naweza kukutandika shaba? Abadani asilani.

Sitopoteza kabisa muda wangu kurusha mateke na ngumi. Ni shaba tu.
 
Majeshi yote yanafanya hivyo, na uwezo wa jeshi haupimwi kwa Maonyesho, mbona Jwtz Wana Successfull mission nyingi tu Congo, Comoro, Uganda etc. Compare na Nchi jirani Jwtz wapo level headed sana.

Hapo labda Uganda tu, Tena kutokana mshikamano wa wananchi kipindi kile. Leo ikitokea vita na Uganda Kuna wananchi wengi wataisapoti Uganda iwaindoe wakoloni weusi CCM.
 
Nchi inajilinda hii. Amani ya nchi hii siyo kwasabb ya jeshi. Ni aina ya watu wake. Wajinga waliojaa uoga na hofu.

Mitafaruku ya nchi jirani haisababishwi na uvamizi au udhaifu wa majeshi yao. Ni kwasabb ya aggressiveness ya wananchi wake.
 
Hauwaogopi wakati huo unatumia ID feki ili usitambulike?, kwanza hata jeshi tumeenda mbali tumia utambulisho sahihi alafu uongee mbovu dhidi ya serikali uone kama ujapapaswa kalio mchana kweupe na vijana wa chama cha kijani .

Wewe mbona unatumia ID feki na ni chawa wa CCM
 

Mbona M23 bado wapo.
 
Huko watu wanavaa bullet proof, risasi za kawaida haziingi wanalambwa na rpg za kupigia vifaru.
 
Trump alitiwa hasira sana na kiduku kwa maonyesho yake,
Alivyokuwa mpumbavu awaambia US Army nao wafanye hayo maigizo, magenerali wa US Army wakamwambia akae kwa kutulia..... 🤣

Chai Kama chai. Ulikuwa ikulu ya marekani kusikia hayo?.
 
Upuuzi tu. Yani ni vichekesho. Ata stunt za kwenye movie wanawashinda. Ushamba tu. Hawa wanatakiwa waachwe pale Yemen tu au Somalia alafu wapoteze muda na hizo bata vuzi ndio watajua hawajui. Yani tunaaibisha.
 
Utoto mwingi sana. Wemzao wa wafanya mazimgaombwe mashule na
Wa Mapawa walishaacha hizi mambo, wenyewe bado wapo nazo tu. Onyesho hili limekidhi vigezo vyote vya maigizo kwa shule za msingi, lakini kiuhalisia haliakisi chochote katika action, maana linaibua maswali mengi pia ni wazito
 
Lingekuwa vizuri CCM isingekuwepo. Tuache kusifiana ujinga. Hawana la maana.
 
Acha tu mkuu, Kuna watu wamelewa Amani, ila hawajui wanaoisimamia hiyo Amani ni akina nani.
 

Mbona unachanganya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…