Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Itakuwa aliyekutanishwa na vikombe ni huyu mleta uzi. Ametype kwa kutumia ulimi tena kwa uchungu sanaKwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
Hai wanao tudhulumu na kusema.Low IQ, Majeshi mengi Duniani hufanya IQ testing kabla ya kuajiriwa Jeshini lkn Tanzania hakuna IQ testing matokeo yake ndiyo hayo Una Jeshi ambalo halijui hata jukumu lake ni lipi, hawajui hata kazi yao katika nchi ni ipi wanaishi kuleta ubabe kwa dala dala kwa raia wakati wamekuwa trained kuilinda nchi.
Mimi nimetembea nchi nyingi hata za Kiafrika hata hapo Kenya tu huwezi kuona Mwanajeshi anazurura mjini ukiona Mwanajeshi mjini wako kwenye gari na wana kitu wanafanya wakimaliza wanatokeamea hawana stori na mtu raia, Tanzania kila siku ugomvi na raia wanagombania wanawake, wakitoka mafunzoni wanaingia mtaani kupiga raia ambao walipaswa kuwalinda …
Dp world wanazitaka hadi sheria za nchi zibadilike kufuata mkataba wao; nadhani huko ndiyo unyama mkubwa kuliko wote uliyowahi kutokea tanganyikaHivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania ?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao ?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi ?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
View attachment 2732721
N.b
NAOMBA MODS MSIFUTE WALA KUHAMISHA HUU UZI.
Nawashangaa wanaosema huyo raia ameteswa, hapo alikua anakumbushwa tuu 🤠🤠Huyo hata hajateswa, tuviheshimu sana vyombo vyetu vya ulinzi.
Nilishawaambia tunatawaliwa kijeshi.Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania ?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao ?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi ?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
View attachment 2732721
N.b
NAOMBA MODS MSIFUTE WALA KUHAMISHA HUU UZI.
Umeandika ujinga sana.Mi nilidhani mateso makali kumbe vitu vyenyewe kawaida vile?Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania ?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao ?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi ?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
View attachment 2732721
N.b
NAOMBA MODS MSIFUTE WALA KUHAMISHA HUU UZI.
Nasemaje wapigwe tu, vijana ujuaji wa kijinga umezidi. Na Bahati mbaya wanafanya makusudi.Wao wametumia Sheria gani kutoa adhabj hiyo.
Wewe hujielewi hufai kuishi jamii ya iliyostaharabika.
Taifa likiwa na watu kama nyie tutakuwa na Taifa la watu wajinga
Kama nimeandika ujinga unafanya nini sasa hapaUmeandika ujinga sana.Mi nilidhani mateso makali kumbe vitu vyenyewe kawaida vile?
Hajateswa hapo bado pengine huyajui mateso wewe!
Tanzania ndio nchi pekee ambayo maswala ya akili hayajapewa kipaumbele.Low IQ, Majeshi mengi Duniani hufanya IQ testing kabla ya kuajiriwa Jeshini lkn Tanzania hakuna IQ testing matokeo yake ndiyo hayo Una Jeshi ambalo halijui hata jukumu lake ni lipi, hawajui hata kazi yao katika nchi ni ipi wanaishi kuleta ubabe kwa dala dala kwa raia wakati wamekuwa trained kuilinda nchi.
Mimi nimetembea nchi nyingi hata za Kiafrika hata hapo Kenya tu huwezi kuona Mwanajeshi anazurura mjini ukiona Mwanajeshi mjini wako kwenye gari na wana kitu wanafanya wakimaliza wanatokeamea hawana stori na mtu raia, Tanzania kila siku ugomvi na raia wanagombania wanawake, wakitoka mafunzoni wanaingia mtaani kupiga raia ambao walipaswa kuwalinda …
Upo sahihi kabisa hasa kwa mfano uliotoa wa jeshi la Uganda na jeshi letu katika vita vya kagera wananchi wa Uganda kwa asilimia kubwa walikuwa against dhidi ya jeshi lao na walikuwa wanawachoma kwa JW kutokana na ubabe ubabe wa kipuuzi wa jeshi la aminiJeshi lenye poor training na vilaza wengi huwa linachukia raia na huwa linawanyanyasa, na ndio jeshi huwa linapokea kichapo likikutana na jeshi lenye maadili.
Sifa mojawapo ya nchi zinazoshinda vita ni muunganiko na kuelewana kwa wanajeshi na raia. Mwaka 1973 Israel ilipovamiwa na Waarabu ilikuwa kwenye sikukuu ya Yom Kippur ambayo ndiyo takatifu zaidi kwa Wayahudi na walikuwa mapumziko huku wakizingatia sheria kali za dini. Raia walipojua nchi imevamiwa haraka wakatoa magari yao sababu siku hiyo hakukuwa na safari ni siku takatifu. Watu wakahamasishwa kuachana na sherehe wakapambane, reserves zikatumia magari ya kiraia kufika kambi zao na mambo mengine yakaendelea. Yani bongo tuseme daladala, Abood, Shabiby na makampuni yote yajiamulie yenyewe kubeba wanajeshi kuwawahisha Arusha mfano tumevamiwa na Kenya.
Kwa upande mwingine, jeshi la Uganda kwenye vita ya Iddi Amin lilikuwa linachukiwa kiasi kwamba Tanzania ilikuwa inashangiliwa ikichukua mji. Na hapo kuna support kubwa tulipata kwa Waganda, na raia nchi nzima walilisusia jeshi wakati sisi huku bongo walikuwa wanapewa michele na ng'ombe bure na raia wapate nguvu. Kwanza Waganda walikuwa wanakimbia recruitment, si mnajifanya mna nguvu kapigane wenyewe wakati sisi huku raia alikuwa anakataliwa Mara kwa ubovu wa jicho anapanda basi anaenda kujiandikisha Mwanza ashajua namna ya kukwepa ukaguzi.
Ukishakuwa na wanajeshi wanajiona ni class tofauti na raia ujue kwenye recruitment unabeba vilaza wasiostahili na kwenye training unapwaya.
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania ?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao ?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi ?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
View attachment 2732721
N.b
NAOMBA MODS MSIFUTE WALA KUHAMISHA HUU UZI.
Kwa hiyo ndio washikishe watu mioto .Are you serious ?
Ni sheria gani ya nchi inaruhusu hao wanajeshi kufanya hicho kitendo ?Sasa Mkuu utuambie ni sheria gani Hapa Tanzania inaruhusu Raia kuvaa sare za majeshi bila kibali maalumu...!!!!
Anyway wanaovaa Nguo Za Majeshi Hali ya kuwa wao sio Askari Basi Wachukuliwe Hatua za kisheria tu na sio kuwapiga na kuwashikisha Mioto