JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania ?

CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao ?

Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?

Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi ?

Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
View attachment 2732721
N.b
NAOMBA MODS MSIFUTE WALA KUHAMISHA HUU UZI.
Mmezidi dharau, wacha mnyoshwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania ?

CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao ?

Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?

Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi ?

Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
View attachment 2732721
N.b
NAOMBA MODS MSIFUTE WALA KUHAMISHA HUU UZI.
Mbona fala sana wewe. Hayo ndiyo mateso? Kuna mateso hapo kweli? Kweli ? Serious?
Hata aibu huna.
 
Nafikir ni kukosa EXPOSURE tu.Hayo mavazi hayana lolote kwa raia kuvaa. Nchi nyingi sana raia wanavaa na hakuna upuuzi kama wa huku bongo.Yaani eti kubeba kitu au kuvaa nguo ni kosa,kwa mantiki ipi?Kwamba nikivaa nguo inayofanana na jeshi,jeshi linaathirika vipi katika shughuli zake hadi iwe kosa kubwa sana?
Hapo huwa nawashangaa Sana hata viongozi WA Jeshini, ina maana kwamba hata hawajaona Hilo sio la msingi na kina Mambo meeengi ya msingi kuzingatiwa kuonyesha weledi wao not in this petty issue kama vimavamazi vifananavyo na sare zao.

Kuna muda inabidi matamko yanapotolewa na viongozi wajuu wajitafakari mara mbali, ukizingatia mpka umekuwa it means up na akili iliyojitosheleza on every aspects 😀.
Only in 255
 
Toka nakua marufuku kuvaa mavazi ya jeshi, na juz wametoa Tena into Ila ndo hivyo hatusikii tunazani utani.
 
Kwenye hii clip nimewaza: Hawa wanajeshi wameichoma moto nguo wanayopigania kuilinda? 🤔 hii imekaaje Wakuu na kama ni ya jeshi la Tz inakuwaje hapa?.

Ni kama vile haina maana tena

Anyway
Hawaoni pia wanamdhalilisha raia wao, ujue hata watelekelezaji WA jicho kitendo they lack something on their brain despite walitoa tangazo...nguvu nguvu zisizo na msingi hata viongozi wakuu tunaona 😅
 
Uhusiano wa jeshi na raia unapaswa kuwa sawa na ule wa maji na samaki. Jeshi haliwezi kushinda vita bila kuungwa mkono na raia; na raia hawawezi kuishi kwa amani bila kuwa na jeshi imara na lenye nidhamu. Uhusiano mbovu wa jeshi na raia kulimuumiza sana Idd Amin...na Uhusiano mzuri wa jeshi na raia kuliwapa shida sana Wamarekani kule Iraq....

Kwani raia kama huyu angepewa onyo tu hao wanajeshi wangepungukiwa na nini?
Well said.
Hiki ni kitu JWTZ wanatengeza chuki kati ya jeshi na raia hii ni hasara kubwa sana uwanja wa vita.

Namna ambavyo Polisi inachukiwa na raia ndio yanazidi kwa kasi JWTZ nidhamu ni mbovu kabisa.

Ni ngumu kuungana na jeshi linalo onea raia dhidi ya adui itakuwa vise versa kuungana na adui kulitandika jeshi onevu.

Amini ilimcost sana hii tabia wanayo onesha JWTZ
 
Haikubaliki kuchukua sheria mkononi ila na raia pia wakumbuke hawaruhusiwi kuvaa nguo za jeshi.

Majeshi yetu yana udhaifu kwenye kufanya good judgement kwahiyo sio vizur kuwa provoke, unaweza kufa kirahisi sana
Sure...
 
Ripoti ya CAG wameka kimya kama sis
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania ?

CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao ?

Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?

Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi ?

Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
View attachment 2732721
N.b
NAOMBA MODS MSIFUTE WALA KUHAMISHA HUU UZI.
Ripoti ya CAG wamekaa kimya kama sisi wanahangaika na "MITUMBA" mtaani kweli hii nchi ina maajabu yake😫😫😫
 
Na huyo atakuwa alisikia hilo katazo ila kwa sababu ya upumbavu wake alitaka ku test mitambo ya JWTZ na hapo ndipo amekunbana na kisiki cha mpingo! Hiyo nimeipenda sana!
Huna akili ,ni bora baba yako angepiga nyeto . takataka kabisa .
Unaelewa nini kuhusu utawala wa sheria wewe mbwa ? ,Au unataka kila mtu awe anajichukulia sheria mkononi ? , Pimbi wewe
 
Back
Top Bottom