JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Wewe nawe ni hamnazo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Vijana wenzangu waache kuvaa izo nguo, askari jeshi akupeleki polisi wala mahakamani.

Jw na jeshi la polisi walishatoa katazo la kuvaa nguo za mbogamboga.wenyewe awataki msilazimishe.

Na huyo atakuwa alisikia hilo katazo ila kwa sababu ya upumbavu wake alitaka ku test mitambo ya JWTZ na hapo ndipo amekunbana na kisiki cha mpingo! Hiyo nimeipenda sana!
 
Nafikir ni kukosa EXPOSURE tu.Hayo mavazi hayana lolote kwa raia kuvaa. Nchi nyingi sana raia wanavaa na hakuna upuuzi kama wa huku bongo.Yaani eti kubeba kitu au kuvaa nguo ni kosa,kwa mantiki ipi?Kwamba nikivaa nguo inayofanana na jeshi,jeshi linaathirika vipi katika shughuli zake hadi iwe kosa kubwa sana?
 
Mambo ya kizamani na ni ushamba mwanajeshi kupiga raia kwa nchi inayofuata utaratibu wa sheria
Ili uwe salama kuna vitu vya kuhepuka,unajua kabisa jeshi ni wazamani na washamba alafu unavaa nguo zao walizokataza,la hasha,,!watakuonyesha ushamba na uzamani wao,,!

Mshauri uyo raia akashtaki polisi chap,,!
 
Kwahio kama raia haruhusiwi kuvaa nguo za jeshi akikamatwa ndio ateswe?kwanini wasimpeleke polisi?ndio wanasema jeshi letu lina nidhamu,nidhamu gani hio ujinga mtupu na ushamba unawasumbua tu
 
Punguza tabia za kivulana,, sas huyo amepewa adhabu gn kias kwamba koromeo lako limetoboka kias hicho? Hebu angalia hiyo Crip sura na macho ya huyo unayesema anaonewa hrf ukipata jibu jitafakali! Hii ni Tanzania ondoa mihemko kufananisha na nchi nyingine,Kila nchi inataratibu zake ndani ya majeshi Yao, epuka kuutumia uhuru wako vibaya, wapo vijana wengi waliokosa maaadili wanavaa mavazi ya majeshi kwaajili ya nia ovu,, hivyo hata wewe unawajibika kutoa elimu Kwa wengine! Tuepuke kuchafua vyombo vya ulinzi na usalama kwakutumia mavazi Yao! Kazi iyendeleee
 
Wewe ni mpumbavu KIWANGO cha SGR. Nguo za jeshi zinaeleweka.Yaani kila nguo yenye bakabaka basi ni ya jeshi?Shida hujatembea ndio maana unaona mtu akivaa nguo kama za jeshi na sio mwanajeshi basi ni jambazi. Kuna nchi nilienda, Raia kupiga nguo kama za jeshi ni kitu cha kawaida sana na hata wewe ukimuona unajua tu huyu sio mwanajeshi. Yaani kuvaa kaptura kama ya jeshi basi LAZIMA utakua jambazi?Hii MENTALITY ni ya kipuuz sana hapa bongo.Ni MENTALITY za kipuuz tu unakuta mwanajeshi anampiga raia anasema oooh hii nguo tumesotea we huwezi vaa kirahisi. Hivi wanajeshi wanaosotea wako Tz tu?
 
Tangazo llitolewa jaman radio ziltangaza mitandaon tumeona na haikuishia hapo tukapeana na habar mitaan! Anayevaa alikuwa haamin na hajawah kuona hao watu walivyo msiwachafue jaman wamepata tabu kupata hzo gwanda #Kazi iendelee
 
Sio haki na sio sahihi.
Wanajeshi hawapaswi kuchukua sheria mkononi. Kama kuna mtu (raia) amevunja sheria dhidi ya jeshi, jeshi linapaswa kumpeleka polisi na polisi wachukue mkondo wa kisheria.
Yaani mwanajeshi ampeleke raia polisi!!!
Jeshini wana polisi wao.
 
Tangu nilivyoona katazo lile kuvaa nguo za jeshi tayari nilishaona siasa zimeshaanza kuingia kwenye jeshi sio muda jeshi la wananchi watakuwa hawana tofauti na polisi ccm
Mkuu hakuna siasa hapo, unavaaje nguo inayofanana na ya jeshi?
Ukifanya uhuni lawama ziende jeshini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…