JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Kiwango chao cha elimu ni darasa la 7,form four na six hata wenye nyota ndiyo elimu zao hizo msishangae.

Saivi wameanza kupenda kazi ya polisi(kutekeleza sheria) hii inaonesha kiasi gani jamaa hawajui majukumu yao kisheria.
 
Mimi ninayo nasuburi wanikamate kwa dharau sitatekeleza adhabu yoyote,watanipiga waniue kama wana hiyo mamlaka.Sijawahi kumuogoa mtu.shubamiit!
 
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?

CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?

Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?

Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?

Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.

Mnataka kuvaa nguo za jeshi Ili iweje ?
 
Mipaka inalindwa.
Kuna wahuni hutumia nguo za kijeshi kufanya uhalifu, ni sahihi wao kufanya hivyo.
Kwani mkiacha kuzivaa mtapungukiwa nini? Mngekuwa hamjaambiwa ingeeleweka tatizo watu wabishi sana.
Kazi ya kamatakamata raia waachie police,Kama nguo kuna ma koti hadi ya ma Dr wa Muhimbili watu wanakamatwa nayo na Jeshi la Police ili utaratibu wa kuwapeleka Mahakamani ufuatwe! Haki Jinai lazima iheshimiwe na kila Mtu!!
 
Masoja wa west Africa hawana huu upuuzi, kazi yao ni kudil na viongozi washamba wanapobugi wanaibuka state house chaaaapu wanamiliki nchi
 
Mipaka inalindwa.
Kuna wahuni hutumia nguo za kijeshi kufanya uhalifu, ni sahihi wao kufanya hivyo.
Kwani mkiacha kuzivaa mtapungukiwa nini? Mngekuwa hamjaambiwa ingeeleweka tatizo watu wabishi sana.
Hata mm nashangaa wameeleza vizuri zinatumika kufanya uhalifu na kutapeli watu ndio maana wanazuia zisivaliwe na wameambiwa Sasa unavaa unategemea nini
Sema adhabu wamempa Kali sana
 
Kazi ya kamatakamata raia waachie police,Kama nguo kuna ma koti hadi ya ma Dr wa Muhimbili watu wanakamatwa nayo na Jeshi la Police ili utaratibu wa kuwapeleka Mahakamani ufuatwe! Haki Jinai lazima iheshimiwe na kila Mtu!!
Polisi ingekuwa inafanya hiyo kazi sidhani kama jw wangetoa tamko.
 
Hata mm nashangaa wameeleza vizuri zinatumika kufanya uhalifu na kutapeli watu ndio maana wanazuia zisivaliwe na wameambiwa Sasa unavaa unategemea nini
Sema adhabu wamempa Kali sana
Jeshi haina adhabu ndogo ndo tatizo
 
Jeshi letu linavaa pensi? Unauliza yalipopatikana hayo mavazi kabla ya kuuliza jeshi liliyapotezea wapi hadi watu wakayapata

majambazi wanavaaga sare za jeshi eti eh?

Ulikuwa hujui! Unatoka kijiji gani mwenzetu!
 
Huna akili ,ni bora baba yako angepiga nyeto . takataka kabisa .
Unaelewa nini kuhusu utawala wa sheria wewe mbwa ? ,Au unataka kila mtu awe anajichukulia sheria mkononi ? , Pimbi wewe

Mbwa wewe! Pumbu zako nyeusi ksms za nyani wewe!
 
Walivyofanya si sahihi ila na sisi raia tujitahidi kuwa wasikivu hizo nguo zimepigwa mafuruku lkn watu wabishi.
 
Washaelezea kuwa hizo sare wapo wanaotumia kufanya uhalifu,pia wapo wanaotumia kufanya utapeli hivyo kulichafua jeshi.na hilo katazo lipo miaka mingi.hiyo juzi ni wamekazia tu.

Adhabu wanazotoa wanajeshi hazijawahi kuwa rahisi na kumbukeni hata wao hawakuzipata hizo sare kirahisi,walipitia mengi mazito ambayo raia wa kawaida huwezi kudhania wala kukubali.

Cha msingi Raia tuacheni kuvaa hizo sare mbona nguo zipo nyingi tu,kama unataka kuvas kombati vaa hata za chadema.

Mwisho wa siku jeshi haliwajibiki kwa polisi kwa mambo ya kijinga,ndio mana wakikukamata mnamalizana hapo hapo
 
Wacha wachezee kichapo, kwani hakuna nguo zingine za kuvaa hadi wave sare za jeshi?!!
Hata mini nikimuona mtu kavaa sare za Jeshi nitampa kichapo.
 
Ukatili mkubwa huu! hao ndio unawategemea watulinde, leo wanamtesa mtu hivyo. Mpeleke mahakamani ajieleze....mans rea kweli ipo? Kuwa liadhamiria kutenda kosa akijua fika kuwa ni kosa?
 
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?

CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?

Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?

Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?

Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.

Alafu ndio wapuuzi humu wanataka hili jeshi lipindue nchi [emoji81][emoji81][emoji81]
Wamtoe mama wakae hao c wote tutaikimbia hii tz jmn
 
Afu mbona cjaona ukatili hapo [emoji74]dogo kachoma nguo na kula kiapo hatovaa tena ukatili ukwapi au kachomwa yeye
Msikuze vitu jmn [emoji28][emoji28]
 
Well said.
Hiki ni kitu JWTZ wanatengeza chuki kati ya jeshi na raia hii ni hasara kubwa sana uwanja wa vita.

Namna ambavyo Polisi inachukiwa na raia ndio yanazidi kwa kasi JWTZ nidhamu ni mbovu kabisa.

Ni ngumu kuungana na jeshi linalo onea raia dhidi ya adui itakuwa vise versa kuungana na adui kulitandika jeshi onevu.

Amini ilimcost sana hii tabia wanayo onesha JWTZ
Kwa hiyo wawaachie raia wave mavazi ya jeshi Ili jeshi lipendwe
 
Back
Top Bottom