Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Raia atakae kutwa nazo atasema ni wapi kazitoa.Hizo nguo za jeshi raia kazitoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raia atakae kutwa nazo atasema ni wapi kazitoa.Hizo nguo za jeshi raia kazitoa wapi?
Mnataka kuvaa nguo za jeshi Ili iweje ?Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Kazi ya kamatakamata raia waachie police,Kama nguo kuna ma koti hadi ya ma Dr wa Muhimbili watu wanakamatwa nayo na Jeshi la Police ili utaratibu wa kuwapeleka Mahakamani ufuatwe! Haki Jinai lazima iheshimiwe na kila Mtu!!Mipaka inalindwa.
Kuna wahuni hutumia nguo za kijeshi kufanya uhalifu, ni sahihi wao kufanya hivyo.
Kwani mkiacha kuzivaa mtapungukiwa nini? Mngekuwa hamjaambiwa ingeeleweka tatizo watu wabishi sana.
Hata mm nashangaa wameeleza vizuri zinatumika kufanya uhalifu na kutapeli watu ndio maana wanazuia zisivaliwe na wameambiwa Sasa unavaa unategemea niniMipaka inalindwa.
Kuna wahuni hutumia nguo za kijeshi kufanya uhalifu, ni sahihi wao kufanya hivyo.
Kwani mkiacha kuzivaa mtapungukiwa nini? Mngekuwa hamjaambiwa ingeeleweka tatizo watu wabishi sana.
Polisi ingekuwa inafanya hiyo kazi sidhani kama jw wangetoa tamko.Kazi ya kamatakamata raia waachie police,Kama nguo kuna ma koti hadi ya ma Dr wa Muhimbili watu wanakamatwa nayo na Jeshi la Police ili utaratibu wa kuwapeleka Mahakamani ufuatwe! Haki Jinai lazima iheshimiwe na kila Mtu!!
Jeshi haina adhabu ndogo ndo tatizoHata mm nashangaa wameeleza vizuri zinatumika kufanya uhalifu na kutapeli watu ndio maana wanazuia zisivaliwe na wameambiwa Sasa unavaa unategemea nini
Sema adhabu wamempa Kali sana
Ongeeni nyie vibwengo maji moto mtauonatatizo lako we ni form four felia na shukuru bosi wako anavyokutuma buchani,sokoni na kuwapeleka watoto wake shule la sivyo ungekuwa kituko
Jeshi letu linavaa pensi? Unauliza yalipopatikana hayo mavazi kabla ya kuuliza jeshi liliyapotezea wapi hadi watu wakayapata
majambazi wanavaaga sare za jeshi eti eh?
Huna akili ,ni bora baba yako angepiga nyeto . takataka kabisa .
Unaelewa nini kuhusu utawala wa sheria wewe mbwa ? ,Au unataka kila mtu awe anajichukulia sheria mkononi ? , Pimbi wewe
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Kwa hiyo wawaachie raia wave mavazi ya jeshi Ili jeshi lipendweWell said.
Hiki ni kitu JWTZ wanatengeza chuki kati ya jeshi na raia hii ni hasara kubwa sana uwanja wa vita.
Namna ambavyo Polisi inachukiwa na raia ndio yanazidi kwa kasi JWTZ nidhamu ni mbovu kabisa.
Ni ngumu kuungana na jeshi linalo onea raia dhidi ya adui itakuwa vise versa kuungana na adui kulitandika jeshi onevu.
Amini ilimcost sana hii tabia wanayo onesha JWTZ
Mala ???Wanajeshi wengi wana hiyo shida.. sijui huwa wanajiona nani.. Nimekutana na hizo case mala kadhaa.. hadi huwa najiuliza sana