Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #101
Hawa washenzi wanalifisadi sana hili TaifaUmesahau pembejeo na mbolea. Ukiangalia vizuri picha ya pili, hii ITEL inaingiza pembejeo pia. Ndio wanaleta mbolea feki hawa hawa jamaa na kuwaumiza wakulima. Kwahiyo project nzima ya ruzuku za pembejeo sijui nini ni circle hile hile. Dadeeeeek!!!
Yes.Siyo mbali muda utatupa majibu.
Kwa sababu wewe ni fisadiMimi JWTZ wasiniongoze
Unawatukana majeshi yetu unajua bila wao hata Tanzania isingekuwepo leo hii.. acha dharauJWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?
Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.
Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Hiyo clip ya hao madogo unayo? Imenipita hii..Kaka nakuelewa vizuri sana na kwenye hii comment umetiririka uhalisia mtupu.
Ni kweli kabisa kuongoza nchi inahitaji mtu mwenye uelewa mpana sana kwenye nyanja zote muhimu zinazogusa maisha ya mwanadamu.
Tena kwa taifa kama hili ambalo lina changamoto kibao na idadi kubwa ya watu linahitaji mtu makini sana na ambaye ana akili nyingi aina ya Kagame.
Ila sasa kwa vile tayari tumeshaya kanyaga leo hii tuna mtu kama samia ambaye naye ni kilaza tu pengine kuliko hao maafisa wa JWTZ ni heri tuwape hao JWTZ ambao naamini kuna mambo ya ovyo tunayoyaona kwa samia wao hawatakuwa nayo kama vile kuuza na kutapanya ovyo rasilimali za taifa, kuua watu ovyo wasiokuwa na impact kwenye utawala wao n.k
Kwa tulipofikia ni heri tuachague mbaya tunayomini ina nafuu kuliko kuendelea na mbaya isiyofaa ambayo inazidi kuwa mbaya zaidi kadri siku zinavyokwenda.
JWTZ hata kama watatumia mababvu kuliko akili, ila naamini discipline itakuwepo kwanzia serikalini mpaka uraiani.
Acha tuwape tu kuliko kuendelea kutawaliwa na hawa wauaji... imagine eti wale madogo waliokuwa wanaponda bango la samia, wameuawa sasa ndio serikali gani hii? Samia na ccm yake hapana kwakweli
Nakuona bado kuna watu wanateteaKampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania.
Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi.
Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa kibali cha kuchomba Makaa ya Mawe kwa bei ya kutupa kwenye mkoa huo huo wenye umasikini wa kutisha.
Kampuni ya Mtoto wa Rais pia inapewa tenda ya kuingiza sukari nchini na kuwauzia Wananchi.
Haya yote yanafanyika huku Watanzania wakizidi kuwa masikini. Hawana maji safi na salama ya uhakika. Hawapati madawa hospitalini.
Haya yote yanafanyika huku Amiri Jeshi Mkuu, Mtoto wake na mkwe wake wakiongoza makundi ya kuwateka, kuwapoteza na kuwaua Watanzania wasio na hatia wanaopaza sauti kukataa uovu.
Endapo JWTZ hawatachukua hatua sasa nitaungana na Watanzania kusema kwa sauti moja tuna Jeshi la Kipumbavu haijawahi tokea na ni heri libadilishwe jina na lisiitwe tena Jeshi la Wananchi.
View attachment 3491456View attachment 3491457View attachment 3491458View attachment 3491459
Mnamjibu wa nn huyo,achaneni naeUnawatukana majeshi yetu unajua bila wao hata Tanzania isingekuwepo leo hii.. acha dharau
Noma sn jpil usiku nasafiri29 mzee ni kuingia road..
Yaani ndo nimetoka kuona dada kacharuka huyu mtu ndo kaona akodi wajeda kutoka hwa m7Kama Mkunda anakula na Mafisadi, Wanajeshi wazalendo wamshughulikie nae na kumuondoa kama walivyofanya wa Madagascar
Hii cha mtt sahivi ndo balaa huko jwa dadaDuuh!
Kumekucha
Hao wanajeshi wanaonyanyasa na kuwaonea Watanzania hawastahili heshima hata kidogo.Unawatukana majeshi yetu unajua bila wao hata Tanzania isingekuwepo leo hii.. acha dharau
Huyu ***** yuko ughaibuni kaolewa na mwanaume mwenzake wa kizungu ndiyo anadharau kila kitu cha Tanzania kukojolewa na basha wa kizungu anaona ndiyo maisha ameyapatia.Unawatukana majeshi yetu unajua bila wao hata Tanzania isingekuwepo leo hii.. acha dharau
Unayakimbia ama unayafata?Noma sn jpil usiku nasafiri
Staki ujinga
Maxence Melo wekeni na reaction ya dole la kati πππππMtafanyaje?
Kwa sababu wewe ni fisadi
JK sio sample yao.Hapana mkuu, Tulishaonja product yao JK ndo chanzo cha matatizo ya hapa tulipofika
wanajeshi nao ni mafisadi unaikumbuka meremeta,wizi suma jkt hata ajira za huko ni rushwa tupuJK sio sample yao.
JK ni mwanasiasa aliyepita Jeshini kwa bahati tu.