JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌

JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.

JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..

JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..

KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..

SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..

WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...

MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
 
Mbona wewe unajitoa kwenye kuwakanya watoto wako? Maana kikinuka tunaathilika tusiohusika
 
Wangesemea pia suala la KUUA watu, kuiba uchaguzi, kupora uchaguzi na ufisadi tungewaona wa maana hapo wanatetea tu ndoa yao na ccm. Jeshi la ccm linajitia aibu.
Yaani unachoma vituo vya mafuta unachaoma mwendokasi na vituo vyake unachoma mali za raia kisha unataka uchekewe?
 
Wangesemea pia suala la KUUA watu, kuiba uchaguzi, kupora uchaguzi na ufisadi tungewaona wa maana hapo wanatetea tu ndoa yao na ccm. Jeshi la ccm linajitia aibu.
Nchi hii watu wengi wametekwa, kuuliwa na kupewa vilema vya kudumu wao kama JWTZ ilibidi watoke kufokea hayo mambo lakini hata siku moja Leo bwana wao ccm katikiswa kidogo tu wanapiga kelele sa hivi.

ILA SAWA WATAKUJA KUVUNA WANACHOKIPANDA.
 
JWTZ limekuwa tawi tiifu la CCM, hiki chama bila haya majeshi hakiwezi, hakina uthubutu, hakina ushawishi wala hakina nguvu tena.

Imagine CCM bila majeshi haya, wananchi wangeshitoa madarakani mda mrefu sana, ila ulafi, uroho na uchu wa madaraka vimefanya CCM iki-collabo na majeshi ili wajiimarishe madarakani.
 
CCM wamefanya TISS tawi la ccm bado POLISI nayo ipo Kwa ajili ya ccm sasa JWTZ nayo imeshachukuliwa na ccm ndio maana hakuna maendeleo na ufisadi unatamalaki.
 
Unaposema wewe unamaanisha nin? Hujui kama madhara yalitukuta tusiohusika. Tulilala nje na nyumba zetu maana mlikua hamchagui na wala mlikua hamjui nani alihusika. Ndio maana nakuuliza wewe upo salama?
Kelele za nini wewe Tarehe 7 toka na familia yako muandamane rais atoke madarakani.
 
CCM wamefanya TISS tawi la ccm bado POLISI nayo ipo Kwa ajili ya ccm sasa JWTZ nayo imeshachukuliwa na ccm ndio maana hakuna maendeleo na ufisadi unatamalaki.
Mkiambiwa msome hamtaki mko bize kusema kamanda kamanda pipo powaaa.. Haya sasa angalia vitu mnavyongea
 
Kelele za nini wewe Tarehe 7 toka na familia yako muandamane rais atoke madarakani.
Huna akili wewe. Nani kasema anaandamana? Mavi ya mwisho kabisa. Usijitoe kwenye hili sakata. Tunapaswa kuilinda Tanzania kwa nguvu zetu zote. Wewe unajitoa ili iweje
 
Wewe punguani kweli mnaanzisha fujo mkitegemea Rais aachie madaraka?
Acha hasira jibu hoja, mwanao akisema sikutaki, ndio utamuua ??

Je, baada ya KUUA ndio utapendwa?

Sasa hampendwi ndio mtumie POLISI, TISS na JWTZ ILI MPENDWE.!?

kwa nini msi deal na matatizo ya wananchi Ili wasiandamane kuliko kuzuia maandamano Kwa kutumia Hadi JWTZ??
 
Back
Top Bottom