JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

Wanaukumbi.

JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌

JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.

JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..

JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..

KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..

SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..

WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...

MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
kwamba watu hawana uelewa hadi wachochewe na Maria? JWTZ hawawezi kulinda mikataba ya wizi, ila wanaweza kupambana na wananchi waliochoka Mali zao kuibiwa! Hilo litakuwa jeshi la mazombie.
 
Toa mambo yako ya kidini

Mpumbavu wewe.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Msajili wa Vyama vya Siasa amezuia ruzuku yao TZS milioni 500.
Hiki chama hapana aisee..Hawa si walisema hawapokei ruzuku yoyote ndiyo maana wanaomba watu hela kwenye mikutano sasa haya mambo ya ruzuku yametoka wapi tena?

Hii SACCOS hapana🙌
Ruzuku sio pesa ya ccm, kwanini waiache iibiwe na majizi ya ccm?
 
Hiki chama kina watu wajinga sana yaani!.

Tena sana 🫎🫎🫎🫎👈 wanachochea wao kuchoma Miundombinu Wakifa wanadai Rais Samia ndio muuaji ❌️🫎🫎🫎🫎

kwaiyo walitaka wachome nchi na kuchekewa🫎🫎🫎🫎
 
Kwakuwa baadhi yao wanachuki zao wanadhani Watanzania wote wapo kama wao kwenye kumchukia RAIS wetu 🫎🫎🫎🫎🫎😂
 
Wanaukumbi.

JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌

JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.

JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..

JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..

KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..

SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..

WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...

MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
Kama kawaida ya kobazi, angekuwa Mkapa au Nyerere kichwa cha habari kingekuwa tofauti
 
Polisi wakae kando maana jamaa wana hasira ndugu zao walichofanyiwa naona kabisa polisi wakiuliwa kama wanachi ile 29.
Naomba jiishie hapo.
Ukiuwa kwa upanga
Na wee unauliwa kwa upanga
 
Fala kweli wewe kama hayo mafala wenzenu mnaowategemea wawalinde wezi na wauwaji

Ndio akili za 🫎🫎🫎🫎 baadae mkifa kibudu 🫎
mnasingizia Eti Rais ndio tatizo❌️

lkn matendo yenu leo yanaonekana kabisa mna chuki na Pepo chafu la kifo!!

Kama mna Mapepo machafu yaliochangiwa na Chuki zenu kwanini msife njooni iyo 7+7

mpeww zawadi yenu ya kifo 😇
 
Polisi wakae kando maana jamaa wana hasira ndugu zao walichofanyiwa naona kabisa polisi wakiuliwa kama wanachi ile 29.
Naomba jiishie hapo.
Ukiuwa kwa upanga
Na wee unauliwa kwa upanga

Wasubutu kuuwa polisi m1 tu❌️ uyo kijana muusika na familia yake labda wapae kwa ungo
Tanzania ☠️

kawaulize pale Kibiti kwanzia muhusika mpaka familia yake walichofanywa!!!!

Ukishaona taasisi za usalama zimeungana kaaaaaa mbaliii

Vichukichuki vyenu vya kikekike vitawaponza mpaka familia zenu

Rais Samia yupo pale mpaka 2030 weka kumbukumbu iyooo✅️
 
Wanaukumbi.

JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌

JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.

JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..

JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..

KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..

SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..

WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...

MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
Jeshi kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi na si vinginevyo......Ninyi mnaoona kuwa jeshi lina haki ya kuua wananchi wasio na hatia.....akili zenu hazipo kichwa bali kule kwingine. Jeshi halina haki ya kupiga, kudhuru na kuua raia, tena hao wasio na makosa. Haki ya maandamano ipo kwenye katiba.
 
Ndio akili za 🫎🫎🫎🫎 baadae mkifa kibudu 🫎
mnasingizia Eti Rais ndio tatizo❌️

lkn matendo yenu leo yanaonekana kabisa mna chuki na Pepo chafu la kifo!!

Kama mna Mapepo machafu yaliochangiwa na Chuki zenu kwanini msife njooni iyo 7+7

mpeww zawadi yenu ya kifo 😇
Mkiambiwa ukweli mnasema chuki,yani watu wanaiba rasilimali za nchi,wanateka na kuuwa raia,huku bado kodi mnatukamua afu mnategemea wanaume wenzenu wawalinde si uchizi huwo.
 
JESHI LA WANANCHI LINATAKA KUINGIA MGOGORO NA WANANCHI!!
JESHI HALITAWEZA KUSOGEZA HATA NYAYO,WANANCHI WAKIAMUA!
Duniani pote JESHI halijawahi kushinda WANANCHI!
 
Back
Top Bottom