Sasa ili kulikomesha JWTZ nyue ingieni road hiyo 77JWTZ limekuwa tawi tiifu la CCM, hiki chama bila haya majeshi hakiwezi, hakina uthubutu, hakina ushawishi wala hakina nguvu tena.
Imagine CCM bila majeshi haya, wananchi wangeshitoa madarakani mda mrefu sana, ila ulafi, uroho na uchu wa madaraka vimefanya CCM iki-collabo na majeshi ili wajiimarishe madarakani.