JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Msajili wa Vyama vya Siasa amezuia ruzuku yao TZS milioni 500.
Hiki chama hapana aisee..Hawa si walisema hawapokei ruzuku yoyote ndiyo maana wanaomba watu hela kwenye mikutano sasa haya mambo ya ruzuku yametoka wapi tena?

Hii SACCOS hapana🙌
 
We si mnasema kuwa JWTZ uwa wanawatumia meseji DM .. Sasa mnalalamika nini?
 
Wanaukumbi.

JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌

JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.

JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..

JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..

KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..

SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..

WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...

MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
Watanzania ni wagumu kuelewa, jeshi limesema yeyote atakayeleta vurugu watamshughulikia!
Hii maana yake watu wakiandamana kwa amani halafu polisi wakaleta vurugu watashughulikiwa.
Kitendo cha polisi kujaribu kuwatawanya waandamanaji kwa mabomu ya machozo au virungu kutatafsiriwa kama kuleta vurugu dhidi ya waandamanaji, au vibaka wakijaribu kuiba au kuaharibu mali zozote itatafsiriwa kama vurugu, hivyo JWTZ itawadhibiti.
Jeshi halijaongelea maanadamano, limeongelea vurugu!
 
Sawa kaka Joe. Wewe utaandamana wapi?
 
Wanaukumbi.

JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌

JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.

JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..

JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..

KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..

SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..

WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...

MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
Wewe ni mpuuzi,jeshi waliofunzwa vyema huwa hawapigi risasi mtu asiyekuwa na silaha,ndo maana huwa kuna mateka,hata vitani mwanajeshi aliye na mafunzo huwa hapigi risasi hovyo kama mwehu
 
Sawa kaka Joe. Wewe utaandamana wapi?
Ni wapi nimesema nitaandamana?
Tatizo la watanzania ni kusoma ili ujibu, na si kusoma ili uelewe.
Jaribu kunisoma tena ukiwa na mtazamo wa kutaka kuelewa.
 
Back
Top Bottom