JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Msajili wa Vyama vya Siasa amezuia ruzuku yao TZS milioni 500.
Hiki chama hapana aisee..Hawa si walisema hawapokei ruzuku yoyote ndiyo maana wanaomba watu hela kwenye mikutano sasa haya mambo ya ruzuku yametoka wapi tena?

Hii SACCOS hapana🙌
 
We si mnasema kuwa JWTZ uwa wanawatumia meseji DM .. Sasa mnalalamika nini?
 
Watanzania ni wagumu kuelewa, jeshi limesema yeyote atakayeleta vurugu watamshughulikia!
Hii maana yake watu wakiandamana kwa amani halafu polisi wakaleta vurugu watashughulikiwa.
Kitendo cha polisi kujaribu kuwatawanya waandamanaji kwa mabomu ya machozo au virungu kutatafsiriwa kama kuleta vurugu dhidi ya waandamanaji, au vibaka wakijaribu kuiba au kuaharibu mali zozote itatafsiriwa kama vurugu, hivyo JWTZ itawadhibiti.
Jeshi halijaongelea maanadamano, limeongelea vurugu!
 

Sawa kaka Joe. Wewe utaandamana wapi?
 
Wewe ni mpuuzi,jeshi waliofunzwa vyema huwa hawapigi risasi mtu asiyekuwa na silaha,ndo maana huwa kuna mateka,hata vitani mwanajeshi aliye na mafunzo huwa hapigi risasi hovyo kama mwehu
 
Sawa kaka Joe. Wewe utaandamana wapi?
Ni wapi nimesema nitaandamana?
Tatizo la watanzania ni kusoma ili ujibu, na si kusoma ili uelewe.
Jaribu kunisoma tena ukiwa na mtazamo wa kutaka kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…