Ni wapi nimesema nitaandamana?
Tatizo la watanzania ni kusoma ili ujibu, na si kusoma ili uelewe.
Jaribu kunisoma tena ukiwa na mtazamo wa kutaka kuelewa.
TUNAWAKUMBUSHA TU📌Wewe ni mpuuzi,jeshi waliofunzwa vyema huwa hawapigi risasi mtu asiyekuwa na silaha,ndo maana huwa kuna mateka,hata vitani mwanajeshi aliye na mafunzo huwa hapigi risasi hovyo kama mwehu
Sisiem?Hiki chama kina watu wajinga sana yaani!.
Badala ya kekemea utekaji na uwaji wa wananchi kazi kuibeba ccm.Hilo sio jeshi la wananchi ni jeshi la ccm.Wanaukumbi.
JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌
JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.
JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..
JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..
KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..
SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..
WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...
MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
we jiongeze tu nawe utaongezewa,Maandamano yoyote yasiyo na kiongozi si rahisi kufanikiwa, na hata yakifanikiwa huwa ni kwa tabu sana na kwa gharama kubwa (mo29)
Maandamano yanahitaji mipango
. Ni lazima kujua yataanzia wapi, yataanza saa ngapi, nani atakuwa mratibu au kiongozi, na yatamalizikia wapi. Pia, ajenda za maandamano zinapaswa kuandikwa kwenye mabango yatakayobebwa na waandamanaji ili kila mtu ajue lengo na ujumbe wa maandamano hayo.
Ni vizuri pia washiriki wakapewa maelekezo ya msingi kabla ya kuanza maandamano ili kupunguza purukushani, ingawa ni kweli kwamba wakati mwingine purukushani hazikosekani ( ukiwa kwenye maandamano kuna mawili)
Kwa upande mwingine, mratibu wa maandamano anaweza kuwasiliana na mamlaka husika kuomba kibali pale kinapohitajika, pamoja na kuomba ulinzi ikiwa kuna ulazima, ili maandamano yawe salama na yenye utaratibu
SWALI LA KUJIULIZA:
Kwa hapa Malawi Ukifata hizo taratibu zote una uhakika utafanikiwa au ujiongeze kwa namna nyingine(hapa utajua wewe sasa)
Tlaatlaah ni kweli atakae toa pua njee kunusa harufu ya wali kwa jirani ataungana na malaika mbinguni?
🤏we jiongeze tu nawe utaongezewa
Asante kwa maoni yakondugu mdau,
nikuhakikishie tu kwamba,
hakuna gaidi, jambazi, kibaka, haramia au muhalifu yeyote yule nchini,
atakaeachwa hata kwa sekunde moja tu, atambe na kujaribu kuvuruga au kuhatarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania.
Na kwenye hilo,
hakuna mazaha, hakuna aibu wala hakuna haya katika kushughulikia hilo, kudhibiti na kusambaratisha magenge ya kihalifu ya aina hiyo nchini.
I advice all of you my friends, ladies and gentleman within platform,
to not associate or attempt or to try that, at stress or at home. Stay safe
Hiyo sio biashara yako, ni kama mimi ambavyo sijali wewe ni nani wala uko wapi, ukiua utauliwa.Utakuwepo na wewe kwenye maandamano au utakuwa geto kimara na Tecno yako.
Wewe upo wapiWewe utakuwa wapi mkuu?
WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...Hiyo sio biashara yako, ni kama mimi ambavyo sijali wewe ni nani wala uko wapi, ukiua utauliwa.
Mafisadi mnalinda uovu wenu kwa kuua watu na nyie mtauliwa na watuWAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...
TUMESHUHUDIA vurugu na machafuko yanayopangwa kwa ustadi mkubwa sana na kwa ufadhili mkubwa sana wenye lengo la kuvuruga Tanzania na waliiona nafasi ya siku ya uchaguzi kama nafasi mwanana sana kufanya machafuko na kuangusha serikali lakini walishindwa.Wewe upo wapi
Fala kweli wewe kama hayo mafala wenzenu mnaowategemea wawalinde wezi na wauwajiWAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...
Watanzania sasa rasmi hatuna Jeshi. Mjeda wa Wananchi haanzi kuongea kwa kutanguliza an empty political slogan.Wanaukumbi.
JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌
JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.
JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na hawatasita kuchukua hatua".. Kauli hii ni nyepesi lakini ni nzito sana kutolewa na chombo kama JWTZ..
JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..
KWA HIYO kama mna masikio mmesikia na kama mna akili mmeelewa na hatutaki kuja kusikia mnapiga kelele hapa kuwa hamkuonywa..
SASA endeleeni kujidanganya kuwa 77 kuna maandamano na vurugu kama mnadhani JWTZ wanatania na wanachekacheka na criminals..
WAZAZI tunawashauri sana kaeni na watoto wenu na kuwakanya na kuwaambia kuwa dola haichezewi kabisa linapokuja suala la kulinda amani na usalama wa nchi na kuilinda dola yenyewe...
MWISHO tunawakumbusha tu kuwa anayechochea maandamano haya yuko mafichono na huko alikokuwa Kenya nako kakimbia..
Yaani mmefikia hali ya 'desperation' kiasi hiki huko mliko?JWTZ hawajafunzwa kukamata watu au kuweka watu rumande. JWTZ wamefunzwa kukabiliana na adui kwenye vita na vitani ni watu wanauwawa na kuuliwa.. Narudia hawajafunzwa kukamata watu na kuwaweka rumande hiyo siyo kazi ya JWTZ..
We gentleman hebu acha mikwara mbuzi bhanawe jiongeze tu nawe utaongezewa,
ndugu mdau,
nikuhakikishie tu kwamba,
hakuna gaidi, jambazi, kibaka, haramia au muhalifu yeyote yule nchini,
atakaeachwa hata kwa sekunde moja tu, atambe na kujaribu kuvuruga au kuhatarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa waTanzania.
Na kwenye hilo,
hakuna mazaha, hakuna aibu wala hakuna haya katika kushughulikia hilo, kudhibiti na kusambaratisha magenge ya kihalifu ya aina hiyo nchini.
I advice all of you my friends, ladies and gentleman within platform,
to not associate or attempt to try that, at streets or at home. Stay safe