JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

Sasa ili kulikomesha JWTZ nyue ingieni road hiyo 77
 
JESHI LA WANANCHI LINATAKA KUINGIA MGOGORO NA WANANCHI!!
JESHI HALITAWEZA KUSOGEZA HATA NYAYO,WANANCHI WAKIAMUA!
Duniani pote JESHI halijawahi kushinda WANANCHI!
Sawa, ingieni road basi
 
Naomba nikuambie pole sana
 
JWTZ ilikua zamani sio hii ambayo ilikimbia M23
 
Nikiuliza swali sijui jibu gani nitapewa.

Eti,,, ninyi chadema na CCM (nami nimo humo) mnagombea nini.

Si muache tu kuuana ? Mpaka lini, hamuoni ardhi inalaaniwa kwa damu sizizo na hatia ?? !!!!
 
Acha kutuuzia uoga kwa bei ya jioni wewe! Maandamano yapo kikatiba na wanaotaka kuandamana wanatekeleza takwa la katiba ya jmt.
Kwanini mzuie takwa la kikatiba lisitimizwe? Mna hidden agenda siyo bure.
Vijana, wazee, kina mama na wengineo andamaneni na mabango yenu hadi hamu iwaishie kwani ni haki yenu. Msikubali kutishwa na vijipropaganda uchwara vya kina mwaipopo. Tokeni kwa wingi sana na hakuna kitu watafanya. Trump anawasalimuni na kuwahimiza kuandamana kwa raha zenu.
 
JWTZ wanashabikia siasa chafu za CCM huku wanaacha vikundi vya kigaidi vikitamba au wanangoja hadi vikomae kama enzi zile za MKIRU? Hawa jamaa nimewawadharau sana tangu wakati ule wanatiwa madole na askari wa Kagame
 
Sasa ili kulikomesha JWTZ nyue ingieni road hiyo 77
Msije kuanza kutoa milio hapa na kuanza kuzurura ma mochwari kutafuta wafu wenu!.
 
Nilikuwa nakuona una akili nzuri kwenye uzi wa IRAN kule international forum, ila nwe kumbe walewale tuuu.
 
Nilikuwa nakuona una akili nzuri kwenye uzi wa IRAN kule international forum, ila nwe kumbe walewale tuuu.
Wewe akili yako ipo kwenye combati ya Heche.
 
Yaani tuendelee kulinda amani huku raslimali za nchi zinatafunwa na ka kikundi ka watu wachache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…