JWTZ, tulindieni heshima yetu yalindeni maslahi yetu DRC-Congo


Na wengi tuliowasaidia hawajui wala kukumbuka mchango wetu wao wanawajua Nkrumah na Mandela tu although they did absolutely nothing for them.

Mubage aliandika kitabu kinaitwa Asante Mwalimu - The unsung hero of Africa. Mchango wa mwalimu unasahaulika pamoja na kujitolea kote. Hatutaki kurudi huko.

 
Kingine kuhusu abby..
Mpaka sasa ajafikisha wanaume wanne kumnyonyoa ..
Just imagine unakitu kitu kipo very elasticity mkuu
Just imagine
Mkuu we mmbea sana unajua mpk idadi...🀣
sasa tembo kaingia kati the bulldozer nyama itasoma kilometers zakutosha sasa!..
 
Nyerere alikuwa mjinga.

Hakuangalia maslahi ya Tanzania kwenye negotiations zake na nchi husika.

A way foward now ni kufanya haya kwa kuzingatia maslahi yetu ya kiuchumi.
 
Hawatuhusu sie tunaenda kuwasaidia na kutengeneza maslahi yetu ya kiuchumi

Maslahi yapo Congo tu?

Our biggest trading partner is Kenya na nchi za kusini kwanini msiimarishe uhusiano huko?

Mmemaliza ku maximize potential za fursa zingine viwanda, madini, utalii, usafiri, kilimo nk?

Kuacha fursa zingine na kuiwaza Congo kimaslahi ni ufinyu wa akili bora hata mseme for solely humanitarian courses.
 
Hili ni la muhimu sana, kuyaacha hayo makundi yanayofadhiliwa na nchi jirani yatambe eneo la mashariki ya DRC, ambalo ni eneo jirani na nchi yetu, ukizingatia DRC ni nchi ambayo tuna maslahi nayo ya kiuchumi na kijamii, ni dharau na fedheha kwa nchi......naamini jeshi letu liko timamu kulinda mipaka na maslahi mapana ya taifa letu.
 
Mkuu we mmbea sana unajua mpk idadi...🀣
sasa tembo kaingia kati the bulldozer nyama itasoma kilometers zakutosha sasa!..
Alafu abby anakwambia amependa nywele tuu zile kama mizizi..

Mkuu just imagine katoto kama kale upo nae tano kwa saba..
Na kalivyo na sauti ahahahaha aiseeee

Staki niongee sana ngoja turudi kongo
 
Jeshi letu liliwahi kutoa mafunzo jeshi la Uganda, Namibia, Rwanda, Afrika kusini nk ni wazo zuri kwa Congo pia
 
Kenya ni trading partner kiuwekezaji as wao ndo wanaongoza kwa uwekezaji kwetu

Congo ni biggest partner wetu kwa upande wa Cargo transit as yeye ndo nchi inayoongoza kea kupitisha mizigo yake kupitia Bandari zetu.

Alafu kuna shida gani tukiweka nguvu kwenye fursa zote ikiwemo Congo. Au unaumia Rwanda mtakosa mkate wenu?
 
Naunga mkono hoja,inabidi tushirikiane na Congo kulinda amani ndani ya congo.Pia sisi Tz tuchangamkie fursa zilizopo Congo siyo wajinga wanatoka mbali kuja kuiba Congo.
 

TZ inaongoza kuwekeza Kenya kwa sasa ji update.


Last yr kampuni ya TZ imenunua kiwanda cha cement Kenya for more than 180M USD. Bado project ya LPG ya Rostam. TZ exports more to Kenya than imports.

 
Usipojipambania wewe mwenyewe kupata chakula, hakuna jirani atakayekuletea chakula ule wewe na mke wako mpate nguvu za kuzagamuana
 
Sehemu iliyokuwa imebakia Goma Airport nayo imekamatwa na Congolese Rebels M23 sasa ni saa ya mazungumzo ya amani ya kudumu Mashariki ya Kongo.

Serikali ya DRC ikae chini na Waasi waongee sisi tuwakaribishe Arusha.
 
H
Sehemu iliyokuwa imebakia Goma Airport nayo imekamatwa na Congolese Rebels M23 sasa ni saa ya mazungumzo ya amani ya kudumu Mashariki ya Kongo.

Serikali ya DRC ikae chini na Waasi waongee sisi tuwakaribishe Arusha.
HIvi kati ya Drc na m23 nani huwa anavunja makubaliano na kusababisha vita kulipuka?
 
H
HIvi kati ya Drc na m23 nani huwa anavunja makubaliano na kusababisha vita kulipuka?
Serikali ya Congo waoga kinoma noma km waliweza kuwaua wale vijana 200+ wasio na silaha wanashindwaje kuwamaliza hawa?
 
Alafu abby anakwambia amependa nywele tuu zile kama mizizi..

Mkuu just imagine katoto kama kale upo nae tano kwa saba..
Na kalivyo na sauti ahahahaha aiseeee

Staki niongee sana ngoja turudi kongo
🀣
 
Sasa kuna tofauti gani na hoja yangu. Partnership ya biashara between Tz na Kenya ni Uwekezaji.

Partnership ya biashara between Tz na Congo ni usafirishaji wa Bidhaa


Hujaelewa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…