JWTZ wanapendwa sana na raia

Ni kweli Jeshi letu pendwa linaaminiwa sana na wananchi wengi....shida wanakuja mikono mitupu kwepi hatuna bifaa uokozi ? Badic ones ? Kuna aibu sana naionaas hapoo kwa nini hatujifunzi ?? Pesa wanapiga vikao na semina elekeziii
 
Huwa nawapenda pale linapotokea jambo katka jamii la kuhitaji msaada wale watu wanajitoa aisee haijalishi anafanya nini kama anaweza anajitosa tu,
Nilisoma shule zao kiukweli hata mimi nawapenda kutoka moyoni
 
kinachoyaponza majeshi mengine ni rushwa
 
Ushasema JWTZ yani Jeshi la Wananchi tanzania lazima lipendewe sababu sisi wananchi wenzao
 
Njia pekee ya kupendwa ni wao kuacha kusimamia sheria iliyotungwa ili ikubane
 
Sana kabisa na MUNGU azidi kuwabariki JWTZ daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…