Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Ni kweli Jeshi letu pendwa linaaminiwa sana na wananchi wengi....shida wanakuja mikono mitupu kwepi hatuna bifaa uokozi ? Badic ones ? Kuna aibu sana naionaas hapoo kwa nini hatujifunzi ?? Pesa wanapiga vikao na semina elekeziiiKwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.
Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.
Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.
Leo JWTZ walipofika Ktk Ghorofa lilianguka Raia wote wameonyesha wazi wazi Furaha na Imani yao wazi wazi kuwa Jeshi ni Imara na wanaweza.
Majeshi mengine Yajifunze kitu..Watu walilipuka kwa Miruzi na Makofi.
Dosari: Ndogo Ndogo kutokana hulka ya mtu binafsi isiwekwe hapa. Ila mi nimetazama Upendo wa Raia kwa Jeshi Lao kiujumla.