Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Npo ulingoni napambana kwenye Vitasa ntarudi kucommentUchira 1, Mpaji Mungu mmesha fika Huku?!
Vitasa Tena π€£, au vipi hivyo?Npo ulingoni napambana kwenye Vitasa ntarudi kucomment
Washa Tv Yako sheikh Leo naua wallahiVitasa Tena π€£, au vipi hivyo?
Taratibu Kaka, Wasije kuvunja meno bila ganzi,ππ€£Washa Tv Yako sheikh Leo naua wallahi
Leo mtashuhudia ngumiπ€£π€£π€£Taratibu Kaka, Wasije kuvunja meno bila ganzi,ππ€£
Umeiona ile pisi iliyoliaπ€£π€£Npo ulingoni napambana kwenye Vitasa ntarudi kucomment
uta sikia mpinzani wako ana sema, nime pigana mapambano 20 yote nime wajeruhi mi vilemaππ€£π€£Leo mtashuhudia ngumiπ€£π€£π€£
Yule white nimemuonea huruma anahojiwa anashindwa Hata kuongeaUmeiona ile pisi iliyoliaπ€£π€£
Leo ni do or dieuta sikia mpinzani wako ana sema, nime pigana mapambano 20 yote nime wajeruhi mi vilemaππ€£π€£
Kwa upande wako ni survive for the Eid day 2 ππ€£Leo ni do or die
Sema yule mpinzani wake nae anapiga bila huruma dada kama Tejaπ§, Kuna ngumi Moja hv ya wadada aisee Moja ni msoja mwngn ni binti mdogo mlaini yule mdada alikabonda kale katoto mpaka nikashindwa kuangaliaMrembo yule ngumi labda afanye mazoezi sanaa
Ntawapa content wanangu kwa ntakayoyafanya Leo ulingoniKwa upande wako ni survive for the Eid day 2 ππ€£
Utakavyo dundwa auππͺNtawapa content wanangu kwa ntakayoyafanya Leo ulingoni
Sasa mkuu umeoa mke halafu anakuvutia ww mwnyw tuu kama boksa yako sasa ndo mambo gn hayo wakati ushaambiwa mwanamke n pambo na pambo lazima lisifiwe na wengiPoor Brain Sikaribishi mtu home ππ€£π€£, maana Akili hizi ni gongo iliyo chacha.
Usije ukaanza kujifanya manager wanguUtakavyo dundwa auππͺ
Nita simamia stahili zako zipatikane, ila uki pigwa usi lie SanaUsije ukaanza kujifanya manager wangu
Pamoja sana ππ€£KWELIII NGOJA NA SUBSCRIBLE HAPA