Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #141
Au Sio 😀🤣🤣,Sasa mkuu umeoa mke halafu anakuvutia ww mwnyw tuu kama boksa yako sasa ndo mambo gn hayo wakati ushaambiwa mwanamke n pambo na pambo lazima lisifiwe na wengi
uko sahihi mkuu, sometimes Watu Wana tujaribu ila ni kukazia hapo tuNiongeze jambo hapo mkubwa
Ukitaka maisha yako yakunyookee, usiogope kuwa strict katika mambo yote ya msingi bila ya kuvunja sheria za nchi. Kamwe! Usitake kusifiwa kwa kuwapendeza watu ili hali unafahamu dhahir kabisa madhara yatakayokutokea baada ya muda fulani.
Achana na mambo ya kujifanya uonekane ni gud person. Do what is always right.
Uludishe kadi ya chama cha Dronedrak uishi kama padri sasa😃😃
aisee mkwe wa hovyo 🤓Uludishe kadi ya chama cha Dronedrak uishi kama padri sasa😃😃
Hapo kwenye A fish 🐟 unyama Sanaa 😊😊😊Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako.
Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi.
Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda.
Kwasababu upo laini laini kihisia.
Mwanaume inabidi uwe ngangari kihisia, usiruhusu hisia zikuendeshe bali akili.
Wanaume wengi wanaendeshwa sana na hisia, hisia inayomjia ndiyo hiyo hiyo anafanyia kazi. Kama vile mwanamke.
Hii inatokana na dunia ya sasa inayo sema 'unaruhusiwa kuwa na hisia'Dunia ya kike. Feminized world.Inayochochea masculinity kufa.
Masculinity inaongozwa na akili, misimamo, heshima mipaka na malengo.Masculinity ndiyo uanaume wako.
Ndiyo dignity yako.Haitaki uendeshwe na hisia, bali na akili ili uweze kuongoza familia na mwanamke kwa akili.
Hisia waachie wanawake.Na sio kwamba umeshikiwa bunduki ukilazimishwa uwe na uendeshwe na hisia kama mwanamke Ia ni malezi na mambo unayoangalia mtandaoni au kwenye muvi.
Kadri unavyojiruhusu kuendeshwa na hisia, ndivyo unajisikia heshima yako inashuka.
Jichunguze na utaligundua hilo.Sababu hisia hisia ni kinyume cha masculinity.
Badala yake, jitoe kwenye hii fantasy ya kwamba 'mwanaume na wewe uwe na hisia'Hizo hisia zitakupelekesha na kuishia kujichua, kuwa dhaifu, kuendeshwa na mwanamke, kuwa muoga, n.k.Na uvae uanaume (masculinity). Kwa kutumia akili katika KILA jambo.
Ukitaka kutumia akili kirahisi, anza kwa kujiuliza kwanini/ why kwa kila jambo.
Halafu ufanye kitu kama why yake ina faida kwako, kwa familia yako, jamii na taifa lako.
Na hiyo why imfanye Mungu ajisikie proud kwamba amekuweka hai hadi leo.Acha kukubali kuendeshwa na hisia.
I mean no malice to nobody
View attachment 2960706
Pamoja Sana KakaHapo kwenye A fish 🐟 unyama Sanaa 😊😊😊
Mkuu ukamean malice to everybody[emoji2]Uko sahihi mkubwa, na nilisha zungumzia na kuomba radhi.
Na nili kutag pia, guess hukuona
Tulia wewe mimi sina pua breiniWewe huja wahi kabisa kuwa na hizo akili😀🤣
Aisee mbona unaa nchukulia POA ndugu yangu Poor Brain 😁.Tulia wewe mimi sina pua breini
Sidhani, unajua mi nipo tofauti sana na nilivyo humu. Nikiishi uhalisia wangu humu nitaacha na kutumia jfUnazo ila chache
Sina nia mbaya ila mim akili kubwa sana kamanda mkuda.Aisee mbona unaa nchukulia POA ndugu yangu Poor Brain 😁.
Akati we ni nusu albinoooooo na hatu semi🤣🤣
Kubwa la manusu, akili kisoda😁🤣Sina nia mbaya ila mim akili kubwa sana kamanda mkuda.
Nusu akiliKubwa la manusu, akili kisoda😁🤣
bro hiyo Ngozi yako mtu ana eza sema vipodozi vili dunda🤓😁Nusu akili
Pamoja mkuuHapo kwenye samaki umemaliza vizuri sana mkuu
😂 lala mkuubro hiyo Ngozi yako mtu ana eza sema vipodozi vili dunda🤓😁
Jibu Kwanza 🤓😁😂 lala mkuu
Maana hata hizo ni hisia kaka😂aisee mkwe wa hovyo 🤓