KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

Kadodo1

Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
25
Reaction score
24
KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya
Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga

Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..!

USIBAKI NYUMA

Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari
kuhusu zoezi hili.
www.tanesco.co.tz
#Mita YakoTunakaziNayo
tanesco.jpg
 
Mnafanyaje semeni bwana mita zetu Zina mambo mengi .. tumejaza hirizi
 
Back
Top Bottom