RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.
Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.
Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!
Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.
Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.