Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

Wapumnavu sana mnafikiri kabenderra katunga hayo mambo!!...haohao watu wa karibu ndo wanatoa siri siri nyingi zitafichuka
Marehemu kapiga mke wa mtu mimba na akampa mume wa bibie ubalozi, marehemu aligawa nyumba ya umma kwa hawara yake ambayo hakuwa anastahili hata kidogo ila yakisemwa hayo yametungwa wakati vitu vipo waaazi kabisa, marehemu alisema hadharani yeye ni kichaa machawa wa marehemu hiyo clip wanaikataa.
Kifupi marehemu alibahatika kuwa na machawa wafu na watiifu kwake.
 
Wenye vyeti feki, na kuishi mjini kwa kupiga deals hamtomsahau yule mzee..
 
Alienda amevaa pajama Kwa makamu wake ambaye alikuwa wa jinsia wezeshwa, mbona naona vimuli-muli!!!!????
 
Hivi wewe unafikiri Rais ni mwanadamu tofauti na wanadamu wengine !.

Tatizo lako ni kufikiri Rais ni kama Mungu kwasababu katiba imemrundikia mamlaka makubwa.

Magufuli alikuwa mwanadamu mwenye mapungufu mengi sana.

Nadhani Kabendera kapunguza kutujuza udhaifu mwingi wa Magufuli.

..kama Ditopile Mzuzuri alimuua dereva wa daladala kuna ajabu gani Magufuli kumuua Ben Saanane?

..tukio kama hilo linaweza kumtokea mtu yeyote anayemilika silaha ya moto kama hatakuwa makini kudhibiti hasira zake.
 
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.

Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.

Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!

Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.

Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Mbowe aone AIBU
 
Poyoyooo....!! Rais ana access popote na saa yeyote..usalama kazi yao kumlinda ....popote ....kwenda makamu saa yeyote ni sawa hasa akisema kuna jambo la f2f kujadilii walinzi wana kaa nje chumba watachokuwemo avha upoyoyoo sio hoja hii.....walinzi wapi tu
 
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.

Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.

Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!

Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.

Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Hakuna siri chin ya juwa. Hivi magufuli kunakitu ambacho angeshindwa kufanya akitaka. Kwani walinzi wasamia si walikuwa wanamjuwa magufuli kuwa ni raisi. Mtu ambaye alikuwa anaingilia simu zawatu na ansema hadharani anashindwaje kubaka mwanamke wa karibu yake.
 
Huna akili.. yaani raisi akitoka na pajama walinzi wanaweza kumzuia?
Eric Kabendera ni Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu katika sura tofauti za walioshindwa na marehemu.I'm The State kabatini. Leo, In the Name of President.
Wakaamua pia wayajaze yalioumiza wapinzani ili kukomba nguvu zao zitumike katika kupush agenda na iende. ?

Ndio, ndio waandishi walioandika kitabu chenye jina 'I am the State' ikiwa na maana Mimi ndio Dola wanatofauti gani na Eric Kabendera?

Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu waliandika kitabu kwa pamoja wakielezea miradi iliyojengwa Chato kwa madai kwamba Wilaya hiyo ilipendelewa kuliko mikoa mingine yote nchini. Unafki huo unatufanya Watanzania tuonekane wajinga sana. Eric Kabendera ni sehemu ya watu waliokuwa kinyume na serikali ya Magufuli, kwakifupi alitumika kuihujumu kwa kisingizio cha Uanahabari wa Uandishi wa habari za Uchunguzi.

Kwa kifupi tu, katika matukio ya mauaji yaliyokuwa yakitokea kule Kibiti, na Rufiji; Eric Kabendera alihusika. Naam, alimtuma Azory Gwanda, ukimsikiliza maelezo yake kuna namna anakwepa kwepa kueleza namna alivyofahamiana na Azory Gwanda lakini anakiri kwamba alikuwa akiwasiliana nae na tangu siku anakamatwa alijua, mahali alipokamatiwa alipajua, alipopelekwa anapajua na hadi sehemu alikouliwa Azory Gwanda anapajua.

Kwamba Azory Gwanda alikuwa anatumia "kitochi/kiswaswadu" wakati wote akiwa porini kutafuta habari za kiuchunguzi dhidi ya wqliokuwa washukiwa wa ugaidi, hadithi zote hizo Eric Kabendera anazijua. Yeye ni nani? Kwakifupi ni kwamba Eric Kabendera alikuwa ni mmoja kati ya washukiwa wa Ugaidi japokuwa hakupatikana na hatia; inawezekana ikawa katika watu waliokuwa wameandaa hayo matukio walitokea ndani ya mfumo kama ambavyo yeye anakiri kuwa aliwakuta viongozi mbalimbali hadi wa vyombo vyaa ulinzi wakiwa magereza kwa tuhuma za Ugaidi; inawezekana ni kweli watu hao anafahamiana nao.

Ukimsikiliza katika maelezo yake, kuna kipande cha vijana watatu wa maeneo ya Mbweni anadai walikuwa watu wake wa karibu, alikuwa akipiga nao story mbalimbali. Baada ya muda vijana hao wakapotea. Katika kufuatilia kwake akajakugundua kuwa walipotea kwa madai walikuwa magaidi. Sio hao tu anasema ni zaidi ya watu 300 walipotea kwa kuhusishwa na ugaidi maeneo ya Kibiti na Rufiji.

Ukiunganisha dots unapata mstari ulionyooka kwamba Eric alikuwa sehemu ya ugaidi. Pesa zilizokuwa zikipitia katika akaunti yake hazikujitosheleza maelezo, alikiri mwenyewe kufanya money laundering (utakatishaji fedha). Hilo hakatai. Upelelezi wake kwamba alikuwa anaweza kufuatilia kuanzia wapi Azory Gwanda alitekwa, alienda kuhifadhiwa wapi; na nani, na akaenda kuuliwa sehemu gani, hii inaonesha Eric Kabendera hakuwa peke yake mchezoni. Alikuwa na timu; tena timu kubwa na yenye mizizi mirefu.

Ukifuatilia matukio ya Kibiti n Rufiji; Eric Kabendera alikuwa mtu wa kwanza kuyatolea taarifa za ndani kabisa. Leo anakiri kwamba aliwahi kufuatilia hadi wale washukiwa wa ugaidi, aliongea nao, akafanya mahojiano nao na kupata taarufa mbalimbali ambazo zilimsaidia kujua mengi kuhusu hayo madai ya ugaidi. Kwamba Eric anataka kusema yale matukio hayakuwa ya kweli kuhusu ugaidi. Kwamba wale Raia waliokuwa wanauawa sio kweli. Kuna mahali anajichanganya katika maelezo; unaona kabisa ule mchezo alikuwa sehemu yao isipokuwa walishindwa na vikosi vilivyopelekwa kule Kibiti na Rufiji na matokeo yake Azory Gwanda akauawa kwa maelezo yake.

Kituko kingine ni namna ambavyo ameelezea kwamba Hayati Dr Magufuli alitaka kumbaka makamu wake wa Rais akiwa amevaa Pajama usiku wa manane nyumbani kwa Makamu wake.

Kwa kifupi tu Eric ameinajisi nchi yetu; pengine kwa kujua ama kutokujua uhalisia wa umbali kutoka Ikulu hadi nyumbani kwa Makamu wa Rais ni zaidi ya 10+km. Kutoka Magogoni hadi St Peters kwa nyuma kuna umbali mrefu sana; kwamba kilomita zaidi ya 10; Hayati Magufuli alitembea na Pajama kwenda kumbaka Makamu wake; hii sio tu kwamba anaichafua mamlaka ya Ulinzi wa Rais bali amemtusi Rais aliyepo Madarakani hata kama Rais hatolijibia hili lakini tayari ameonesha dharau kubwa kwa safi nzima ya ulinzi wa Rais na Makamu wake, kwamba Walinzi wake walimsindikiza akafanye uhalifu huo? Hiki ni kituko kingine amekiandika katika kitabu chake.

Eneo jingine ni pale anaposema Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikaje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwambia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo; anasema Magufuli alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo. Baadae mwili huo ukaenda kutupwa Mto Rufiji. Moja ya hadithi ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa.

Lakini yote haya ni kwa ajili ya nini? Nimeanza kueleza hapo juu kwamba mwaka 2022 walijitokea waandishi wanne wakaandika kitabu kinachoitwa "I am the state" kwamba "Mimi ni dola". Kitabu hicho kilikufa kifo cha asili maana kilibaki kjwa kama kijarida tu watu wakafungia maandazi maisha yakaendelea. Hakikuvuma wala kueleweka kwa umma.

Kitaalamu hii ya sasa tunasema watu wanapambana na kile alichoki-set HAYATI Magufuli kama standards katika utendaji kazi wake alipokuwa HAI. Kwa sababu hiyo inatengenezwa kila aina ya damage ama Character assassination. Wanataka kufuta na kuua legacy yake kabisa. Character assassination. Wamefikiria wakafikia conclusion kuwa hakuna wa kuweza kufanya kama yeye. The standards he set are too high for them to even dream about achieving them. Only solution is to tarnish his image and character so that Tanganyikans will get angry and eventually forgets all about him. Kwahiyo maswali kwamba hakuna atakayeweza kufanya kama Magufuli yatakufa. Na aliyoyafanya yote yataonekana ni ujinga. A fools man errand.

Ukijiuliza yale yaliyohojiwa kuhusu miradi iliyojengwa Chato, ni nani anaehoji kuhusu miradi inayojengwa Zanzibar na Kizimkazi kwa ujumla wake? Kwakifupi Magufuli enzi zake hakupemda siasa uchwara; na wanaomtusi leo ujue waliingia kwenye kumi na nane zake.

Kwakifu hakuna kitu cha maana alichokiandika kwenye hiki kitabu chake ambacho kina uhalisia wa ukweli. Amesema Mama yake alinunua nyjmba waliyokuwa wakiishi wakoloni wa kijerumani ambacho kilikuwa na maktaba kubwa ndani mwao; nimefuatilia huko kwao; ni uongo mtupu. Vile vinyumba huwezi kusimama hadharani ukasema kulikuwa na maktaba kubwa halafu ukatupeleka kutuonesha vibanda vya kuku ukatuaminisha waliishi wakoloni pale. Kwao ni pale Rwamishenye; hakuna hizo nyumba anazosema Mama yel alinunua nyumba kubwa yenye maktaba kubwa sana ndani.
 
Mwenye picha ya pajama aiweke, wengine tunadhani ni aina ya Gari.
 
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.

Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.

Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!

Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.

Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Mlinzi gani angeweza kumuhoji Uchwara juu ya uvaaji wake na ukware wake.
Nani alimhoji balozi na mke wake au ya yule missTz no 2 .
Walinzi gani wlimuhoji Reich Fuhrer Adolf Hitler na uhusiano wake na Eva Braun.
 
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.

Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.

Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!

Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.

Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Thought yako yako yote imeishia kwenye paragragh ya kwanza.
Inatosha
 
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.

Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.

Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!

Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.

Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Sasa walinzi, wa Rais wangefsnya nini? Wakati boss wao anataka kumchapa mtu mgangaruma! This is Afrika bro!
Unaweza ku imagine, walinzi wa Kagame wamzuie kushika makalio ya waziri wake! Hawajipemdi!?
 
Kitabu cha uyo kbendele nivyetifeki tu wenye machungu yakutumbuliwa ndio wanakielewa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hata yule askofu ana vyeti feki!? Ukiwanyima watu uhuru wa kuongea ukiwa hai...wataongea ukiwa futi sita chini......
Hicho ndicho kinachotokea.kwa JPM
 
Back
Top Bottom