Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.

Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.

Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!

Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.

Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Haa haa🤔🤔🤔

Inavyoelekea hujui kuwa kwa katiba hii ya mwaka 1977 Rais wa Tanzania ni Mungu mtu mwenye nguvu na mamlaka yasiyo na ukomo wa kufanya lolote, chochote (hata kama akiamua kuua kijiji kizima), mahali na wakati wowote...!

Kama yeye (huyu Rais) atakuwa hana HEKIMA na BUSARA katika maamuzi yake, kwa katiba hii tuliyonayo anayo mamlaka ya kuagiza apelekewe mke wako na akalala (fanya naye ngono) hadharani huku hao unaowaita "walinzi wake" wakitazama kwa macho yao na wasimfanye lolote..!!

Unaongelea ishu ya kwenda na pajama (ishu ndogo kabisa) wakati unaambiwa aliua watu kibao (akiwemo Ben Sanane) kwa mkono wake huku hao walinzi wake wakiangalia na wasimfanye lolote.,.

Sembuse kwenda kumgegeda Makamu wake wa Rais Samia Suluhu Hassan by then...???

Hakuna mtu achilia mbali hao unaowaita "walinzi wake" wa kumkosoa au kumwelekeza au kumzuia "mungu - mtu a.k.a Rais" kufanya lolote so long as ameamua kufanya hivyo...!!
 
Waliomkubali sana magu ni watu wenye shida ya ufahamu(walidanganywa kirahisi)ni aina ya watu wasioweza kitafakari wanachoambiwa,magufuli aliongoza kwa ku manipulate raia,alijua anaongea na audience ya namna Gani...ukisikiliza mahojiano ya kabendera angalau unaweza kupata cha kuanzia kuandika unapoandika kuhusu kitabu cha huyu mwandishi.
 
Back
Top Bottom