Kimaadili haiwezekani na JPM kamwe asingeweza kufanya hivyo!..kwani kuna tatizo gani?
..Jpm amevunja sheria gani kufanya hivyo?
Wakati anamtungua Ben walinzi hao walikuwepo?Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.
Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.
Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!
Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.
Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Hivi wewe unafikiri Rais ni mwanadamu tofauti na wanadamu wengine !.Kimaadili haiwezekani na JPM kamwe asingeweza kufanya hivyo!
Ulikuwepo? Huyo Kabendera wako alikuwepo?Wakati anamtungua Ben walinzi hao walikuwepo?
Swali la kijinga sana!Ulikuwepo? Huyo Kabendera wako alikuwepo?
Yapo mengi mno yamefichwaHivi wewe unafikiri Rais ni mwanadamu tofauti na wanadamu wengine !.
Tatizo lako ni kufikiri Rais ni kama Mungu kwasababu katiba imemrundikia mamlaka makubwa.
Magufuli alikuwa mwanadamu mwenye mapungufu mengi sana.
Nadhani Kabendera kapunguza kutujuza udhaifu mwingi wa Magufuli.
Kwani kuna shida gani akienda na Pajama !.
Kimaadili haiwezekani na JPM kamwe asingeweza kufanya hivyo!
Huna akili.. yaani raisi akitoka na pajama walinzi wanaweza kumzuia?Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.
Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.
Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!
Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.
Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Kwani hawezi kwenda na escort ndogo huku amevaa pajamas?Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.
Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi.
Pili wabapoishi huishi na wasaidizi wao! Hivi wewe unaposema JPM alitoka na pajama kwenda kwa makamu mbona kama ni picha ya kihindi!
Unataka kuaminisha umma raisi ni sawa na mkuu wa mkoa au wilaya wanaoweza kutembea bila walinzi wakiamua ebu acha kuchafua viongozi kwa maslahi yako.
Cha kushangaza serikali imekaa kimya kuhusu jambo hili.
Shida ni waumini wengi wa Jiwe ni watu wajinga. Yaani zile sarakasi za jiwe ziliwadanganya sana, he was a psychopathy...amevunja maadili gani?