Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

Jamani mbona mwenda zake anaandamwa sana kipindi hiki kulikoni?

Aachwe apumzike Kwa amani jamani dah!
 
Alikuwa rais but alikwua binadamu pia. and the way alivyo sitoshangaa, na si mara ya kwanza ku deny ushauri wa walinzi wake, multiple times alikuwa aki ignore that,

But that doesnt confirm kama alienda huko akiwa hivyo
 
Ndeeefu!? Lakini ni πŸ’©πŸ’©πŸ’© matupu!
 
VIBINTI VDOGO VPO VINGI TENA VKALI SIMU MOJA TU VNAENDA LOCATION TENA HADI MTARO ANGEPEWA AFUKUE, HII NDO SABABU INANIFANYA NIAMINI AWEZ TAKA BAKA SHANGAZI HATA MARA MOJA! NA MAREHEMU AKUA MTU WA TOTOZ NA MSUJUDIA UTELEZ
 
Ndugu yangu, naamini una uelewa mdogo kuhusiana na faragha za viongozi wanaolindwa.

Kwa uelewa wako, unaamini Rais hata akiwa anajisaidia, walinzi wanakuwa wamekizunguka choo?

Ungetoa hoja nyingine, siyo hiyo ya walinzi.

Uliwahi kusikia ile habari iliyosababisha kifo cha OCD kule temeke?

Sikutaka nieleze hii lakini kwa sababu inaonekana mpo watu wenye uelewa mdogo kuhusiana na masuala ya hawa viongozi, nalazimika kulisema:

Wakati Kawawa akiwa Waziri Mkuu, aliamua kwenda kwa siri kwa kimada, maeneo ya kuleTemeke Machinjioni. Akiwa huko, mkuu wa kituo akaambiwa na wakubwa wake kwamba mkubwa yupo maeneo hayo yaliyopo chini ya hemaya yako. Na kwamba ahakikishe PM anakuwa salama lakini hatakiwi kuisogolea nyumba, na kwamba haitakiwi afahamu kuwa wanajua yupo huko. Kwamba wao walichotakiwa kuhakikisha ni kuwa eneo lote hilo lipo salama. Ilikuwa usiku, OCD yupo nyumbani kwake. Akatoka kwa kasi kwenda kuhakikisha anasimamia aliyoambiwa. Bahati mbaya pale Temeke machinjioni, akagongana na lorry, na kupoteza maisha.

Kisa cha pili, ni kile cha Rais wa Nigeria kufia kwa kimada. Unadhani akiwa pale kwa kimada, walinzi walikuwa wamemzunguka? Wao wanachohakikisha ni kuwa anayelindwa yupo salama lakini bila ya kuingilia faragha yake.

Fuatilia kilichokuwa kikifanyika huko Zanzibar, Karume alipokuwa Rais, na pale alipokuwa anahitaji kimada, kilichokuwa kikifanyika.

Take Note of this:
It is rumoured that Sani Abacha was in the company of two Indian sex workers "imported" from Dubai who, allegedly, laced his drink, some say apple, with a poisonous substance, making the Head of State feel unwell around 4:30 a.m. and was dead by 6:15 a.m.
 
"Alitoka na pajama kwenda kwa makamu wake"
Makamu wake alikua nani?
Na kwa nini aende na pajama?


Cc: Mahondaw
 
Kawawa alikuwa Waziri mkuu wakati wa Rais Mwinyi? 🐼
 
Kabendera kwa akili zake anadhani Rais wa Tanzania ni sawa na Rais wa wasafi kwamba anytime akijisikia anaweza kumzukia tu zuchu geto kwake.
 
Wewe leta ukweli ,kama unaona Kabendera no Mwongo, leta UKWELI πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Wewe kama POPOMA! Tuambie UKWELI ni Nini?? Kakosea wapi??

Kwanini unaumia sana kwa kuandikwa magufuli hasa mambo ambayo aliyafanya kweli!!???

Kabendera kapunguza ukali!! IT WAS REAL RAPPING ATTEMPT.

baada bya kushindwa aliongea poa "MIMI NINA MKE WANGU" akaulizwa hukujua kabla?? πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Jamaa alikuwa Yuko vizuri kwa kupiga "FIMBO YA MUSSA"

KAMBANDUA sana CHEUPE mwenye kidoti toto la Kipare 🀣🀣🀣

Ila nampongeza sana, hata Ningekuwa ni mimi CHEUPE KIDOTI Bonge la ZIGO LA KUVUNJA CHAGA.

Maana mimi napenda mizigo KAMA SHEKHE Kipoozeo, wewe kama unapenda English figure kazi kwako!!!

Nahisi Mwamba alipagawa na JICHO.... Mother bana Jicho LEMBUKU mi mwenyewe sometimes nalitamani JICHOO πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’‹πŸ’―πŸ˜ƒπŸ€ΈπŸ€Έ
 
Kama walinzi wa Magu walikua wanamuogopa Magu vipi kuhusu walinzi wa Makamu?

Jiongeze wewe.
 
Au ni kaputula ? Hiyo watu huwa wanavaa tu fresh mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…