Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

Nimeamini umelewa
 
Hii kitu ina pande mbili. Rais Samia kama angeweza apige marufuku kumtukana au kumdhihaki Dkt Magufuli, maana ni kitu pekee ambacho kitamnyima urais 2025. Maana kwa sasa kila kundi linajaribu kumuhusisha na yeye na Dkt Kikwete kushiriki kumuua Dkt Magufuli. Na hasia za watanzania ni kuwa Dkt Kikwete kwa kushirikiana na Rais Samia walimuua Dkt Magufuli (Kitu ambacho mimi binafsi siamini kabisa-Dkt Magufuli alikufa kifo cha kawaida). Kauli kama hii ya Kabendera ina leta mashiko kwenye hisia za watanzania kusema kumbe Dkt Kikwete na Rais Samia walimuua Dkt Magufuli na hicho kitu watanzania walishaanza kusahau. Mungu amlinde Dkt Kikwete na Rais Samia, hatutaki tena vifo vitokee, tunahitaji kujenga nchi.
 
Erick kiukweli aliyosema ukisoma between the line kuna vitu vingi ndani yake! Nimerudia mara nyingi lile andiko nikaelewa kwanini yaliyomtokea yalitokea na huenda yeye mwenyewe anaendelea kujimwagia upupu!

Anyway, sisi wengine yetu macho tu!
 
Huu ujinga wa kujifanya watabiri naona Godbless lema ameshapata wafuasi wake.
 
Umenena vyema,
Mwisho wa haya tunaonekana wote hatuna akili.

Ni Bora kijana mwenye Akili na BUSARA kuliko Mkuu Mchungaji wa mifugo MPUMBAVU.

Kwann kuamsha hasira ya wananchi Kwa mamilioni walohuzunishwa na kifo Cha Kiongozi wao???

Siasa za namna hii mbona ni NGENI ktk Nchi yetu????

Kama hakuna WAZEE wenye akili. Basi VIJANA wenye akili wapewe nafasi kushauri Ili kuiunganisha Nchi na Si kuibomoa.
 
Wewe choko katiwe huko ,kvma wewe ,unanijua Mimi ? Au unadhani kila mtu ni zwazwa kama wewe humu .
Sikiliza dogo upuuz wako peleka Facebook huko unaongea na watu wazima hapa .
Simbilisi wewe
Watu wazima wenye midomo michafu?
 
Wewe iko siku utakuja kukamatwa tu maana ulikuwako hata kwenye kikosi cha WASIOJULIKANA kilichokwenda kumshambulia Tundu Lissu chini ya uongozi wa Paul Makonda. Usiamink kuwa hiyo ID ya TumainiEl umejificha sana. Kimsingi tunakufahamu
 
sasa hapo hizo sentensi zina kosa gani mkuu?labda we mwenzetu ni mwingereza halisi wa uingereza.
You are playing ...
Siyo
Your playing ....

BTW, Hilo kosa la kawaida sana kwenye kuandika kiingereza hasa kama muandishi siyo lugha yake ya kwanza.
 
Nasema hivi oangezewe kuni km imekuuma shauri yako
 
Hili Taifa haliwezi kupata kiwanda Wala maendeleo ya Maana ...Kama aina ya think tanks za Taifa mtoa mada yupo ...Basi bora niendelee kulimia mihogo yangu tu watoto wapate kula ....

Wazee wa kazi mnashughulika na vitu vidogo vidogo Sana badala mzame huko ng'ambo mtuibie tecknolojia mpo bize na akina Kabendera ..

Pathetic pit;!!
 
Magufuli alimtishia na wewe unamtishia. Angekuwa mama yako kafanyiwa haya?
 
Mungu ndiye aliyeuamua baada ya kusikia kilio chetu.
Rais jizi vile 1.5 trilioni na mauwaji kibao.
Linatomba mpaka ndugu wa mkewe...
Chafu sana lile
Uwe na adabu we kima,tuondolee stress zako hapa 💩 wewe
 
Erick kiukweli aliyosema ukisoma between the line kuna vitu vingi ndani yake! Nimerudia mara nyingi lile andiko nikaelewa kwanini yaliyomtokea yalitokea na huenda yeye mwenyewe anaendelea kujimwagia upupu!

Anyway, sisi wengine yetu macho tu!
Hilo andiko la Kabendera lipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…