Dada
sheiza mbona unajizima data bila sababu. Kama ulichosema ni kweli kuwa Erick alikuwa "anaandika habari zisizo na uchunguzi", basi mlipaswa mumshitaki kwa Sheria ya huduma za habari ambayo ndipo kosa lake linaangukia.
Kwa kitendo cha kumshitaki kwa Sheria ya AML ndipo mnaonyesha kuwa alichoandika Erick kilikuwa ni sahihi ila msingeweza kumshinda Mahakamani. Then mkaamua kumkomoa.
Sasa huyo aliyekuwa anakomoa wenzie Mahakamani yuko wapi?
Nashukuru kuona kuwa Magufuli alikufa mwaka jana baada ya kuumwa sana. Hata kwenye majukwaa alikuwa anapanda na A/C huku mikononi akiwa na catheter