nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
you are playing or you're playing na sio your playingsasa hapo hizo sentensi zina kosa gani mkuu?labda we mwenzetu ni mwingereza halisi wa uingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you are playing or you're playing na sio your playingsasa hapo hizo sentensi zina kosa gani mkuu?labda we mwenzetu ni mwingereza halisi wa uingereza.
Acha kutisha watu.Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?
Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.
Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.
Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
Kanuni gani.Kama kawaida yake eric kabendera aliamini ye ni mkubwa kuliko nchi na tawala. Pamoja na kufanya kazi za kimataifa ila hakujua kuna sheria lakini dunia ina kanuni zake.
Alifurahia mamilioni ya pesa aliyokuwa analipwa kwa kuandika habari za taharuki zisizo na uchunguzi wa kina kuhusu serikali kiasi cha kuangusha kasri la nguvu kule mbweni.
Alipoonywa alijitia pamba sikioni, kina zitto wakamdanganya kuwa tupo na wewe, we fanya tu.
Kilichotokea baada ya kudakwa wote wakamkimbia. Hata mama yake alipoomba msaada wa panadol kina zitto waligoma kujitokeza. Si mahakamani wala nyumbani kumjulia mama hali.
Mwishowe alipoteza mama, akapoteza na kile alichokikusanya, akawapoteza na marafiki zake pendwa kina zitto.
Alitakiwa ajue kuwa dunia ina kanuni zake.
Kwani mkijibu hoja zake itakuwaje?Kama kawaida yake eric kabendera aliamini ye ni mkubwa kuliko nchi na tawala. Pamoja na kufanya kazi za kimataifa ila hakujua kuna sheria lakini dunia ina kanuni zake.
Alifurahia mamilioni ya pesa aliyokuwa analipwa kwa kuandika habari za taharuki zisizo na uchunguzi wa kina kuhusu serikali kiasi cha kuangusha kasri la nguvu kule mbweni.
Alipoonywa alijitia pamba sikioni, kina zitto wakamdanganya kuwa tupo na wewe, we fanya tu.
Kilichotokea baada ya kudakwa wote wakamkimbia. Hata mama yake alipoomba msaada wa panadol kina zitto waligoma kujitokeza. Si mahakamani wala nyumbani kumjulia mama hali.
Mwishowe alipoteza mama, akapoteza na kile alichokikusanya, akawapoteza na marafiki zake pendwa kina zitto.
Alitakiwa ajue kuwa dunia ina kanuni zake.
Wanajitia wenyewe kwenye matatizo badae wanaomba huruma za watu.Erick kiukweli aliyosema ukisoma between the line kuna vitu vingi ndani yake! Nimerudia mara nyingi lile andiko nikaelewa kwanini yaliyomtokea yalitokea na huenda yeye mwenyewe anaendelea kujimwagia upupu!
Anyway, sisi wengine yetu macho tu!
Samahani mkuu kwa kudhani watoka kuleBro mi mchagga wa kibosho ila tumekulia longuo
Yani Tanzania kuna watu wana roho za ajabu. Jitu linashabikia mwenzie kudhulumiwa na kuonewa.Kama kawaida yake eric kabendera aliamini ye ni mkubwa kuliko nchi na tawala. Pamoja na kufanya kazi za kimataifa ila hakujua kuna sheria lakini dunia ina kanuni zake.
Alifurahia mamilioni ya pesa aliyokuwa analipwa kwa kuandika habari za taharuki zisizo na uchunguzi wa kina kuhusu serikali kiasi cha kuangusha kasri la nguvu kule mbweni.
Alipoonywa alijitia pamba sikioni, kina zitto wakamdanganya kuwa tupo na wewe, we fanya tu.
Kilichotokea baada ya kudakwa wote wakamkimbia. Hata mama yake alipoomba msaada wa panadol kina zitto waligoma kujitokeza. Si mahakamani wala nyumbani kumjulia mama hali.
Mwishowe alipoteza mama, akapoteza na kile alichokikusanya, akawapoteza na marafiki zake pendwa kina zitto.
Alitakiwa ajue kuwa dunia ina kanuni zake.
Hujuwi unacho andika. Daud aliuwa arithi mke nn Hayati kula ndugu wa mke wake. Kuna mambo Bora ukae kimya tu maana ni ujinga wakiwango cha lamiMungu ndiye aliyeuamua baada ya kusikia kilio chetu.
Rais jizi vile 1.5 trilioni na mauwaji kibao.
Linatomba mpaka ndugu wa mkewe...
Chafu sana lile
Upo usemi unasema jambo usilo kijuwa ni usiku wa giza tena nene sana.Una wasiwasi atakutaja kwenye upuuzi wa kupoteza watu!? Wewe hofu yako nini yeye akisema madhila ya mfalme wenu!?
Vitu vingine hata msimsifu Mungu. Magufuli kaenda na wewe kiwango cha umaskini wa mali na fikra bado kingali palepale. Labda huyu mnayemwita Mtoto wa Mwinyi(Samia) ndiye mkombozi au sio? Wajinga kweli nyie.Hata waliovunja sheria na kuuwa na kupora watanzania MUNGU kalala mbele na kiongozi wao
Mungu kuamua si jambo jipya. Wewe mwenyewe midudu mila vinyesi inakusubiri uzikwe ili ipate chakula. Trilioni 1.5 hakuiba, wewe msafi mwenzako mchafu kaenda wewe umaskini wako wa fikra na mali ungali uko palepale. Labda huyu Mama yako mnayemuita Mtoto wa Mwinyi atakusaidia.Mungu ndiye aliyeuamua baada ya kusikia kilio chetu.
Rais jizi vile 1.5 trilioni na mauwaji kibao.
Linatomba mpaka ndugu wa mkewe...
Chafu sana lile
Mimi sijawahi kuandika Nina umuhimu ila nina toa ushauri kwa kile naona kesho. So hayo mengine sijuwi
MUNGU ndiye aliyeamua MAGUFULI imetosha....usinichukie mim mchukie MUNGU in case...Mungu kuamua si jambo jipya. Wewe mwenyewe midudu mila vinyesi inakusubiri uzikwe ili ipate chakula. Trilioni 1.5 hakuiba, wewe msafi mwenzako mchafu kaenda wewe umaskini wako wa fikra na mali ungali uko palepale. Labda huyu Mama yako mnayemuita Mtoto wa Mwinyi atakusaidia.
Magufuli mtamsema weeee lakini mnamsema sana kwa sababu mnadhani kila mmoja wetu alibidi afurahi pamoja nanyi alipofariki. Ni kama matahira wanaoshangaa kwa nini wengine hawaimbi nyimbo wanazoimba wao. Magufuli hataingia katika Historia kama mnavyolazimisha nyie, umaskini wenu haujapungua sasa kwamba amesepa, nyie wenyewe tunasubiri Mungu aingilie kati Taifa liondokane na MABULUKENGE.
Mtu hataki kuamini SAMIA ndiye rais, na MUNGU ndiye kaamua. Utamfanyaje mutu ya hivyo kama sio kumjibu ovyo?Watu wa humu wanasema wao ni watu wazima ila wanatukana kama vitoto vya uswahilini.Tena vile vya kike.acheni kutukanana
UNAMTUKANA TU ***** AKE.HA HA HA HA.Mtu hataki kuamini SAMIA ndiye rais, na MUNGU ndiye kaamua. Utamfanyaje mutu ya hivyo kama sio kumjibu ovyo?