Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa , hili nadhani aingie kwanza TL ndio lifanyike..Tuanzishe Tume ya Ukweli na Maridhiano na waliodhulumiwa wahakikishiwe watatendewa HAKI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa , hili nadhani aingie kwanza TL ndio lifanyike..Tuanzishe Tume ya Ukweli na Maridhiano na waliodhulumiwa wahakikishiwe watatendewa HAKI.
Mkuu sizungumzii Kumpenda au kumchukia Magufuli Hapa.
Nafikiri umeleta Jambo jipya.
Nazungumzia impact ya Kitabu cha kabendera Kwa Watanzania wengi ni chini ya 1%
Ni kweli kabisa hata Mimi Niko nusunusu,ila Jamaa kama ni kweli aliua mtu Ikulu,alitenda jambo baya sana!
..kwani Kabendera alikwambia anataka impact au anataka kuweka UKWELI wake wazi?
..sio sahihi kumzodoa mtu aliyepitia wakati mgumu kama Kabendera.
Magufuli hawezi kuchafuli na kijarida cha mtu ambae alikua anatumika na wahuni flani
Kwani impact ya kitabu cha mzee Mwinyi kwa Watanzania ni kiasi gani?. Kwa hiyo ndo kitabu kisiandikwe?
Kitabu kikiandikwa maana yake kitasomwa na vizazi zaidi ya 1000 vijavyo, na hivyo ndivyo civilization inavyojengwa.
Wewe unadjani kwa kuwa watanzania wa leo hawapendi kusoma, hiyo ndo itakuwa excuse ya kutoandika vitabu?
Sina shida na ukweli kama upo aliouelezea.
Tatizo Linakuja Kitabu kizima kwa sehemu kubwa kina hearsay nyingi kuliko ushuhuda wake yeye kama yeye.
Kitabu cha Kabendera kimemtengezea jinamizi litakalomtafuna maisha yake yote hadi kizazi cha nne.Mkuu sizungumzii Kumpenda au kumchukia Magufuli Hapa.
Nafikiri umeleta Jambo jipya.
Nazungumzia impact ya Kitabu cha kabendera Kwa Watanzania wengi ni chini ya 1%