Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

Nashukuru sana kwa kufuatilia vyema. Changamoto niliyoipata ni kuelewa kama Ziwa dogo kama hilo limekuwa na samaki so nitaiconsider kwenye taarifa mpya.
Hata hivyo kwenye uzalishaji wa vyakula, nimewapa Wanyilamba D kwa sababu wana alternative ndogo sana ya kuliwa mazao ya vyakula kutokana na kuwa na mzima mfupi wa kilimo. Kwa kuwa eneo hilo linapata mvua chache (chini ya mm 850), limekuwa na rainfall unreliability, hivyo wanaweza kuzalisha vyakula kwa wingi but still njaa imekuwa ya mara kwa mara kulinganisha na maeneo yenye misimu mirefu ya mvua.
Mfano: mwezi unaopata mvua chini ya mm 60 kwa mwezi basi ni mwezi wenye ukame na ikiwa ni mm 30 ni ukame mkubwa, so angalia nimechukua eneo bora la Kionboi but still wana miezi sita pekee ya mvua isiyo ya ukame. Huwezi kulinganisha na maeneo yenye bi-modal.
Hapo ndipo huwa siwaelewi wanatakwimu. Kuna maeneo yana mvua mara 2 lakini kwa muda mfupi mfupi tu ambao mahindi ya miezi miwili hupata shida kufika. Iramba ina mvua ya nusu mwaka na hakika sijawahi kuona Iramba mahindi yasifike/yasikomae mpaka kuvuna huku Maeneo mengine kama Dodoma, Shinyanga kukiwa na miaka ambapo hawavuni kabisa mazao kama mahindi.
Pia kuhusu Njaa nadhani sio sahihi sana, Miaka mingi sijapata taarifa kwa wilaya ya Iramba kuomba chakula cha msaada. Hii ni kutokana na ukweli kwamba mavuno ni ya kutosha. Nenda maeneo ya Misigiri, mampanta, kiomboi mpaka kisiriri, zunguka mpaka kinampanda miezi ya mavuno utakutana na Fuso zinatoka mikoa Jirani kuja kununua mazao kama Mahindi na Alizeti-Njaa ni kwa mtu binafsi na uzembe wake
 
By the way umepata wapi Vipimo vya mvua?? I mean source ya data zako?? Unaweza establish mavuno/family/year ili tuone upungufu wa chakula ni wa kiwango gani na kama unatosheleza??? Cuz kama huna taarifa hizi hutaaminika.
 
Sasa nadhani hukuelewa maana ya kijedwali kile cha vyakula. Simaanishi kulima chakula cha aina moja tu bali aina mbalimbali za vyakula. Kuna mazao makuu ya chakula nchini kama: ndizi, mpunga, mahindi, mihogo, viazi vitamu, viazi mviringo, viazi vikuu, ulezi, mtama, ngano, njegere, mbaazi, maharage, kunde na njugu mawe.
Sasa, niambie ni mazao mangapi yanayolimwa hapo Iramba halafu jitahidi kulinganisha na makabila mengine ambayo uliwahi kupata nafasi ya kutembelea. Linganisha na makabila mengine ya kati yasiyopata mvua ya kutosha hasa Wagogo, Wanyamwezi, Wasukuma, Wanyaturu, Waisanzu, Wagorowa, Warangi, Wasandawe, Wabulunge, Wadatooga na Wambulu, uone kama nimeionea Unyilamba halafu tusaidiane niweze kurekebisha penye makosa.
Ama linganisha ulimaji wa mazao hayo na makabila kama Wahaya, Waha, Wakurya, Wakerewe, Wachaga, Waluguru, Wasambaa na Wanyakyusa utaona utofauti kati ya kuivisha vyakula vya kutosha na vyakula vya aina nyingi vya kutosha.
 
By the way umepata wapi Vipimo vya mvua?? I mean source ya data zako?? Unaweza establish mavuno/family/year ili tuone upungufu wa chakula ni wa kiwango gani na kama unatosheleza??? Cuz kama huna taarifa hizi hutaaminika.
Vipimo vya mvua na joto nimevitoa kwenye mtandao wa en.climates-data.org. So naweza kuestablish makadirio kwa kila kabila but inahitaji uchambuzi ambao kwa malengo ya bandiko hili sitaweza kwani ni kazi ngumu.
Aidha, mabadiliko ya tabia nchi, yamesababisha reliability ya utabiri wa uzalishaji umekuwa mgumu kutokana mvua zisizotabirika ndugu.
Mfano: kila jamii ina tarehe zake za kiasili ambazo mvua imekuwa piga ua lazima inyeshe but nowadays kitu hicho hakiwezekani kabisa ama mvua zinaweza kuwa nyingi ama chache sana tofauti na kawaida.
Mnaelewa data za hali ya hewa, kijiografia ni tukio la assessment ya wastani wa miaka 30, hivyo siyo kitu kidogo.
Hivyo mvua za sasa, hazifuati sana uhamaji wa kanda za mvua - Inter Tropical Convergence Zone (ITCZ) kama zamani.
 
IMG_0368.JPG

IMG_2734.JPG

IMG_2592.JPG

Vyakula vyenye lishe ni chanzo cha kujenga na kukua kwa akili kuanzia kutungwa kwa mimba hadi utu uzima.
 
IMG_2198.GIF

IMG_0507.PNG

Athari za malaria katika nchi za tropiki ni kubwa sana kwani maeneo ambako yana mwinuko wa chini ya mita 1000, yana hali ya hewa ya joto linalofaa kwa mazalia ya mbu, hivyo maeneo hayo ni endemic kwa jamii hizo.
 
Wazanzibar toa hapo.

Watu wamekuta minazi na karafuu iliyopandwa na waarabu hata kupalilia hawapalilii kisha unawaita wazalishaji?

Au siku hizi kutengeneza urojo nao ni uzalishaji vyakula?
 
Inakuwaje mbona Wachagga mnapenda kuwa A A sana na kila kitu kizuri wanakuwa wa kwanza kwanza?? Kuna nini uchaggani??
Kuna Mungu wa kweli kule.

Hakuna ushirikina wa asili kama wa waswahili, kwahiyo hawakuilaani ardhi yao.

Hata matambiko yaliyokuwepo wanayaacha pia halafu YEHOVA anasimama upande wao.
 
Wapimbwe ni nayo taarifa yao, tatizo nilitaka taarifa zote ziishie kwenye karatasi moja tu. Karatasi ya kwanza niliweka makabila 90 ikawa haionekani vizuri, hivyo nikaamua kupunguza baadhi ya makabila hasa madogo madogo. So kwa ajili yako nikitoka ofisini nitakupostia uone ilivyo na mazingira.
Of course ukiacha Wapimbwe, makabila mengine niliyoandaa taarifa yake lakini nikashindwa kuzi-feed zote ni:
Wawungu (wabungu), Wabende, Waalagwa, Wambugu, Wambugwe, Waikoma, Wadoe, Wasegeju, Wapemba, Watumbatu na Wahadimu.
Duh karibu makabila yote yaliyopo kwenye comment hii sijawahi kuyasikia kabisaa.
 
Wazanzibar toa hapo.

Watu wamekuta minazi na karafuu iliyopandwa na waarabu hata kupalilia hawapalilii kisha unawaita wazalishaji?

Au siku hizi kutengeneza urojo nao ni uzalishaji vyakula?
Uzalishaji ninaoongelea siyo mtu kufanya kazi kwa bidii katika uzalishaji bali namna hali ya hewa na udongo wake pamoja na mazingira ya ufugaji na uvuvi, ndivyo vigezo vinavyoangaliwa. Unaweza ukawa na maliasili kibao umeilalia hiyo siyo issue bali wanapata vyakula cha kutosha ama hawapati. Achana na Wazanzibar wa kizazi cha sasa, kumbuka Wapemba, Watumbatu na Wahadimu, wamekuwepo huko visiwani tangu zamani kabla ya kuja kwa Waarabu. Kama wangekuwa hawazalishi chakula cha kutosha, isingewezekana kwa wao kuwa na msongamano mkubwa wa watu kuliko maeneo yote nchini Tanzania, ukitoa tu miteremko ya Mlima Kilimanjaro na baadhi ya maeneo madogomadogo machache sana nchini kama Kamachumu, Bukoba, Rungwe, Arumeru, Usambara na Uluguru.
Tukubali tu ndugu kuwa wana neema kubwa na eneo lao Ndiyo maana lolote za hata kumshawishi Seychelles Said kukimbia Jangwa la Uarabuni (Oman) mwaka 1840.
Kama ni uvivu kuna Kabila gani la ukanda wa Pwani lisilolaumiwa kwa uvivu, angalia Mkoa wa Pwani hasa ukanda wa Mkuranga, Maneromango, Kibiti hadi Ikwiriri yanavyovutia wakulima wa Bara kutokana na rutuba yake. So, uvivu siyo issue la muhimu ni kuwa wana eneo bora kiuzalishaji.
 
Unguja nimeweka makundi yake ya Watumbatu na Wahadimu kwa pamoja na Wapemba ndani ya Wazanzibar.
Hiyo yote imetokana na cha he wa nafasi.
Samahani Mkuu..!!

Hizi takwimu zako zinaonekana zina ukweli ndani yake

Unaweza kuniambia umezipika kwa njia zipi...????
 
Ndugu nimeweka vyanzo vikundi vya taarifa hapo chini. Nilichofanya kama mchambuzi ni kuchambua hizo data katika perspective ya uzalishaji vyakula. Hebu angalia kwanza vyanzo vyangu vya taarifa ndiyo unihukumu.
But kwa kuwa, ninavifahamu vyote nilivyoviandika na na uelewa in and out, niko tayari kuvitetea vyote nilivyoandika hata kama ni pannel ya maprofesa, ikionekana kuna tatizo kwenye nilichoandika, pliz niko tayari kukifafanua.
Hii kazi mnayoiona siyo ya wiki moja wala mwaka mmoja, nimeifanya with patience and passion kwa miaka ipatayo kumi (10). Tangu niko UDSM, nilianza taratibu kukusanya details za baadhi ya masuala niliyokuwa tayari na idea nayo, mojawapo ni utofauti mkubwa wa makabila kielimu.
Ukiisoma taarifa hii with passion, for sure kina kitu kikubwa sana utakipata.
Samahani tena...!!

Unaweza nuambia kwanini Wachagga wamekuwa wa kwanza kwa mambo mengi mazuri ndani ya nchi hii...???

Alafu pia nimefuatilia takwimu zako nimeona ukanda wa kaskazini mwa Tanzania umetoa makabila zaidi ndani ya 10 bora..!!!nini hasa Kisababishi/Vishababishi vikuu...????
 
Kuna Mungu wa kweli kule.

Hakuna ushirikina wa asili kama wa waswahili, kwahiyo hawakuilaani ardhi yao.

Hata matambiko yaliyokuwepo wanayaacha pia halafu YEHOVA anasimama upande wao.
Acha kuingiza Imani za kishirikina ndugu, eneo hilo Lina mazingira bora ya uzalishaji wa vyakula vya karibia kila aina kuliko eneo lolote lile duniani hali iliyopelekea vizazi vilivyokulia eneo hilo kuneemeka na kurithishana genes bora kwa muda mrefu. Sifa ya mitelemko ya Kilimanjaro ni:
  • Ndilo eneo lenye rutuba (volcanic) bora kuliko yote barani Afrika na probably duniani.
  • Ndilo lenye msongamano mkubwa wa watu kuliko maeneo yote ya vijijini barani Afrika, ukitoa Nile Delta.
  • Eneo linapata mvua za uhakika za aina mbili "bi-modal" ambayo ni vuli na masika.
  • Ndilo lenye tofauti kubwa ya hali ya hewa (kuwepo kwa barafu hadi joto kali; na pia uwepo wa mvua nyingi hadi chache sana) katika umbali mdogo kuliko eneo lolote duniani (labda miteremko ya Himalaya pekee nchini Nepal). Hivyo wanaivisha kuanzia mazao ya baridi kali ikiwemo ngano hadi ya joto jingi ikiwemo mkonge.
  • Hakuna malaria.
  • Hakuna mbung'o wanaoeneza malale
  • Lina msongamano mkubwa wa ng'ombe hapa nchini.
  • Wachaga ni mchanganyiko wa Wabantu, Wahamites na Wanilotes. Mfano Wilaya ya Rombo iko dominated na koo zenye asili ya Wakamba ambao ni Hamitic lakini eneo la Marangu hadi Kibosho ni mostly Wabantu na la Machame hadi Siha ni Wanilotes.
Wachaga, pamoja na Wahaya na Wanyakyusa, ni makabila makubwa nchini kwetu yenye mazingira bora kabisa ya uzalishaji wa vyakula vya aina mbalimbali katika Bara zima la Afrika na duniani kwa ujumla, yakiwa katika rank ya kwanza at par with the Kikuyu, Luo, Luhya, Gusii, Baganda, Banyankore, Rwanda, Rundi and the Igbo.
 
Nani kakuuuliza hayo yooote?

Unaweza kunionesha Imani ya kishirikina niliyoleta hapo?
 
Samahani Mkuu..!!

Hizi takwimu zako zinaonekana zina ukweli ndani yake

Unaweza kuniambia umezipika kwa njia zipi...????
Mzee naomba uamini kuwa, nimefanya kazi ya ziada kufikia hapo. Mimi siyo mwendawazimu kujitungia vitu nisivyo na uhakika navyo hadi kuviweka mitandaoni ambako kuna vichwa vingi humu JF vyenye kupambanua mambo.
Hata hivyo, nimetumia muda mwingi sana kufikia hatua ya kuamua kutoa gredi kuanzia A-D kwa kila kipengele na kila kabila. Nimekuwa nikisoma sana Atlas tangu nikiwa Primary na until nowadays, nimekuwa nikipossess atlas tisa za aina mbalimbali.
Hata hivyo, idea hii ya kuandaa data nimekuwa nayo tangu zamani kwa kuwa nilikuwa najua kuna kitu kikubwa sana ambacho hatufundishwi shuleni lakini ndicho kinasababisha baadhi ya jamii kuwa na uwezekano mkubwa wa watu wao kuendelea sana academically. Tangu nikiwa Kidato cha III, nilikuwa naipinga idea kwamba maeneo yaliyoendelea kielimu, yamesababishwa na uwekezaji wa wakoloni. Hii ni kwa sababu mimi shule ya sekondari niliyosoma ndiyo ilikuwa ya kwanza ya umma wilayani kuanzishwa mwaka 1993 na ya pili Wilaya nzima but kabila hilo limekuwa likitajwa kuwa na wasomi wengi wa level za PhD, so nilikuwa na hamu kujua chanzo hasa.
So nimeileta hii kwanza, nikiwa najiandaa kuongezea taarifa nyingine ambayo itakuwa more comprehensive.
So kujibu swali lako, nimetumia jiografia na historia kwa kiwango kikubwa, kabla ya hivi karibuni kusaidiwa sana na taarifa zinazopatikana kupitia: en.climates-data.org; pamoja na ramani za mapcarta.com
So nisaidie kunikosoa maeneo uliyoona udhaifu hasa kwenye Kabila lako kama nimepatia eneo la asili bora kwa uzalishaji mzuri wa vyakula na hence kuna wasomi wengi kwenye ukanda huo kulinganisha na maeneo mengine ya hilo kabila.
 
Nani kakuuuliza hayo yooote?

Unaweza kunionesha Imani ya kishirikina niliyoleta hapo?
Mbona umefika huko ndugu? nilimaanisha kuwa, usihusishe sana mambo ya kiimani kwani vitu hivyo viko practically ndugu kuwa, uwepo wa vizazi na vizazi eneo hilo kwa muda mrefu ndiyo kumepelekea hayo. Sikumaanisha in reality kuwa wewe unaendekeza ushirikina.
 
Back
Top Bottom