Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

Kwanza sijakuekewa maswali yako. Tulizana uulize moja moja.

Pili, Saudi Arabia unaitolea mfano upi na ni nchi changa sana? Hata Tanganyika ilikuwepo kabla ya Saudi Arabia.

Tatu. Kama unaongelea "kufika Saudi Arabia" , kwa kukujuza tu, nimefika mara nying

Linapokuja swala la hizi dini zenu, wote huwa mnalingana. Hata msomi unakuwa kama hukwenda hata chekechea.

Swala la uislamu kuletwa na waarabu nalo mpaka ulishupazie shingo?
Sina Cha kujifunza chochote kuhusu dini kutoka kw waarabu ama wazungu,wao ndio wanatakiwa kujifunza kutoka kwangu mm
 
Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
 
Wewe mambo ya Wazee yanakuhusu nini?

NATANIA BHANA!

Jibu lako ni - Nahisi waliabudia Mizimuu yao.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Waliabudu Mungu.
Waliamini Kuna nguvu inayofanya kila kitu kitokee.
Hivyo waliiomba kwa kila shida. Habari za mizimu ni za wakoloni na dini zao ili kuchafua Imani za kiafrica
 
Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati hizo walienda motoni kwa kuabudu miti, mizimu na wanyama. Je ipi ni dhambi machoni pa Mungu, kutokwenda kanisani na msikitini au kutenda mabaya!
Mibuyu,miamba na miti
 
Vitabu vingi vya historia ni Kitabu hicho au ni mahali kunakojulikana hilo jina ??
Tafuta vitabu vya sheikh Anta Diop ameeleza Mambo mengi humo,kingine stolen legacy,they came before Columbus, destruction of African civilization,nk
 
Kitabu kipi cha huyo Sheikh kimeeleza jina hilo ??

Stolen Legacy mbona hamna hilo jina ??Au wewe uliyesoma unaweza kuniwekea ni page ipi aliandika ??
 
Vitabu gani vya Diop ambavyo wewe umesoma
 
Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
Ukishindwa kuthamini vya kwenu ,utaishia kuwa mtumwa haswa,labda nikuulize hiv kabla ya hiz din unazozishabikia,hapa Afrika kulikuwa hakuna maadili?, waafrika walikuwa hawaabudu na kujibiwa?,na Kam walikuwa wakijibiwa wew wapata picha gan?,je kwa nin tusijerejee kwa yule dliyewajibu wazee wetu kupitia sacrifice zao?
 
Tumekusikia,

Kwanza jibu swali uliloulizwa

Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
 
Na Uislamu pamoja na Quran vinatambuwa na kukiri Yesu yupo mbinguni na Allah na Muhammad amezikwa Madina.

Uislamu unatambua kuwa Yesu alikuwa mtume kama ilivyoandika Biblia . Pia Yesu hakusulubiwa na wala hakufa kama ilivyoandika biblia
 
Tumekusikia,

Kwanza jibu swali uliloulizwa

Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
Unataka nitaje ukristo na uislam?,,hakika watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,na wew ndio hao wapoteao,,God is not a man Kam huyo mungu Wanyonyi,God is a supreme deity sisi Waafrika tuliamini hivyo na zaid that God is nature and everything is part of that nature,and so everything should be treated with respect
Tumekusikia,

Kwanza jibu swali uliloulizwa

Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wany

Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
Na wew unafuata din za kiarabu iliyoletwa na marehemu Mohamed na ile iliyoletwa na marehemu Tito anayeabudiwa xx hiv Kam Yesu?
 
Unataka nitaje ukristo na uislam?,,hakika watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,na wew ndio hao wapoteao,,God is not a man Kam huyo mungu Wanyonyi,God is a supreme deity sisi Waafrika tuliamini hivyo na zaid that God is nature and everything is part of that nature,and so everything should be treated with respect

Na wew unafuata din za kiarabu iliyoletwa na marehemu Mohamed na ile iliyoletwa na marehemu Tito anayeabudiwa xx hiv Kam Yesu?

Kitabu kipi hicho cha kiafrika kilichoandika God is not a man, au wewe uliishi toka enzi hizo unaelewa??
 
Back
Top Bottom