Developer_tz
Member
- May 16, 2023
- 91
- 140
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza sijakuekewa maswali yako. Tulizana uulize moja moja.
Pili, Saudi Arabia unaitolea mfano upi na ni nchi changa sana? Hata Tanganyika ilikuwepo kabla ya Saudi Arabia.
Tatu. Kama unaongelea "kufika Saudi Arabia" , kwa kukujuza tu, nimefika mara nying
Sina Cha kujifunza chochote kuhusu dini kutoka kw waarabu ama wazungu,wao ndio wanatakiwa kujifunza kutoka kwangu mmLinapokuja swala la hizi dini zenu, wote huwa mnalingana. Hata msomi unakuwa kama hukwenda hata chekechea.
Swala la uislamu kuletwa na waarabu nalo mpaka ulishupazie shingo?
Unaamini kuna Mwenyezi Mungu au huamini?Sina Cha kujifunza chochote kuhusu dini kutoka kw waarabu ama wazungu,wao ndio wanatakiwa kujifunza kutoka kwangu mm
Ndio,lakn unajua MUNGU n nin kwanza?Unaamini kuna Mwenyezi Mungu au huamini?
Linaeleweka wapi Manzese uwanja wa Fisi au gongo la Mboto au mburahati ?Hilo linaeleweka maeneo mengi sio kitabu kimoja Tu wala kitabuni tu
Vitabu vingi vya historia ya AfricaLinaeleweka wapi Manzese uwanja wa Fisi au gongo la Mboto au mburahati
Vitabu vingi vya historia ya Africa
Sina Cha kujifunza chochote kuhusu dini kutoka kw waarabu ama wazungu,wao ndio wanatakiwa kujifunza kutoka kwangu mm
Waliabudu Mungu.Wewe mambo ya Wazee yanakuhusu nini?
NATANIA BHANA!
Jibu lako ni - Nahisi waliabudia Mizimuu yao.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mibuyu,miamba na mitiHuwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati hizo walienda motoni kwa kuabudu miti, mizimu na wanyama. Je ipi ni dhambi machoni pa Mungu, kutokwenda kanisani na msikitini au kutenda mabaya!
Tafuta vitabu vya sheikh Anta Diop ameeleza Mambo mengi humo,kingine stolen legacy,they came before Columbus, destruction of African civilization,nkVitabu vingi vya historia ni Kitabu hicho au ni mahali kunakojulikana hilo jina ??
Tafuta vitabu vya sheikh Anta Diop ameeleza Mambo mengi humo,kingine stolen legacy,they came before Columbus, destruction of African civilization,nk
Vitabu gani vya Diop ambavyo wewe umesomaKitabu kipi cha huyo Sheikh kimeeleza jina hilo ??
Stolen Legacy mbona hamna hilo jina ??Au wewe uliyesoma unaweza kuniwekea ni page ipi aliandika ??
Mbona umekuwa mchoyo hautaki kunipa reference ya wewe uliyesoma hivyo vitabu?Vitabu gani vya Diop ambavyo wewe umesoma
Ukishindwa kuthamini vya kwenu ,utaishia kuwa mtumwa haswa,labda nikuulize hiv kabla ya hiz din unazozishabikia,hapa Afrika kulikuwa hakuna maadili?, waafrika walikuwa hawaabudu na kujibiwa?,na Kam walikuwa wakijibiwa wew wapata picha gan?,je kwa nin tusijerejee kwa yule dliyewajibu wazee wetu kupitia sacrifice zao?Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
Ukishindwa kuthamini vya kwenu ,utaishia kuwa mtumwa haswa,labda nikuulize hiv kabla ya hiz din unazozishabikia,hapa Afrika kulikuwa hakuna maadili?, waafrika walikuwa hawaabudu na kujibiwa?,na Kam walikuwa wakijibiwa wew wapata picha gan?,je kwa nin tusijerejee kwa yule dliyewajibu wazee wetu kupitia sacrifice zao?
Na Uislamu pamoja na Quran vinatambuwa na kukiri Yesu yupo mbinguni na Allah na Muhammad amezikwa Madina.
Unataka nitaje ukristo na uislam?,,hakika watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,na wew ndio hao wapoteao,,God is not a man Kam huyo mungu Wanyonyi,God is a supreme deity sisi Waafrika tuliamini hivyo na zaid that God is nature and everything is part of that nature,and so everything should be treated with respectTumekusikia,
Kwanza jibu swali uliloulizwa
Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
Tumekusikia,
Kwanza jibu swali uliloulizwa
Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wany
Na wew unafuata din za kiarabu iliyoletwa na marehemu Mohamed na ile iliyoletwa na marehemu Tito anayeabudiwa xx hiv Kam Yesu?Wewe unafuata dini za kiafrika zilizoletwa na Marehemu mungu wanyonyi ??
Unataka nitaje ukristo na uislam?,,hakika watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa,na wew ndio hao wapoteao,,God is not a man Kam huyo mungu Wanyonyi,God is a supreme deity sisi Waafrika tuliamini hivyo na zaid that God is nature and everything is part of that nature,and so everything should be treated with respect
Na wew unafuata din za kiarabu iliyoletwa na marehemu Mohamed na ile iliyoletwa na marehemu Tito anayeabudiwa xx hiv Kam Yesu?