Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Mwenge ni kichocheo. Hata wale watoto wa geti kali siku za mkesha wa mwenge huruhusiwa kwenda kukeshaAchana na hoja za kitoto hizi kuhusu mwenge haya mambo kwenye jamii yetu yanafanyika Kila siku siyo kwenye mwenge tu so tusisizane katika malezi
Aisee sijui upo Dunia ya wapiMwenge ni kichocheo. Hata wale watoto wa geti kali siku za mkesha wa mwenge huruhusiwa kwenda kukesha
Kwa uchache tu,Taja faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar
JIBU SWALI1:chama cha mapinduzi (CCM)tan ni chama cha ukombozi ndio muunganiko wa TANU kwa tanganyika na ASP kwa zanzibar
Tatizo lako unaamini neno mapinduzi ni lazima utumie bakola tu.Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe,
1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani?
2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano?
3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
Kwenye fikra, ni mapinduzi gani yamefanywa na CCM?Tatizo lako unaamini neno mapinduzi ni lazima utumie bakola tu.
Neno mapinduzi linaweza likawa hata kifkra.
Kama wewe ulivyopinduliwa kutoka katika fikra za kijinga na mpaka kuwa mtu huru na muungwana
Utaambiwa CCM wamefanya mapinduzi ya elimu, elimu yenyewe sasa!!!!Nazani= nadhani
Kiswahili bado ni shida eeh?
Bila muungano vyote hivi vingewezekana na maisha yangekuwa bora zaidi kwa pande zote mbiliKwa uchache tu,
Muungano unatoa fursa za kiuchumi kwa Tanganyika na Zanzibar
1.kupanua masoko za bidhaa zake na huduma.
2. kuimarisha sekta za uzalishaji.
3. kuongeza ajira.
4.kuimarisha miundombinu na hivyo kujijenga kiushindani.
ASP walilazimisha ili kuua chama chao na kuungana na TANU na kuunda chama kipya,neno mapinduzi sharti liwemo kwenye hicho chama kipya1:chama cha mapinduzi (CCM)tan ni chama cha ukombozi ndio muunganiko wa TANU kwa tanganyika na ASP kwa zanzibar
2:Tanganyika tunanufaika zaidi na muungano kiusaalma zaidi na nadhan ndolilikua lengo kuu la muasisi wa uo muungano kwa upande huu wa bara ukitoa madhumuni mengine
3:Mwenge =uhuru(9 december ) ,ni mojawapo ya vitu vinavopatikana kwenye nembo ya taifa hili ukitaka tuutoe mwenge maana yake tutoe na vitu vingine kwenye nembo ya taifa letu tukufu la TANZANIA
Alama zingine ni PEMBE ZA NDOVU,MWANAMKE NA MWANAUME,RANGI NYEUPE NA BULUU,RANGI NYEKUNDU,NGAO, ,MAJEMBE MAWILI pamoja na MKUKI.
Kwanini mwenge usikae tu makumbusho hadi umalize hela?Na swali la kwanza hata mimi sijaelewa jibu lako1: chama cha mapinduzi (CCM)tan ni chama cha ukombozi ndio muunganiko wa TANU kwa tanganyika na ASP kwa zanzibar
2:Tanganyika tunanufaika zaidi na muungano kiusaalma zaidi na nadhan ndolilikua lengo kuu la muasisi wa uo muungano kwa upande huu wa bara ukitoa madhumuni mengine
3: Mwenge =uhuru(9 december ) ,ni mojawapo ya vitu vinavopatikana kwenye nembo ya taifa hili ukitaka tuutoe mwenge maana yake tutoe na vitu vingine kwenye nembo ya taifa letu tukufu la TANZANIA
Alama zingine ni PEMBE ZA NDOVU,MWANAMKE NA MWANAUME,RANGI NYEUPE NA BULUU,RANGI NYEKUNDU,NGAO, ,MAJEMBE MAWILI pamoja na MKUKI.
Aliye nyuma ya moto wa mwenge AMEUWAWA.Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe,
1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani?
2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano?
3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
AminaAliye nyuma ya moto wa mwenge AMEUWAWA.
Tegemea mwenge kuzimika muda wowote kuanzia 2023.....
Uchawi huo ndo uliwafunga wananchi wengi ktk vifungo vya Giza.
Kila kitu kitabadilika. Aamen
Tuna tabia moja ambayo kiukweli ni mbaya sana na tabia yenyewe ni kutaka kuamini kwa kuona kwamba Jambo fulani ni baya au Jambo fulani ni zuri. Tusiwe matomaso.Bila muungano vyote hivi vingewezekana na maisha yangekuwa bora zaidi kwa pande zote mbili
Unataka tuwe brain washed kama wewe?Tuna tabia moja ambayo kiukweli ni mbaya sana na tabia yenyewe ni kutaka kuamini kwa kuona kwamba Jambo fulani ni baya au Jambo fulani ni zuri. Tusiwe matomaso.
Hatutakiwi kubeza juhudi na jitihada za waasisi wetu kutuunganisha kwa kuwa tunaona tu kwa kipindi hiki hakuna faida lakini kipindi Jambo hili linafanywa faida zilikuwepo na mpaka leo zipo. Waasisi wetu hawakukaa chini kufanya Jambo lisilo na umuhimu.
Kuchamba kwingi huondoka na mavi
Pengine ukikaa chini na wazee watakueleza mambo muhimu na kukubadili mtazamo hasi ulionao. Mimi sipo brain washed ila natambua na ninaelewa muungano una faida nyingi kutoka kuasisiwa kwake mpaka sasa.Unataka tuwe brain washed kama wewe?
Ni hasara gani wanayoipata Kenya kwa kuukosa aina ya muungano kama tulionao?Pengine ukikaa chini na wazee watakueleza mambo muhimu na kukubadili mtazamo hasi ulionao. Mimi sipo brain washed ila natambua na ninaelewa muungano una faida nyingi kutoka kuasisiwa kwake mpaka sasa.
Ukisoma dondoo zilizofupishwa na watu wasiofahamu kufupisha, inaonekana somo la Uraia limefutwa, lakini ukisoma mapendekezo ya sera ya elimu utaona somo la Uraia limehamishiwa katika somo jipya la Historia ya Tanzania na MaadiliKwani kuna mkakati wa kufuta somo la Uraia ?
Ni hasara zipi watakazopata Uingereza kwa kujiondoa UK?Ni hasara gani wanayoipata Kenya kwa kuukosa aina ya muungano kama tulionao?
Daaah! Waliokuajiri wajitafakari upya, nadhani wanaweza kupata mtu smart zaidi yako.Kwa uchache tu,
Muungano unatoa fursa za kiuchumi kwa Tanganyika na Zanzibar
1.kupanua masoko za bidhaa zake na huduma.
2. kuimarisha sekta za uzalishaji.
3. kuongeza ajira.
4.kuimarisha miundombinu na hivyo kujijenga kiushindani.