Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Wakanaji lazima wawe na Lao moja kwa kuwa hawana cha kupoteza na wala shetani hana haja na wao kwa kuwa tayari wapo kwenye himaya yake.
Tayari wale ni mateka wa Shetani,watakuwa hawana tatizo na mkuu wao,wakiamini kuwa wako huru kifikra na kiroho,huku wakiona na kuamini kabisa wanaomtafuta MUNGU ni wehu hawana akili.
Kwa kifupi wao hawana cha kupoteza.
Shetani kazi yake kubwa ni kupotosha wale wanaohangaika kumtafuta Mola wao.
Ndio maana katika wanaomtafuta analeta mafarakano mengi.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Wakristo hatuna mafundisho ya Nabii Issa,mnaambiwa kila siku huyo Issa mnamjua nyinyi sijui katokea wapi.

Wakristo wanafata mafundisho ya Yesu kristu tu.

Na Yesu kristu alikuwa na wanafunzi wake 12 tu si zaidi,na hao kati yao 1 ndio alimsaliti ni Yuda Eskarioti na alijua kuwa atasalitiwa na Yuda ila alimwacha ili Unabii na mpango wa Mungu kuwakomboa wanadamu utimie.

Soma hizi itakusaidia.

Marko 16:15-16

Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Matayo 28:19-20

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
1. Utatu mtakatifu, hajafundisha mafundisho haya Yesu.

2. Kwani Wakristo mnamkubali mtime Nabii ? Mbona unauliza swali la kitoto sana na kupotezeana muda ?

Matayo 28:19-20

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Marko alipata wapi haya maandiko na Matayo kadhalika ? Muyahakiki maandiko yenu kwanza ndiyo muanzishe mijadala kama hiim
 
Watu wameshindwa hata kukubaliana sikukuu ni lini.

Kuna Wakristo wanasheherekea Christmas December 25, wengine January 7.

Idi ndiyo hiyo tumeona.

Mungu hawezi kujionesha wazi yupo watu wamjue.

Kwa sababu hayupo, habari za kuwepo kwake imetungwa na watu tu.
 
Ndio wanatofautiana na point yangu hata wao hutofautiana.
Utofauti unaofanya watofautiane ni kwasababu ni category mbili tofauti

Sio sawa na muislam vs mkristo kwakua wako kwenye category moja ya theism
 
Utofauti unaofanya watofautiane ni kwasababu ni category mbili tofauti

Sio sawa na muislam vs mkristo kwakua wako kwenye category moja ya theism
Ok tumekubaliana kwamba wote hawaamini Mungu, sasa hebu niambie hiyo tofauti unayoikusudia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…