Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sasa mbona ulisema ni vitu viwili tofauti?Yanayoelezea dhana ya mungu/miungu na imani kiujumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona ulisema ni vitu viwili tofauti?Yanayoelezea dhana ya mungu/miungu na imani kiujumla
Agnosticism, Deism, Theism, Atheism nkSasa mbona ulisema ni vitu viwili tofauti?
I told them already allah is dead on the cross of Jesus Christ 2000 years ago.Allah Ndiyo Kitu Gani Hicho?
Wakanaji lazima wawe na Lao moja kwa kuwa hawana cha kupoteza na wala shetani hana haja na wao kwa kuwa tayari wapo kwenye himaya yake.Soma comment za juu hapo wakristo na waislamu kila mtu ANAVUTIA KWAKE.
Sisi Waamini Mungu na wao Wakanaji nani ana matatizo ya akili?
Wakanaji wotee wanasauti moja "Mungu Hayupo" mbona sisi Waamini "Kila mtu ana lake?" Huoni sisi ndio wenye matatizo?
#YNWA
Na hutokaa ujue ukileta ujuaji.Sijui ni kitu gani.
Wakristo hatuna mafundisho ya Nabii Issa,mnaambiwa kila siku huyo Issa mnamjua nyinyi sijui katokea wapi.Kuwa na sauti moja ni ujinga ulio pea hasa katika suala hilo.
Sasa utakuwaje na akili timamu muda wa kuwa unaye mkana humjui tena kwa masikitiko makubwa huna ushahidi wa kuthibitisha kutokuwepo kwake.
Ukitaka kujua wakana mungu wote wana matatizo ya akili, angali hoja zao wanazo tumia kusema mungu hayupo. Wengine wanatumia Falsafa na Logic. Sasa unajiuliza lini viwili hivi vilitumika kuujua ukweli ? Walishindwa kina Aristoto, kina Socrate, kina Plato na wengine vipi wao waweze ?
Mwingi anakwambia Mungu hayupo kwa sababu hayupo. Huu ujinga mwingine.
Wanao amini Mungu ubishani unakuja kwa sababu ya watu kupindisha maandiko sahihi ya mitume. Tena uzuri wote wanafanana. Mayahudi walipotosha mafundisho ya Musa,kisha waka mkana Yesu, Wakristo wakapotosha mafundisho ya nabii Issa (Yesu) kisha waka mkana mtume Muhammad, ukiangalia huu mtiririko unafanana kwa watu waovu.
Shukrani.
1. Utatu mtakatifu, hajafundisha mafundisho haya Yesu.
2. Kwani Wakristo mnamkubali mtime Nabii ? Mbona unauliza swali la kitoto sana na kupotezeana muda ?
Huna hoja, ngoja nikupuuze kwa mtindo huu.allah is dead already,I always tell you this.
Upumbavu utaacha lini.
Acha kuambatana na ujinga sheikh.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hamna hoja ya kutetea uovu wa maandiko yenu.Na hutokaa ujue ukileta ujuaji.
Pambana utoke huko uokolewe.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Marko alipata wapi haya maandiko na Matayo kadhalika ? Muyahakiki maandiko yenu kwanza ndiyo muanzishe mijadala kama hiimWakristo hatuna mafundisho ya Nabii Issa,mnaambiwa kila siku huyo Issa mnamjua nyinyi sijui katokea wapi.
Wakristo wanafata mafundisho ya Yesu kristu tu.
Na Yesu kristu alikuwa na wanafunzi wake 12 tu si zaidi,na hao kati yao 1 ndio alimsaliti ni Yuda Eskarioti na alijua kuwa atasalitiwa na Yuda ila alimwacha ili Unabii na mpango wa Mungu kuwakomboa wanadamu utimie.
Soma hizi itakusaidia.
Marko 16:15-16
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Matayo 28:19-20
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Uovu upo kwenye qurani ndg na nyie mnajua hayo,,ebu nikuulize hivi Muhammad ni mtume au nabii?Hamna hoja ya kutetea uovu wa maandiko yenu.
Muhammad ni mtume na ni nabii. Kila mtume ni nabii lakini si kils nabii ni mtume.Uovu upo kwenye qurani ndg na nyie mnajua hayo,,ebu nikuulize hivi Muhammad ni mtume au nabii?
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Watu wameshindwa hata kukubaliana sikukuu ni lini.Scenario
Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri".
Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?"
Flash back
Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao.
Lakini pia nimekuwa nikisoma juu ya wanaoamini Mungu yupo wakitoa madini yao pia.
The Problem
Ila mi binafsi nahisi Kuna tatizo kwa "Sisi Waamini Mungu"
We fungua Uzi wowote kwa wasioamini Mungu, utaona kila mwamini Mungu yupo anatoa ushahidi wake ambao ni tofauti na ushahidi wa mwengine.
Hebu soma ushahidi wa wakristo juu ya Mungu yupo?
Then soma ushahidi wa Waislamu juu ya Mungu yupo?
Utaona japo wote wanaoamini Mungu yupo ila kila side ina views zake na comments zake ambazo sometimes zinatofautiana kabisa yaani ZINAPINGANA.
We Waambie watoe view juu ya Mungu yupo kupitia Maandiko yaliyomtaja Yesu na Mtume Mohammed S.A.W utaona wako tofauti na kama hata wao ""Wanakinzana na kugombana kimawazo""
Sasa najiulizaga "Ikiwa kama sisi Tunaoamini Mungu yupo" tunazinguana..!! Tutawezaje kumuaminisha huyu ambae haamini Mungu yupo Akaamini?
The Paradox
Nina rafiki zangu wawili John (Mlokole - namwitaga baba Mchungaji) na Khadija (Sunni - huyu namwitaga ustadhati mzuri..!!!)
Hawa watu wawili kama wewe ukitaka kupata ""Confusion kichwani mwako"" we waulize swali kama ""ikiwa Imani ndio msingi mkuu wa kufata mafundisho ya Mungu ili twende peponi basi Motoni anaenda wa Imani gani?""
Atakachokujibu baba Mchungaji ni tofauti kabisaa na ustadhati wangu mzuri..!!!
What is Behind?
Sasa huwa najiuliza
1. Mungu hajui huu mkanganyiko alionao Khadija na John juu yake?
2. Huyu Mungu atawachoma wakina Khadija au wakina John kwasababu kati yao mmoja anatumia njia isiyofaa kumfata yeye (Haya ndio mawazo ya John na Khadija, huyu shika Biblia huyu shika Quran)...??
3. Huwa najiulizaga ""Kwanini Mungu asitoe tu one statement ili kutoa one truth true..!!""
Maana ukitaka kujua juu ya Habari za Mungu na Pepo, na Jehanamu basi John atakufundisha hivi na Khadija vile...!!!! Yaani tofauti Tena kwa kupingana kabisaaa.
Kwanini Mungu asiseme yeye mwenyewe "Kundi hili ndio lipo sahihi na nyie wotee nifateni kwa staili ya kundi hili"
Conclusion
Kama sisi " Waamini Mungu yupo" tumeshindwa kuelewana na wenyewe kuwa Mungu ni wa upande gani, Je kuwaaminisha ""Wasioamini Mungu yupo"" ya kwamba ""Mungu anataka Mafundisho ya kina John au Khadija"" Tutaweza kweli??
Mi nafikiria sisi Tunaoamini Mungu tukae kikao..!!! tuelewane kwanza then ndio tuwafate wasio amini Mungu ndio ""TUWAPE HABARI ZA MUNGU""
#YNWA
Nimezungumzia wasioamini Mungu.Agnosticism, Deism, Theism, Atheism nk
Hayo yote ni makundi yanayotofuatiana
Kutoka kundi gani?Nimezungumzia wasioamini Mungu.
Makundi yote yasioamini Mungu.Kutoka kundi gani?
Ambayo yanatofautianaMakundi yote yasioamini Mungu.
Ndio wanatofautiana na point yangu hata wao hutofautiana.Ambayo yanatofautiana
Utofauti unaofanya watofautiane ni kwasababu ni category mbili tofautiNdio wanatofautiana na point yangu hata wao hutofautiana.
Ok tumekubaliana kwamba wote hawaamini Mungu, sasa hebu niambie hiyo tofauti unayoikusudia?Utofauti unaofanya watofautiane ni kwasababu ni category mbili tofauti
Sio sawa na muislam vs mkristo kwakua wako kwenye category moja ya theism