ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kawatishe wenzako huko mnapotishana, mna matatizo kibao huko , malizani ndio mje kwetu watu wa kimilaOngezea na hiyo hapo Ezekieli 24:14 uiosome pamoja na hiyo Yohana 14:6. Uwe ni wa kimila
au vyovyote vile utakavyo, maadamu umeumbwa hujajiumba na huna uwezo wa kujiumba.... Ukishajua kuna Mungu, na Mungu huyo kayaweka/kayapanda maadili mema moyoni mwako tangu kuzaliwa kwako basi na ijulikane kwamba tayari dhambi ina kuhusu. So kinachofuata hapo ni kutakiwa kujinyenyekeza kwa huyo Mungu wa Mbinguni ili Neema yake isikupitie pembeni.