Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Agnostic na Atheism ni kitu kimoja?Nilisema ni Agnostic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agnostic na Atheism ni kitu kimoja?Nilisema ni Agnostic.
Hivi tunaelewana kweli?Agnostic na Atheism ni kitu kimoja?
Tukufu ni kilichopewa heshima kubwa. Chenye ukuu.Mkuu ningependa unifahamishe tofauti ya takatifu na tukufu.
Kwa lengo la kujifunza tu hii lugha ya kiswahili.
Unachanganya mambo mawili ambayo hayana uhusianoHivi tunaelewana kweli?
Nimekwambia hao wote hawaamini Mungu/miungu ila wanatofautiana ndio na ndio point yangu kwamba hata wasioamini Mungu pia hutofautiana.
Kwa nijuavyo agnostic sio atheist. Ila ni watu ambao wapo katikati yaani hawana uhakika kama Mungu yupo au hayupo.Unachanganya mambo mawili ambayo hayana uhusiano
Hakuna utofauti kati ya atheist na atheist kama ambavyo tunaweza kuona kati ya theist na theist wakipingana
Ila kuna utofauti kati ya atheist na makundi mengine kama theism, agnosticism, Deism nk.
Muislamu ni theism, mkristo naye ni theism, hawa watu wapo kunfi moja lakini bado wanatofautiana.
Lakini pia sio hiyo tu hata muislam kwa muislam bado pia wanapingana wenyewe kwa wenyewe na humu tunaona namna wanavyo bishana licha ya wote kuwa category moja (theism)
Sasa lini uliona atheist kwa atheist wakipingana kama nyinyi mnavyofanya?
Usinambie agnosticism kwasababu hilo ni kundi lingine halihusiani kabisa na atheism, kumbuka hapa tunatafuta hoja ya watu kupingana wao kwa wao
Twende hivi.Unachanganya mambo mawili ambayo hayana uhusiano

Waislamu wanaabudu Mungu au Miungu?Twende hivi.
Theists ni wenye kuamini Mungu au miungu, sasa mpaka hapo unaanzaje kutaka kuona hao watu kutokupingana? Sasa tatizo ni wao kupingana au kuwekwa kundi moja hali ya kuwa wanapingana?
Mimi nimewaweka kundi moja Agnostics na atheists kwa hoja ya kwamba wote hawaamini Mungu/miungu ila wewe unasema hayo ni makundi tofauti kutokana na tofauti zao ila kule kwa wenye kuamini Mungu na wenye kuamini miungu wamewekwa kundi moja halafu unashangaa kupingana.
Tutakuja huko kwa waislamu, tumalize hapa kwanza kwa theists kupingana.Waislamu wanaabudu Mungu au Miungu?
kwani waislamu sio theists?Tutakuja huko kwa waislamu, tumalize hapa kwanza kwa theists kupingana.
Waislamu wanaabudu Mungu mmoja.
Kutofautiana ni kawaida kwa binaadamu maana hutofautiana uelewa.kwani waislamu sio theists?
Kama wanaabudu Mungu mmoja kwanini wanatofautiana kwa kupingana wao kwa wao?
Ndo maana mtoa mada kashauri ni bora mfike muafaka kwa kumaliza tofauti zenu kisha ndio mje kuanza mijadala na atheistsKutofautiana ni kawaida kwa binaadamu maana hutofautiana uelewa.
Nimekwambia binaadamu hutofautiana uelewa hivyo kupingana si jambo la ajabu, ndio maana pia wapo wenye mtazamo wenye kudai hakuna Mungu na wengine wanaona hakuna uwezekano wa kuweza kujua kuwepo au kutokuwepo kwa huyo Mungu.Ndo maana mtoa mada kashauri ni bora mfike muafaka kwa kumaliza tofauti zenu kisha ndio mje kuanza mijadala na atheists
Hoja zako naona ni rahisi kujibika kwa akili ndogo za kibinaadamu.Scenario
Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri".
Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?"
Flash back
Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao.
Lakini pia nimekuwa nikisoma juu ya wanaoamini Mungu yupo wakitoa madini yao pia.
The Problem
Ila mi binafsi nahisi Kuna tatizo kwa "Sisi Waamini Mungu"
We fungua Uzi wowote kwa wasioamini Mungu, utaona kila mwamini Mungu yupo anatoa ushahidi wake ambao ni tofauti na ushahidi wa mwengine.
Hebu soma ushahidi wa wakristo juu ya Mungu yupo?
Then soma ushahidi wa Waislamu juu ya Mungu yupo?
Utaona japo wote wanaoamini Mungu yupo ila kila side ina views zake na comments zake ambazo sometimes zinatofautiana kabisa yaani ZINAPINGANA.
We Waambie watoe view juu ya Mungu yupo kupitia Maandiko yaliyomtaja Yesu na Mtume Mohammed S.A.W utaona wako tofauti na kama hata wao ""Wanakinzana na kugombana kimawazo""
Sasa najiulizaga "Ikiwa kama sisi Tunaoamini Mungu yupo" tunazinguana..!! Tutawezaje kumuaminisha huyu ambae haamini Mungu yupo Akaamini?
The Paradox
Nina rafiki zangu wawili John (Mlokole - namwitaga baba Mchungaji) na Khadija (Sunni - huyu namwitaga ustadhati mzuri..!!!)
Hawa watu wawili kama wewe ukitaka kupata ""Confusion kichwani mwako"" we waulize swali kama ""ikiwa Imani ndio msingi mkuu wa kufata mafundisho ya Mungu ili twende peponi basi Motoni anaenda wa Imani gani?""
Atakachokujibu baba Mchungaji ni tofauti kabisaa na ustadhati wangu mzuri..!!!
What is Behind?
Sasa huwa najiuliza
1. Mungu hajui huu mkanganyiko alionao Khadija na John juu yake?
2. Huyu Mungu atawachoma wakina Khadija au wakina John kwasababu kati yao mmoja anatumia njia isiyofaa kumfata yeye (Haya ndio mawazo ya John na Khadija, huyu shika Biblia huyu shika Quran)...??
3. Huwa najiulizaga ""Kwanini Mungu asitoe tu one statement ili kutoa one truth true..!!""
Maana ukitaka kujua juu ya Habari za Mungu na Pepo, na Jehanamu basi John atakufundisha hivi na Khadija vile...!!!! Yaani tofauti Tena kwa kupingana kabisaaa.
Kwanini Mungu asiseme yeye mwenyewe "Kundi hili ndio lipo sahihi na nyie wotee nifateni kwa staili ya kundi hili"
Conclusion
Kama sisi " Waamini Mungu yupo" tumeshindwa kuelewana na wenyewe kuwa Mungu ni wa upande gani, Je kuwaaminisha ""Wasioamini Mungu yupo"" ya kwamba ""Mungu anataka Mafundisho ya kina John au Khadija"" Tutaweza kweli??
Mi nafikiria sisi Tunaoamini Mungu tukae kikao..!!! tuelewane kwanza then ndio tuwafate wasio amini Mungu ndio ""TUWAPE HABARI ZA MUNGU""
#YNWA
Kwenye jambo lenye madai ya kuwa limeshushwa kutoka kwa Mungu halafu ukaona bado watu wanapingana hapo lazima mashaka yawepoNimekwambia binaadamu hutofautiana uelewa hivyo kupingana si jambo la ajabu, ndio maana pia wapo wenye mtazamo wenye kudai hakuna Mungu na wengine wanaona hakuna uwezekano wa kuweza kujua kuwepo au kutokuwepo kwa huyo Mungu.
Ukiangalia hoja za hao atheists kwanini hakuna Mungu? Utaona pia sababu tofauti tofauti.
Unataka kusema nini au unataka kuhitimisha nini?Kwenye jambo lenye madai ya kuwa limeshushwa kutoka kwa Mungu halafu ukaona bado watu wanapingana hapo lazima mashaka yawepo
Kwanini kitu kilichokuja kwa muongozo wa Mungu mwnye nguvu zisizomithirika bado kitu hicho kilete matabaka mwa kuwagawa watu?
Anyway nikweli watu tunatofautiana kwenye mambo mengi ila yapo mambo ambayo yametajwa kuwa ni extraordinary na yanajadiliwa kuwa ni ya kweli lakini hapo hapo unaona watu wa jamii hiyo wanapingana, inatia wasiwasi sana
.Tuelewane na tujadili kistaarabu. Au huelewi maana ya ustaarabu?
Kipi kilichokuchafua katika post yangu?
Mimi nimejitambulisha wazi wazi kuwa ni Muislam na nilichokiandika ni kwa mujibu wa imani yangu.
Katika niliyoyaandika jibu ni lipi unakuballiano nalo na lipi usilokubaliana nalo. Tatizo nini?
Hakuna dini ya kweli inayoelekeza kuwagawa watu, dini zote zinasisitiza udugu baina yetu. Tena zipo zinazoenda mbali zaidi hadi kwa wanyama dunia etcKwenye jambo lenye madai ya kuwa limeshushwa kutoka kwa Mungu halafu ukaona bado watu wanapingana hapo lazima mashaka yawepo
Kwanini kitu kilichokuja kwa muongozo wa Mungu mwnye nguvu zisizomithirika bado kitu hicho kilete matabaka mwa kuwagawa watu?
Anyway nikweli watu tunatofautiana kwenye mambo mengi ila yapo mambo ambayo yametajwa kuwa ni extraordinary na yanajadiliwa kuwa ni ya kweli lakini hapo hapo unaona watu wa jamii hiyo wanapingana, inatia wasiwasi sana
Hayo unayoyataka Mungu ayafanye alisha yafanya amemaliza alijifunua kwa manabii zaidi ya laki moja na katika hao manabii 4 amewapa vitabu ili iwe kumbukumbu kwa vizazi viliopo na vijavyoScenario