Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kudanganyana kwenye discussion hiyo , mtakuwa pia mmeshadanganyana mambo mengi,Hapo mwanzoni mtadanganyana tu.
Mtu anieleweshe jamaniSoma zuri sana.
Ila sasa, hutamuona mtu anakwambia mi hivi na vile.
Dunia ya leo, utaambiwa mara ohh mnato,mara ya kihaya,hivyo tu. Mtu akiweka tu,siku hiyo ndoa tayari. Wapangaji wenzako wanamuona mgeni kibarazani,badae mama akipiga simu anauliza nani anaongea hapo,utasikia nipo kwa watu.
Nilichojaribu kuongelea ni kwamba,enzi hizo,kabla watu hawajaoana, walikaa na kubadilishana mawazo,kila mmoja alimjua mwenzie. Kwenye kuoana, kila mtu alijua mwenza wake ana mapungufu gani,je, ataweza kumvumilia!
Sahau. Kwa dunia ya leo?! Kwanza, kupenda ni nini? Kuna watu wa kupendana leo? Mmoja anamendea hela,mwingine sura,umbo na nyapu. Mapenzi yako wapi hapo! Ni wazi hapo watu watafanya mapenzi,lakini hawana mapenzi.Mkipendana hayo mengine yote yatajisort tu
Mideko naomba nipende 🤔Safi Sana.
hiyo ni kampuni ,muonewaji alishaumbwa hivyoHiyo sio ndoa,hapo mnatengeneza jamuhuri.......anyways hapo number Moja hakuna Cha kujadili mlipa bills anajulikana tangu kuumbwa Kwa ulimwengu 😌😌
elimu na exposure imefanya watu waishi kama wazungu, Hata waliooa kama wote wanafanya kazi hapo kila mtu anachangia kipato cha familia. Sio mzigo unamuelemea mtu mmoja. Kama ni mama wa nyumbani sawa sababu anafanya majukumu mengine ya nyumbani, ila mfanyakazi au mfanyabiashara, ana haki ya kuchangia kipato cha familiawewe mwanaume Ukiamua kuoa, suala la gharama zote za familia ni juu yako
😂😂😂 Capitalist companies...full unyonyajihiyo ni kampuni ,muonewaji alishaumbwa hivyo
mwanamme kamili siwezi tegemea kipato cha mwanamke kuendesha familia yanguelimu na exposure imefanya watu waishi kama wazungu, Hata waliooa kama wote wanafanya kazi hapo kila mtu anachangia kipato cha familia. Sio mzigo unamuelemea mtu mmoja. Kama ni mama wa nyumbani sawa sababu anafanya majukumu mengine ya nyumbani, ila mfanyakazi au mfanyabiashara, ana haki ya kuchangia kipato cha familia