Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

Somo zuri, ila kwenye bills hapo sasa , yataibuka maneno mengi mbele ya safari
 
Hapo mwanzoni mtadanganyana tu.
Kabla ya kudanganyana kwenye discussion hiyo , mtakuwa pia mmeshadanganyana mambo mengi,
Iwapo hamjagundua kwamba mwadanganyana
ni Bora TU mdanganyane maana hakuna namna.
Kila ndoa ina misingi yake.
Kudanganyana pia ni misingi unaosimamisha ndoa za kipekee.
 
Soma zuri sana.
Ila sasa, hutamuona mtu anakwambia mi hivi na vile.
Dunia ya leo, utaambiwa mara ohh mnato,mara ya kihaya,hivyo tu. Mtu akiweka tu,siku hiyo ndoa tayari. Wapangaji wenzako wanamuona mgeni kibarazani,badae mama akipiga simu anauliza nani anaongea hapo,utasikia nipo kwa watu.
Mtu anieleweshe jamani

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mtu anieleweshe jamani

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nilichojaribu kuongelea ni kwamba,enzi hizo,kabla watu hawajaoana, walikaa na kubadilishana mawazo,kila mmoja alimjua mwenzie. Kwenye kuoana, kila mtu alijua mwenza wake ana mapungufu gani,je, ataweza kumvumilia!

Leo hii,mtu akimtamani mwanamke,akishamlala tu,wanatangaza ndoa, ukoo wa kila upande hauna taarifa,kasoro tu wapangaji mwanaume anapokaa. Baada ya mda,tamaa ikiisha,wanashindana tabia, kwa sababu mtu anachokiona,ni tofauti na alichotarajia.
 
Kumfahamu mtu sio mpaka mjadiliane, matendo tu yataongea. Sasa mtu siku zote mkitoka out hajawahi zubutu ku clear bill, sasa hapo mnajadiliana Nini. Lakini pia nje ya ndoa unaona mambo ni mepesi lkn ukiingia ndani ndio utaona rangi halisi
 
Hoja namba moja ni ngumu sana na inaweza leta mtafaruku.

Hoja namba 9. Japokuwa nimecheka sana. Je mchmba wako akikuqmbia ameshaliwa sana tigo na anapenda, wewe sio mlaji wa tigo kama mimi. Hapo imekaaje? Hapo kwa mimi pana utata.
 
Hii ni topic nzuri sana. Napenda sana watu ambao wanataka kuwaona watu wengine wafanikiwe kwenye mahusiano.

Naomba niongeze vitu viwili tu:

1) Kuna wataalamu wa ndoa na mapenzi ambao wanafanya pre-marital counseling kwa bei nafuu -- in some cases, chini ya laki moja kwa session moja. Ni muhimu kuwe na mtu neutral kabisa kwenye kuongelea na kujadili vitu vigumu ambavyo watu watakutana navyo kwenye ndoa. Wanafamilia na marafiki watakupa ushauri, lakini, hao ni watu ambao hawako 100% neutral kwenye mahusiano yenu. It's important kutafuta mtaalam - msomi kabisa na sio mtu feki atakayewadanganya na kuwaibia hela zenu - ambaye atawasikiliza wote wawili na kuwaeleza ukweli wote wa maisha ya ndoa.

2) Kama kuna utofauti mkubwa wa umri, ni muhimu sana kuelewa tofauti zakiumri zilizopo kwenye mahusiano yenu. Mahusiano yenye age gap (10years+) yanazidi kuwa kitu cha kawaida, kwahiyo umri na mambo yanayohusu umri yanazidi kuwa muhimu kuzingatia. Kwa mfano, kama wewe una miaka 40 na mke wako ana miaka 25, ni muhimu wewe kama mwanaume uelewe kwamba generation yake ni watumiaji wa simu siku nzima. Matumizi ya simu masaa yote ni kitu cha kawaida kwa mke wako. Na kama wewe ndiyo mke, ni muhimu uelewe kwamba matumizi ya simu masaa yote siyo kitu cha kawaida kwa mume wako unless kazi yake inahitaji awe macho kwenye matime zone tofauti. Mfano mwingine, kama wewe umemzidi mke wako sana kiumri, ni muhimu uelewe kwamba kwenye mazoezi na vyakula, yeye anaweza kuwa more relaxed kuliko wewe kwa sababu ya umri wake mdogo. Ukishafika umri mkubwa, mwili wako umeshapitia mambo mengi. Kwahiyo ni lazima uzingatie afya yako differently ili kuepuka matatizo ya uzeeni (e.g., ili kuepuka matatizo ya magoti, mabega, na mgongo, ni muhimu usiinue vyuma vyenye uzito wakutisha.) Na wewe kama mke mwenye umri mdogo, zingatia mabega na mahipsi ya mume wako. Kama mtaenda kwenye masherehe sherehe basi uelewe hawezi kukatika kwenye dancefloor sherehe nzima, so ukishamwona anasweti sweti kaa chini muenjoy mziki.

Hii ni topic nzuri sana, asante OP!
 
wewe mwanaume Ukiamua kuoa, suala la gharama zote za familia ni juu yako
elimu na exposure imefanya watu waishi kama wazungu, Hata waliooa kama wote wanafanya kazi hapo kila mtu anachangia kipato cha familia. Sio mzigo unamuelemea mtu mmoja. Kama ni mama wa nyumbani sawa sababu anafanya majukumu mengine ya nyumbani, ila mfanyakazi au mfanyabiashara, ana haki ya kuchangia kipato cha familia
 
elimu na exposure imefanya watu waishi kama wazungu, Hata waliooa kama wote wanafanya kazi hapo kila mtu anachangia kipato cha familia. Sio mzigo unamuelemea mtu mmoja. Kama ni mama wa nyumbani sawa sababu anafanya majukumu mengine ya nyumbani, ila mfanyakazi au mfanyabiashara, ana haki ya kuchangia kipato cha familia
mwanamme kamili siwezi tegemea kipato cha mwanamke kuendesha familia yangu
 
Back
Top Bottom