Malilambwiga
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 485
- 296
Mkuu bora kununua satellite dish na kupata channel zote za bure (FTA) bila kiulipia airtime package ya kila mweziMimi nadhani bora kutonunuwa decoder yoyote ile, Watanzania kila sekta tunaibiwa kwenye mitandao ya simu ndio sina hata cha kusema ni majizi matupu.
Ni matumaini yangu kuwa wengi ni buheri wa afya na manaendelea vema na majukumu ya kila siku!
Ukweli kuwa wengi wetu tuna mategemeo makubwa kutoka Azam tv tofauti na ukweli ulivyo...
Lengo la Uzi huu si kuharibu biashara ya Azam Bali kueleza uma ukweli halisi wa mambo!
So nitaelezea mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kununua Azam TV.
1. Bei ya decoder hubadilika wakat wowote bila taarifa! mwezi wa 1,2016 nimenunua 140,000 hadi sasa tar 7 Marc imefika 170,000.
2. Channel ya kawaida tuu kama BBC, Fox, CNN, AL-Jazeera, France 24, mpaka ulipe 20,000 kwa mwezi.
3. Sinema zetu utapata bongo movie za 2005 kushuka chini Mara nyingine movie hurudiwa kwa week Mara 3, No latest movie ujue hivyo!
4. Organization ya channel iko hovyo! Unaweza kulipwa kifurushi cha 12,000 lakini kupata channel moja hadi nyingine ni shughuli! Channel za kihindi tu ndo ziko pamoja!
5. Tegemea kupata channel kibao za kiarabu na nyingine zisizoeleweka ni lugha gani!
6. Wapenzi wa channel "e" mujue kuwa haipo Azam TV!
7. Ukienda kununua watakuambia vipeperushi vya list za channel na bei ya vifurushi vimeisha maana wanajua ukiangalia channel zao na bei utaghairi kununua" maana haviendani!
............ ......
UPDATES
8.Azam wamefanya mabadiliko ambayo wameongeza gharma ya tsh 3,000 kwa kila kifurushi hivyo kufanya kifurushi cha bei ya CHINI KABISA kuwa 15,000 ambacho ni Sports.
>kimsingi gharama hizi ni kwa ajili ya channel moja tuu ya Azam sports ambayo huonyesha La Liga kwa kuwa channel za Man u, Liverpool na Madrid hazionyeshi mech live zaidi ya marudio na kutangaza Club zao
Thanks..
penda cha nchini kwako yaan 15000 nayo unaona big deal. kwa mwezi kweli wanaume wa Dar ni jipu wakati ukipita bar unamaliza 50000 kwa siku Dar siendi kama wanaume ndo mko hiviKwa kweli azam ni majambazi
nipe maelekezo,umenigusaMkuu bora kununua satellite dish na kupata channel zote za bure (FTA) bila kiulipia airtime package ya kila mwezi
Hivi vinapatikana bado? Na bei take ikoje??Mkuu bora kununua satellite dish na kupata channel zote za bure (FTA) bila kiulipia airtime package ya kila mwezi
....hebu dadavua kwa kina basi!....hii inawezekanaje kwenye hayo madishi ya "8," 10"???Kwanini msifunge free channel?dish la fit 8,au 10,,,unanunua ''.decoda zpo,
Nimekuwa nikifuatilia sana hii habari ya 6ft dish kupata free to air channel, kwa bahati nimeanza kujuzwa toka 2014 na kufuatilia na ikawa kwenye dhamira kuinunua .
Masikitiko niliyonayo ni kuacha ving'amuzi vya azam, dstv na startimes kisa malipo madogo ya mwezi na kuingia huku.
Nime make pesa nimenunua leo, vijana toka saa sita mchana mpaka saa 12wanaangaika kuiset mwishowe zipo channel tatu tu naambiwa kuna kitu kitapatikana kesho kwa eneo lako inabidi kifungwe.
Ajabu kwa watz wanaochambua ni wachache sana sijui hawana smartphone kwani wengi wakiuliza hawajibiwi kwa wakAti.
Kuna forums humu ya haya madish wakenya wanarespond faster sana lkn ni kwa maeneo yao.
Sasa najiona inabidi nitafute tu azam kwani hata wale mafundi wamenishangaa sana wananiambia wana muda hawajafunga haya madish ya futi 6 siku hizi ni hivi hivi vya continental, azam, startimes na zuku.
Bora afananishe na robot la matope .......hataree !Acha kufananisha wahaya na vitu vya kipumbavu
Iyo LG yako iko vp mkuu mana ata mimi nina LGMi nmenunua LG Yang ina decoder ndan kwa ndan maana m habar ndo ktu cha msing kwang hvo cna stress za malipo ya kila mwezi[emoji4]