Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Mkuu kuna jamaa aligonga gari la mzee flani Benz akalipasua taa moja nyuma. Jamaa akahisi labda ni pesa ndogo akataka wakamalizane amwekee taa mpya. Ehee anashangaa eti taa inauzwa 950,000.
 
Kaka mbona pesa ndogo sana hiyo? BTW ukiwa watumia Tecno, usitafatute madhaifu ya iPhone ili kujipa uhalali wa kutumia Tecno. Kama ndugu yako kanunua kiatu kisicho cha size yake hilo ni kosa lake, sio kosa la wote wanaonunua hicho kiatu. Mwambie dogo siku zote tunakula kwa urefu wa kamba yetu.
 
Hahahah sawa usisahau kurudisha funguo kwa shemeji yako baada ya kuosha gari yake
 
Mzeebaba tulia kwanza naona umenogewa na life limenyooka. Hongera sana life liendelee kubamba[emoji123]
Mkuu natafuta tu kifaa cha kutembelea na siyo Gari😀😀 ili kurahisisha kazi zangu mkuu..
So far tunashuruku Mungu matunda yanaenda hivyo hatukosi za madafu😂😂😂
 
Mkuu kuna jamaa aligonga gari la mzee flani Benz akalipasua taa moja nyuma. Jamaa akahisi labda ni pesa ndogo akataka wakamalizane amwekee taa mpya. Ehee anashangaa eti taa inauzwa 950,000.
Kuna dreva tax hapa Arusha wa gari za moromboo..aligonga gari kama hiyo akavunja taa ya mbele ..sema yee alichofanya akamkabidhi jamaa wa Benz ufunguo wa tax yake maana alijua gharama yake siyo ya kitoto ..sema yule jamaa alikuwa mtu poa sana aliamua kusepa tu akamuacha jamaa na tax yake 😀😀😀
 
Mkuu kuna jamaa aligonga gari la mzee flani Benz akalipasua taa moja nyuma. Jamaa akahisi labda ni pesa ndogo akataka wakamalizane amwekee taa mpya. Ehee anashangaa eti taa inauzwa 950,000.
Alikua wapi kuchora ase
 
Mkuu kuna jamaa aligonga gari la mzee flani Benz akalipasua taa moja nyuma. Jamaa akahisi labda ni pesa ndogo akataka wakamalizane amwekee taa mpya. Ehee anashangaa eti taa inauzwa 950,000.
Insurance si ndo inalipa?

Wamalizane kwanini?
 
Insurance si ndo inalipa?

Wamalizane kwanini?
Wabongo wengi wanapenda malizana hapo hapo bila kwenda huko kutokana na usumbufu. Mimi mwenyewe niliwahi kubamizwa bamaga, na jamaa flani alikuwa anaendesha gari huku jimama linamnyonya rungu utam ukamzidia sijui hakuona mataa, akatubamiza, mimi na mwenzangu. Yule mama alitulipa pale pale tena mkwanja mrefu kwa kuhamisha pesa, mimi alinipa lak 7.2 gari ilikuwa imebonye sa sana mwenzangu sijui alipewaa ngapi.

Trafiki alifika kapima kasema tuyazungumze kama tunaweza tumalizane. Hata mimi niliwahi kugonga gari la sebstatian ndege, trafiki akapima akatupa muda wa kumalizana nikampa 50,000 dereva baada ya kuzungumza na ndege mwenyewe kwenye simu.
 
Kwenye mafundi nakubaliana na wewe. Kina gari nimeitelekeza huko mikoani mafundi wameshindwa kujua shida ni Nini. Hapa ndipo nilifika nikatamani Toyota
Hatuna mafundi kabisa, tena waliopo wanaweza ongeza tatizo badala ya kufuta tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…